Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mimi Ni mfuatiliaji mzuri sana wa muziki hasa hasa muziki wa Bongo Fleva na hip hop. Kwa hapa Tanzania wapo wasanii wawili ambao wametamba Sana kwenye muziki toka enzi hizo mpaka leo hii bado...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Msanii Diamond anataraji kudondosha EP yake kesho yenye kifupi cha #FOA ambapo kirefu chake bado kitendawili hadi ifikapo kesho huku ikiwa imenakshiwa na rangi ya orange. Ikumbukwe mara ya mwisho...
2 Reactions
51 Replies
7K Views
Diamond Platnumz anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kuwa kanunua gari la bilioni, how Diamond Platnumz unakuwa muongo hivyo? Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu, huu hapa...
11 Reactions
211 Replies
27K Views
Hawa wote ni vijana waliofanya vizuri sana miaka ya mwanzoni mwa 2000 kazi zao zikiandaliwa na producer nguli P FUNK Majani, kulikuwa na mjadala huko nyuma kuhusu Ngwair 'Rip' lakini ndani yake...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Huyu director mi nahisi Kama upepo ndo kwanza umemuelekea anapiga hela nyingi Sana kutokana na demand aliyonayo kwenye music industry. Yaani huyu jamaa ckuiz amekuwa wa Moto Sana when it comes to...
11 Reactions
67 Replies
7K Views
Mkurugenzi wa Kampuni ya Grace Products, Dk. Elizabeth Nyamizi Kilili, jana Jumanne, Machi 8, 2022 alitwaa tuzo ya Super Women katika hafla kubwa iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni Profesa Jay, Ni Rafiki Wa Wengi... Ndugu zangu, Zimenisikitisha sana, taarifa za maradhi yenye kumsibu ndugu yetu Joseph Haule, maarufu kama Profesa Jay. Profesa Jay ni rafiki wa wengi. Ni...
37 Reactions
27 Replies
5K Views
Mzee wa kuahirisha matukio Kaanza Konde Mgahawa sijui uliishia wapi, mwaka juzi baada ya kuzindua Afro East Mlimani City, akasema mwezi wa tano 2020 atafanya show taifa siku ikafika kimya, akaja...
11 Reactions
110 Replies
11K Views
Tukio la tuzo za kili limeshapita,lakini vumbi lake bado linatimka,na chafya zinazidi kuongezeka.Kama inavyokuwa miaka yote lawama zimeendelea kuwepo,kunyosheana vidole,vijembe,kujigamba n.k kupo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Muigizaji huyo maarufu kutoka tasnia ya filamu za Kihindi (Bollywood) aliyetamba katika filamu za 'Slumdog Millionaire' na 'Jurassic World' amefariki mapema leo akiwa na miaka 53 Alikuwa...
1 Reactions
57 Replies
11K Views
Hello wakuu Mimi si greater Thinker kama wadau wengine ila katika pita pita zangu mitandao nimekutana na habari kuwa Msanii wa kibongo Diamond Platinumz alitaka kudondosha EP yake siku za nyuma...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Muigizaji wa Tanzania, Wema Sepetu amesema baada ya mapito ya muda mrefu amebadili mfumo wake wa maisha na kwamba anafanya dua na kumtegemea Mungu katika mambo yote. Hii ndiyo kauli yake: “Mimi...
11 Reactions
80 Replies
7K Views
Siku kadhaa baada y aliyekua mume wa florah Mbasha , Emmanuel Mbasha kumlipua nabii shilah kuhusu scandal yake ya utapeli kupitia neno la Mungu na kuahidi kufichua uovu wake wote pamoja na...
27 Reactions
116 Replies
18K Views
Huyu sista hunifurahisha sana pale anapokuwa ananarrate habari. Sauti nzuri, ana kasi na huwa hakosei kama mashine vile.Natumaini siku moja tutamsikia VOA, DW, BBC et al. On other note: Regina...
3 Reactions
26 Replies
9K Views
Mimi siyo mtabiri ila album ya uyu kijana mistari ifuatayo huwezi kosa inavyoingia,ukiinama,ikalie ,rungu la kipepe,naingiza taratibu,unavyoidaka Na kuinyonya. Itoshe kusema kijana kafika mwisho...
14 Reactions
47 Replies
5K Views
Katika mahojiano ya leo Meneja wa Diamond amedai Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola bilioni 230 za Kimarekani, na kwamba Rayvanny ni tajiri na anaongoza. Pesa hizo alizotaja Meneja SK ni nusu ya...
10 Reactions
128 Replies
18K Views
Russia's president Vladimir Putin was married to former flight attendant and they share two daughters together. Vladimir Putin tends to keep his personal life away from the spotlight which means...
4 Reactions
21 Replies
39K Views
Ermias Davidson Asghedom kijana wa miaka (Agusti 15, 1985 – Mach 31, 2019), akijulikana kwa jina la sanaa kama Nipsey Hussle. Ni msanii wa sanaa ya muziki wa kufoka foka (Hip Hop) kutoka Calfonia...
9 Reactions
123 Replies
16K Views
Mtangazaji mkongwe wa mambo ya showbiz na udaku Tanzania, Maimartha amezungumzia juu ya taarifa za Rayvanny kuoma kuondoka katika lebo ya WCB. Haya ndiyo maneno yake aliyoyasema wakati akihojiwa...
9 Reactions
38 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…