Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha...
10 Reactions
237 Replies
14K Views
Tuzo za Muziki za Tanzania (TMA) 2021 zinatolewa usiku huu wa Aprili 2, 2022 ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa tuzo kama za muziki kama hizo Nchini Tanzania. TUZO ZA HESHIMA Shughuli...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Artist Unashinda Tuzo Ya Muziki, Toa Speech Mshukuru Producer, Shukuru Label, Management, Family, Media House & Fans! HAYA MAMBO UNAPANDA UNAISHUKURU SERIKALI, UNAMSHUKURU MAMA MHESHIMIWA, AAH...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of...
19 Reactions
217 Replies
13K Views
Marioo kaonyesha ambacho tumekuwa tunawaambia kila siku kuwa ni mkubwa kuliko Konde. Kwenye category ambazo wamesimama wote Marioo kamgalagaza vibaya huyo hamonaizi. Tunawaambia tena achaneni na...
11 Reactions
25 Replies
3K Views
Tafadhali sana umemkuta Harmonize akiwa kwenye peak na nyimbo zake very hot, endeleze walipoishia WCB na azidi kupaa zaidi. Chagueni ngoma kali za kurelease, lakini kwa mwendo huu wa nyimbo mbovu...
12 Reactions
151 Replies
24K Views
Mkali huyo ambaye jina lake halisi ni Rosary Robert, mzaliwa wa Moshi Tanzania, leo kupitia ukurasa wake wa Instagram awakumbusha wakali wenzie kadhalika na mashabiki kuwa yeye ndio rappa Bora...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Muvi iliyompa Will Smith tuzo ya Oscar ni King Richard. Hii muvi inaelezea maisha ya wacheza tennis wawili wakubwa, Venus William na ndugu yake, Serena. Ninaipenda sana muvi hii, tena sana kwa...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa tangu 2011, sifuatilii habari mbalimbali kupitia Redioni na kuangalia Luninga/Television. Kwa sasa mitandao ya kijamii ndio chanzo kikuu kinachonipatia habari mbalimbali...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Alipoulizwa na mtangazaji wa Global kuhusu Zuchu kumnunulia gari, Khadija Kopa alisema kuna kuzaa na kunya na yeye ni miongoni mwa watu walio zaa, maneno hayo yametafsiliwa tofauti na watu...
6 Reactions
73 Replies
8K Views
Hivi huyu dada aliyekuwa muigizaji mwenza Steven Kanumba atakuwa Yuko wapi siku hizi? Mbona Kama hayuko kwenye Bongo Movie ckuiz. Binafsi nilikuwa namkubali Sana kipindi anaigiza na Kanumba has a...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeshuhudia na kulizika sana na Projects za Dj Khaled...mala zote alitengeneza Album kali ambazo zilifika kwenye charts za juu za Billboard. Zikafanya vizuri sana kwenye mauzo. amekuwa...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Hawa wote ni wasanii nchini. Je nani zaidi katika fani?
2 Reactions
96 Replies
14K Views
Wakuu, siku hizi ninapata nafasi ya kutizama TV baada ya kustaafu. Nimekuwa naangalia chaneli ya Sinema zetu ya king'amuzi cha Azam na kukerwa na huu mtindo wa baadhi ya waigizaji wakijifanya...
9 Reactions
123 Replies
9K Views
Nyota wa filamu kutoka nchini Marekani Bruce Willis ameamua kuachana na uigizaji baada ya kubainika kuwa na ugonjwa wa aphasia. Aphasia ni hali inayozuia mtu kuzungumza na kuandika. Mara nyingi...
1 Reactions
8 Replies
867 Views
Salamu! Hivi Fid Q katika wimbo wake wa kiberiti ile mistari alimlenga nani? Yaani ni balaa na hatari sana. Tena sana dah! Codes iliyotumika kiukweli nimeshindwa kabisa ku crack, aisee na ujanja...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwa wasiofuatilia wanaweza kudhani Msuguano baina ya Nas na Jay Z unaendelea lakini nikuambie tu ya kuwa mtafaruk wao ulishakwisha zamani sana. Awali familia zao zilihusishwa kwenye michano na...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwanamuziki wa bendi ya Sauti Sol, Willis Austin Chimano ameweka wazi kwamba kwa sasa hayupo tayari kupata mtoto. Chimano ambaye takriban miezi mitatu iliyopita alikiri kuwa shoga amesema...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Utani mbaya. Mc mkali wa huko Usa Chris rock kajikuta na aibu baada ya kupigwa kibao na Mshindi wa tuzo ya Oscar ; Will smith baada ya kumtania mkewe Jada pinkett smith. Utani mbaya ulomfanya...
13 Reactions
174 Replies
13K Views
Kama wewe ni shabiki wa movie za kupigana, jina Bruce Willis sio geni kwako. Muigizaji huyo amepata umaarufu kutokana na movie mbalimbali zikiwemo Die Hard, Tears of the Sun, Out of Death, A Day...
3 Reactions
5 Replies
934 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…