Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Beyoncé and Jay-Z's twins, Rumi and Sir, were born in June 2017. We know more than two years have passed, but it's impossible to consider the fact that the babies that blew up Instagram with likes...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Yaani inakera sana kuona media zinavyosifia eti muziki wetu umekua wakati hatuna muziki wa kujivunia hadi leo. Wasanii wetu wenye majina makubwa karibu wote kazi yao ni kuangalia muziki unaotrend...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Huu ndio ushahidi wenyewe, Joseph Mbilinyi ambaye pia anajulikana kama Rais wa Mbeya, ameamua kukataa kuburuzwa na kuamua kumuenzi Nelson Mandela.
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Wandugu leo nilikuwa nafanya reserch zangu kwenye database za UN, Ghafla nikagongana na huyu anayeitwa Willium Samwel John Malecela akikabidhi vitambulisho vyake kwa katibu Mkuu wa UN. Swali ni...
2 Reactions
47 Replies
17K Views
Sisi wahenga tunaukumbuka vizuri ugomvi wa mwaka 2001 wa Mr.nice na konki..dudu baya walipokuwa na ugomvi mkubwa ikitajwa walikuwa wakimgombe tajiri maarufu..barbou wa mji kasoro bahari.. Nani...
6 Reactions
143 Replies
31K Views
Picha ya kwanza inaonesha dada mmoja anaitwa Dooren Kabareebe kutoka Uganda katika kipindi cha redio akiojiwa na kutanganza vigezo vyake marufuku mwanaume yoyote asiye na gari kumpigia simu,yeye...
9 Reactions
38 Replies
5K Views
Wanabodi, Watoto wa mjini tunasema Ngoma imepata wachezaji. Ni Kukuru kakara ni vuta ni kuvutee. Hapa Makonda huku Jokate. Baada ya kufanikisha harambee ya tokomeza Ziro iliyoratibiwa na Mhe...
11 Reactions
49 Replies
11K Views
Akiwa na mume wake Jay Z kwa tuzo za Gram.
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Diamond Platnumz ni one of the best musician kwa sasa Afrika Mashariki na Kati. Kumekuwa na mijadala kibao eti Mond alitolewa na yule, akatolewa na huyu na porojo nyingi za namna hiyo lakini...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Mrembo Jokate akifanya mazungumzo na channel moja maarufu huko youtube amedai mwezi ujao atasafiri kwenda Seoul ,South Korea kufanya marekibisho kidogo ya sura yake yaani kuongeza kidoti B. Jokate...
4 Reactions
58 Replies
11K Views
Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Nina furaha sana huwa nikimuona Chid anachokifanya kwa sasa, Maana tunajua vyema alipokua ametoka then akapata changamoto na sasa kasimama upya, sio rahisi. Kama unatembelea mitandao ya Chid...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Sote tunajua katika ukanda wa Afrika, Nchi yetu ndio ilikuwa na mabando ya bei rahisi kuliko nchi yoyote hapa afrika (sub saharan) Hii iligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa bongo...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Rihanna amuongezea umaarufu Flaviana Matata ByMtanzania Digital October 12, 2021 Na Brighiter Masaki, Mtanzania Digital Mwanamitindo wa Kimataifa kutokea Tanzania anayefanya shughuli zake...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Director of photography killed, movie director injured after Alec Baldwin discharged prop firearm on movie set By Sandra Gonzalez, CNN Updated 7:17 AM ET, Fri October 22, 2021 Alec Baldwin...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazandiki wanadai pamoja na kupenda kuvaa nguo za gharama lakini jinsi anavyopose na kujibeba akitembea vinaharibu uzuri wa nguo zake.
8 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwanza lazima tukubaliane huyu dogo ana kipaji kikubwa sana. Ndio maana wengi walikuwa wanasubiri ujio wake akiwa chini ya WCB. Na ilitegemewa ujio wake ungekuwa na kishindo. Lakini bahati mbaya...
9 Reactions
46 Replies
7K Views
Week hii zimevuja sex video za Msanii mkubwa Africans Nigerian singer Tiwasavage ,akiwa na boy friend wake. Hata hivo bado exactly ajajulikana nana kavujisha, licha ya video kurecordiwa na wao...
5 Reactions
118 Replies
26K Views
11 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…