Mwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki...
Baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda, hatimaye staa wa muziki Jennifer Lopez na muigizaji wa filamu za Hollywood, Ben Affleck wametangaza kuwa wachumba baada ya kuvalishana pete...
Nimi sio mpenzi wa mziki ila huwa naisikia tu redioni.
Ni kati ya wanamuziki wachache sana wenye vipaji vya kurap pamoja na kina M.r bluu.
Aliibuka vizuri sana kwenye mziki wa bongo fleva lkn...
Koh koh koh, yooooo jeshiiiiiiii , views for everibadeee
Cha ajabu jamaa hajali kabisa na anajiona tembo, kapost kwenye page yake kujipongeza huku akila mafegi kho!! Kho!! Kho!!
Views milioni...
Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 23 amefunga ndoa na Nichola Peltz. David amewazawadia wanandoa Jaguar ya umeme model ya 1954 bei yake ni £350,000.
Baba yake Nichola ni millionaire huko...
Leo nilikuwa benki moja katika hali ya kushangaza teller aliyenihudumia alikuwa ni mwanadada Kajala. Kwa sababu za kibiashara inabidi jina la benki libaki kapuni.
Hongera dada katika safari yako...
Huyu dada tokea apate mimba amekua anazurura sana.
Kila siku anapigwa picha na paparazzi yupo sehemu tofauti tofauti.
Hivi huwa anaendaga wapi? Au mimba yake aliipatia akiwa kwenye ziara 🤔...
Wadau, kichwa cha habari chajieleza. Mtangazaji Maulidi Kitenge hajaondoka Wasafi FM Radio bali amefurushwa kwa sababu ya safari zake za mara kwa mara nje ya nchi, hususan nchini Marekani.
Kwa...
Uki unganisha dots kipindi Diamond Platnumz alivyokuwa na bifu na marehemu Ruge Konki Master alikuwa anamtukana sana pia baada ya Harmonize kujitoa Wasafi Konki Master akawa anamtukana mnoo...
Maisha yana kwenda kasi jamani.udongo unakula watu sana.
Taarabu ya kipindi cha nyuma ilikuwa nzuri na ilikwenda sambamba na bendi miaka hiyo. Kuna kipindi taarabu ilikuwa na vijembe mpaka...
Wapendwa wana JF
Leo ningependa tumkumbuke Hayati Nicholaus Zengekala ambaye alikuwa mwanamuziki asiyeona (kipofu).
Ninakumbuka Nyimbo zake kama SOLEMBA, na JACK MTOTO WA NAIROBI
Huyu ndugu kwa...
Moja kati mabondia bora kabisa kuwahi kutokea. Binafsi huwa navutiwa sana na vituko vyake enzi hiyo. Vilivyonivutia sana ni hivi...
Kwa mujibu wa Fat Joe. Siku moja Joe na Big Pun walibananishwa...
Will Smith hataruhusiwa kuhudhuria Tuzo za Academy kwa miaka 10 ijayo, kutokana na kumpiga kibao mcheshi Chris Rock jukwaani wakati wa sherehe ya mwaka huu ya Oscar, The Academy of Motion Pictures...
Achilia mbali ongezeko la wingi wa waigizaji wa kike ndani ya bongo movie, ni wanawake wachache tu wenye kutambua thamani ya utu wao na hata kazi ya uigizaji walioamua kuifanya. Waliamua kuweka...
Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya urembo (Miss Earth 2008), Miriam Odemba ameibuka mshindi wa pili katika fainali za mashindano hayo zilizofanyikia jioni hii katika ukumbi...