Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mi nazikumbuka hizi Mariam Nakonda kama mnazi kwa mapenzi niliyonayo, Jina lako nakuota mchana kutwa sili ee Moyo wanichechemea, mwili damu kauka eee ...na hiki kipande, katika Mola nalilia...
1 Reactions
23 Replies
21K Views
Mwanamuziki Omah Lay kutoka Nigeria amefutilia mbali uvumi kuwa anachumbia aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platnumz, mwanamuziki Tanasha Donna. Alipokuwa kwenye mahojiano baada ya kutua nchini siku...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
''MKUBWA FELA ANASTAHILI SANAMU YA HESHIMA. Usiku wa jana sijalala kabisa, kwani nilizongwa na kumbukumbu ya safari ya Muziki na maisha. Mbali ya kuwakumbuka watu wengi, Kichwani mwangu ilikuja...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Mcheza Kikapu Steph Curry anaekipiga GSW Yuko Tanzania Yeye na Mkewake. Curry yupo na familia yake kwenye ardhi ya Tanzania katika hifadhi ya Serengeti. Curry amekuja mapumzikoni pamoja na...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Mbunge wa Makete, Festo Sanga, amesema asilimia kubwa ya Wasanii wa Tanzania wamejipambania wenyewe bila msaada wowote wa Vyombo vinavyotakiwa kuwasadia lakini Baraza la Sanaa (BASATA) linafanya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
hello JF, huyu msanii wa Kenya anaimba bwana. Nashauri manager wake amtafutie connection collaboration na US rappers! Lol Huyu mkaka sio wa level ya Africa!,mkikasirika mtajiju. ila kubaki...
10 Reactions
47 Replies
6K Views
Narudia Tena. Diamond Platnumz yupo Marekeni anatafuta pesa Ali Kiba yupo nyumbani anabishana na wakina mama [emoji23][emoji23] halafu badae Diamond akisema anahela kumshinda Alikiba mna...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
Uhamiaji, vitambulisho vya taifa na sehemu mbali mbali tukikuta kitambulisho kina umri huu, basi acha tucheke. Huyu Ezekieli au kuna wa pili yake
0 Reactions
13 Replies
3K Views
BURNA BOY AKANUSHA NDOA: SUPASTAA wa muziki barani Africa kutoka pande za Nigeria Damini, Ebunoluwa Ogulu maarufu kama Burna Boy amefunguka kuwa mama yake hukasirika sana pale ambapo anamwambia...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Sitashau usiku mmoja nikiwa Stockholm, Sweden, Mr Nice alikuwa anashow moja hivi. Kwa kukumbuka sana nyumbani na enzi hizo napenda sana mziki wa Bongo, ukijumlisha na umaarufu wa Mr. Nice wakati...
6 Reactions
49 Replies
16K Views
Mtandao wa #YouTube umeondoa Chaneli za mwimbaji R. Kelly ambazo ni RKellyTV na RKellyVevo ukilenga kujitenga na Mwimbaji huyo ambaye amehukumiwa kwa Vitendo vya Udhalilishaji Kingono Mwezi...
2 Reactions
61 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, Nashukuru kwa fursa hii huenda kukawa kuna makosa katika uandishi wa majina ya hawa ndugu zangu ambao nawakubali huenda kwa uwezo wao binafsi katika nyanja ya...
0 Reactions
99 Replies
49K Views
Mwanamuziki wa P square, Peter Okoye ameoneshwa kushangazwa na taarifa kwamba mwanamuziki wa bongo fleva Naseeb Abdul alihudhuria harusi yake hivi karibuni nchini Nigeria na kuhudhuriwa na mastaa...
8 Reactions
83 Replies
25K Views
Alafu mtoto awe wako basi. !? Alafu hugongi!? Nini hiki!!!!!!?!
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Hasa zile za album yake ya kwanza kama vile "Kidali Po" na "King'asti", Kwani Beat, Vocal, Mixing na Mastering zimekaa vizuri sana. Ni profucer na studio gani walifanya zile kazi? "ILA MAISHA...
5 Reactions
18 Replies
5K Views
Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8 DENI LA VIEWS MILIONI 4.2 YA...
0 Reactions
73 Replies
10K Views
" Sio kwamba tumemtelekeza Idris Sultan bila sababu, yeye anajiita msanii lakini mimi sijawahi kuona sanaa yake. Najua ni mtu aliyeshiriki Big brother ambapo tunafahamu ni jumba lisilo na heshima...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Teddy yuko na beauty fulani hivi amazing, uzuri zaidi ni kuwa she is very intelligent. Mimi huwa namfananisha na Halle Berry sura zao zinafanana. Natamani aigize kwenye movie kama young Halle...
7 Reactions
47 Replies
9K Views
Billionea kijana zaidi Africa mwenye miaka 46 MO, sielewi kwa nini kila nikimuona anavaa smartwatch za kopy za kichina za Apple Watch badala ya original smartwatch za Apple. Kwa mfano kuna picha...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…