Video vixen ambaye pia ni Muigizaji katika kiwanda cha Filamu Bongo, Kidoa Salum, amedai kamwe hawezi kuisahau video ya Rapa na Mbunge Profesa Jay TatuChafu kwani pamoja na kuuza nyago vya kutosha...
Nai Akumbuka Bata la Sabaya
Bado kifungo cha miaka 30 jela kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni gumzo Bongo.
Naye mrembo ambae ni video vixen na mjasiriamali, Nai ameibuka...
Katikati ya jiji ndiko kulikuwa kumekucha vilivyo kwa madisco. Ukienda YMCA Club unakutana na DJ Choggy Sly (Chogole Seleman) na DJ KALIKALI ( Double K, Double A, Double L, Double I). DJ Kalikali...
Ilikuwa ni kawaida msanii wa bongo kupata views milioni hata kwa wasanii wa level za kati tukiachana na zile lebo 3. Ilikuwa ni kawaida msanii akiweka video intagram basi hakosi kutazamwa walau na...
Alikiba akiwa kwenye kipindi cha mahojiano cha Salama Jabir. Amefunguka kwamba alinusurika kubakwa nchi Marekani.
Jambo hili lilitokea after party show iliyofanyika kwenye chumba kimoja cha...
Aman iwe juu yenu
Nilikuwa sijui hivi kumbe kale kambea kambea kanakoitwa ka Carrymastory ni ka DJ afu ni karembo hivi
Nilikuwa sijui aisee ndo nimejua. Hongera kwake
Sasa nauliza kwanini...
Imekuwa ni kawaida katika siasa, biashara, michezo, muziki, filamu na mitindo, kila anayefanya vizuri upande huo, kuna mtu alimshika mkono au kumvutia kufanya mojawapo kati ya hayo machache.
Je...
Huenda bwana Selemani Msindi amefanya makosa lakini ni lipi kosa lake kisheria? Nani wakumshtaki? Nani aliefanyiwa kosa?
Tukianza na kosa lake kisheria, kifungu namba 129 cha kanuni ya adhabu...
Kuna kipindi Nilipitia Instagram Niliona Kama Harmonize Anataka Kwenda Marekani Kufanya Tour Kule. Nilijiuliza Vitu vingi sana kuanzania Management aliyonayo, Promoters Anao Watumia na Aina ya...
Msaniii Zuchu ameyalalamikiaMakampuni Ambayo ameyatuhumu kuwadharau Wanawake/ Wasanii Wa Kike Hasa Kwenye Upande Wa Malipo kwani anasema wao wamekuwa wakipewa hela ndogo...
Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.
Jackline...
Kila siku anafanyiwa interviews na press conferences anafanya lakini sijawahi kusikia akiulizwa hili swali kabisa, Jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni msomi aliyebobea.
Binafsi nilimsikia...
Kwa kweli hii interview ya Salama na Idris Sultan ni funzo kubwa kwa vijana. Vijana wengi pale wanapopata pesa za ghafla hupata kiwewe na kufanya maamuzi ya kukurupuka na mwisho kujikuta...
Uwoya akiwa vacation Dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa WCB.
Hii ni dharau kubwa sana kwa msanii...
Wakati watu wanasubiria msanii anaefatia kutambulishwa WCB ni Hanstone yule wa kwenye Iokote.
Muda sio mrefu ameachia EP yake bila kuwa chini ya management ya WCB Wasafi.
Maswali yamekuwa ni...
Msanii, muigizaji, Mc Menina kaishtaki Multichoice akidai fidia ya 1.2 billions. Kadai alichafuliwa na kipindi cha umbea cha ICU
Wakati wa msiba wa mzazi mwenzake Mairmatha Jesse, Juma Lokole...