Waandaaji wa tuzo za Oscar wanasema baada ya smith kufanya fujo na kumpiga Rock, aliombwa aondoke lakini akagoma.
Oscar Academy wanasema watamchukulia smith hatua za kinidhamu kwa kufanya fujona...
Watu mashuhuri, wasanii na kila mwanamke na mwanamume ana hisia za mwili wake, lakini wanayoyapitia wasanii ni mengi hasa wakati wanatoa video ya vibao vyao.
Mwimbaji na mwandishi wa nyimbo...
Will Smith(53) akiri kumruhusu rapa August Alsina(29) kutembea kimapenzi na mke wake Jada Pinket(50)
Ikumbukwe mwaka jana mjadala uliibuka baada ya rapa huyo kusema alishakuwa kwenye uhusiano na...
Diamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria.
Vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana...
Heshima kwenu wakuu.
Unajua, nimejiuliza sana hili swali ila sijapata jibu ndani yake kuhusu huyu jamaa juu ya positions zote anazojaribu kuwekwa, kwa nini watu wanamkataa?
NAWASILISHA.
Msanii Anjela ni mgonjwa wa miguu na wakati anasainiwa tuliona akipewa ahadi atapelekwa India kwa ajili ya matibabu.
Sina hakika hii ahadi ipo kwenye contract au la!
Ambacho nasikitika ni kwa...
Moshi. Mke wa Mwenyekiti wa TLP, Agustino Mrema, Doreen Kimbi amesema hakufuata mali kwa mwanasiasa huyo, kwakuwa anayejiweza kiuchumi.
Doreen ameyasema hayo leo Alhamisi Machi 24 baada ya ndoa...
Nash emcee, msanii wa hipHop.
‘‘Shujaa ndo amefika, na ameshinda vita,
Nami nawaalika kumpokea shujaa… ’’
Hiyo ni mistari kwenye chorus ya pini iliyotoka hivi karibuni ya Nash emcee. Track...
Msanii wa kundi wa the longombas, Christian Longomba Amefariki Dunia huko Marekani baada ya kuugua Saratani.
Pacha wa Christian, Lovy Longomba waliyekuwa wanaunda group la the longombas ametoa...
Huyu jamaa kwa wasanii hapa Bongo bado sijaona msanii anamiliki chombo ya ukweli kama DJ Nalimison.
Huyu hapa shemeji yetu siku alipoenda ukweni kuwatembelea nymbani kwao na kina DJ Nalimison...
Wakuu habari za muda huu. Jana usiku BASATA waliweka wazi nominations za tuzo za Tanzania Music Awards kwa mwaka huu.
Vipengele ni vingi na wasanii pia ni wengi, walioongoza kwa nominations...
Aliyekuwa Gwiji wa utakatishaji fedha aliyejipatia umaarufu mitandaoni hasa Instagram, anayejulikana Kwa jina la Hushpuppi amefunguliwa mashtaka mapya na waendesha mashitaka wa Marekani...
Mtunzi na mwimbaji mashuhur wa nyimbo za taarabu kutoka Zanzibar Khadija Omar Kopa amepasua mbarika kuhusu uhusiano wa bintiye Zuhura Othman Soud almaarufu kama Zuchu na bosi wa WCB Diamond...
Mwenyekiti wa TLP, Augustine Lyatonga Mrema anafunga ndoa na Doreen Mrema, leo Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni, Kiraracha Mkoani Kilimanjaro.
Mrema ambaye aliwahi kushika nyadhifa...
Siku moja kabla ya kufunga ndoa Mwenyekiti wa TLP Taifa, Dk. Augustino Mrema amesema kuwa atajaribu kujikokota kuelekea Kanisani na kama itatokea ataishia njiani kutokana na afya yake kutokuwa...
"Siolewi na Mzee Mrema, hizi habari zinazozushwa na picha yangu kusambaza mtandao kuwa naolewa naye ni uongo na uzushi. Picha inayosambaa ni yangu niliipost kwenye page yangu watu wakaichukua na...
Joh Makini ndio Msanii Bora kuwahi kutokea, kuna sababu nyingi ambazo wengine wemeshindwa kuzifikia. Hii ni kutokana na umahiri wa huyu Mtu John Simon Mseke.
Ofcourse kuna wengine wakongwe...
BARAZA la Sanaa Taifa (BASATA) limeingilia kati Mgogoro wa ndani la Shirikisho la Muziki na kusimamisha uteuzi wa awali wa Msemaji wa Shirikisho hilo Steven Mengere .
Aidha Baraza limetoa uamuzi...