Lucky Dube anatimiza miaka 10 tangu auwawe kwenye eneo la Rosettenville, Johannesburg, Afrika Kusini. Hii ilikuwa tarehe 18/10/2007.
Dube aliyeuwawa akiwa na umri wa miaka 43, alizaliwa sehemu...
Huyu hapa mshindi wa Supa Diva 22 inayosimamiwa na Fiesta kipindi cha kuendesha show za fiesta mikoani. Afichua siri ya mafanikio yake hadi kushinda.
Full story:
Ikiwa ni saa chache baada ya Zuchu kupitia page yake ya Facebook aliwaeleza washabiki wake malalamiko zidi ya kudhalilishwa na ustadh Jumaa yeye na familia yake kuhusu kuruhusu kila wakati...
1) SHAHRUKH KHAN (UTAJIRI$600 Million)
Huyu ndie actor namba moja mwenye mkwanja mrefu kwa india, wenyewe wahindi wanamwita “THE KING OF BOLLYWOOD” . amezaliwa 2 November mwaka 1965 mjini New...
Nimeamka asubuhi nikakutana na ujumbe kutoka kwa rafiki yangu ambae ni mfanyakazi wa Airtel (TSM), akiwa amenitumia Tangazo jipya la Joti.
Nikatabasamu kwa kuwaza kwamba Airtel wamefanikiwa...
Huyu mtu mbona Mamlaka za nchi hii zinazo heshima kubwa kwake?
Yupo bungeni leo lakini unaweza kuona mara zote hukaa kwenye viti vya watu mashuhuli kabisa!
Ni nani huyu mtu kwenye siasa za...
Rapa na mfanyabiashara huyo ameiandikiwa barua kampuni ya GAP na kuijulisha rasmi kwamba atasitisha ushirikiano wake na kampuni hiyo ya mavazi,
Ushirikiano huo uliokuwa kwenye misukosuko ulianza...
Hawa jamaa jana tarehe 13/09/2022 kwenye sherehe za kumuapisha Rais mteule wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Kenya Mhe.Ruto walifanya makubwa sana walipowainua na kuwachezesha maelfu kwa mamia ya...
Ina maaana Mrema na ushushu wake hakufanya due dilligence?
Sasa mbona anadaiwa kupora mke wa mtu?
👇
Ndoa ya Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema imeibua utata...
Vigezo vilivyotumika:
1. Muziki wenye ujumbe maridhawa
2. Nyimbo zenye uhalisia wa maisha ya Tanzania
3. Mashairi yanayochochea fikra za kimapinduzi
4. Ubora wa kazi zenyewe
5. Muziki unaoishi...
Wapinzani wake wanasema kuwa anatumia juhudi nyingi sana za mazoezi na kujizuia kula ili asinenepe. Kweli ni mnene anayejikondesha ama ni kimbau mbau wa asili?
Kuna hili analosema Roma kuhusu albam kutouza, Je Mmeona na kusoma maoni yake Wakuu?
.
Mimi nikiwa km mdau wa music way back niseme Tu Sababu anazotoa Roma ndio maana siku hizi wasanii wanatoa...
★Sadio Mane is transforming his village to a town. 🇸🇳
He built a £455000 hospital and €250000 school in his village, Bambaly.
He gives each family €70 monthly.
He provided 4G internet for them...
Zuchu anaenda kuachia project mpya ya 4-4-2.
Kama kawaida queen huyu wa bongofleva na msanii namba moja wa kike Africa mashariki na kati anaenda kuandika rekodi mpya kama kawaida yake.
Huyu...