Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ney wa mitego kajitahidi sana hii nyimbo ina ujumbe mzuri kaongelea habari za tozo,wabunge 19,katiba mpya ,hizi ndio nyimbo sasa sio kila saa mapenzi tu wakati nchi ina matatizo kibao...
26 Reactions
45 Replies
8K Views
Maana huyu bidada anaenda Dubai Mara Kwa mara na anatumia iPhone za Tsh. milioni 3, tena mbili. Hapa Dar kuna watu wana pesa nyingi sana za kuchezea aisee.
5 Reactions
349 Replies
56K Views
Wakuu kwema? Watu wa Hip-Hop ebu tukutane hapa kidogo,,,Hivi ni versi gani kali ya Hip-Hop hapa Bongo uliwahi kuisikia mpaka ukasema yes hii ni versi bora kabisa kuwahi kuisikia hadi leo huchoki...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwanamitindo na Muigizaji wa filamu, Kim Porter, ambaye pia alikuwa ni mpenzi wa Mwanamuziki Sean Combs au Puff Daddy (P. Diddy), amefariki dunia nyumbani kwake usiku wa jana (Alhamisi) akiwa na...
18 Reactions
356 Replies
39K Views
Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabana na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni...
36 Reactions
136 Replies
15K Views
Nakumba miaka 90 tunaishi maeneo ya Sinza au utapenda kusema Sinza kwa Wajanja. Kulikuwa na baa maarufu sana kama Vatican City, Sangara na n.k Ila sehemu hizo miziki ya James Dandu uwezi kukosa...
25 Reactions
80 Replies
16K Views
Msanii na Rapper maarufu Kanye West ameiomba mahakama ya jijini Los Angeles huko California nchini Marekani kubadilisha jina lake kutoka Kanye West na badala yake awe anajulikana kwa jina la Ye...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Huyu ni mmoja ya kati ya wanamuziki bora zaidi wa kiume wa miondoko ya Zuku kuwahi kutokea katika hii dunia. Embu tujikumbushe kidogo na hii ngoma yake Inaitwa Ng’e. Btw wale watoto wa bongo...
18 Reactions
67 Replies
15K Views
Mkurugenzi wa kampuni ya Wasafi, msanii Diamond Platnumz ametoa msaada wa kodi ya pango kwa watu 57 ambao ni wajane, walemavu pamoja na wasiojiweza. Msaada huo ni awamu ya kwanza katika ile...
5 Reactions
35 Replies
7K Views
Wakuu, huyu bwana mdogo nimekua nikicheck posts zake mitandaoni napata ukakasi kama kweli (roho yu ndani yake) na vile maandiko yanavosema tujihadhari na manabii wa siku za mwisho. And what's the...
10 Reactions
99 Replies
12K Views
BM3 wakili msomi amepiga kwenye mshono
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Bongo flavour ya zamani ilikuwa kali sana, ma-dj wachache, waandaji wa mziki wenye utaalamu wao kama P-Funk,Master Jay na wengine. Game la mziki wa zamani watu walijitolea japo mziki ujawapa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nay ameamua kusema kile ambao wasanii wetu wengi wanakiogopa Kweli ney ni rais wa kitaa.. Nimependa mistari iliopo kwenye wimbo huu na ni mzuri kusikiliza Big up kwake Mara nyingi hua yupo...
9 Reactions
20 Replies
4K Views
Haka kajamaa kanajituma aisee. Na siku hizi naona WCB wanachoimba wanajua wenyewe, atazidi kuwapelekesha saaaana. Uzi tayari.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Inashangaza sana kuona picha nzuri ka hii inakosolewa na baadhi ya watu. Kila anaeiona anasema "Huyu kweli Mmakonde sa ndo msuko gani wa kike" wanadai kuwa hajapendeza na msuko huo. Mim najaribu...
1 Reactions
69 Replies
18K Views
Hii ni moja kati ya picha ambazo zimewapagawisha watu wanao mfuata "followers" kwenye ukurasa wake wa instagram......cheki picha na comments za wadua!...Nouma sanaComments za wadau
0 Reactions
86 Replies
33K Views
Mwili wa msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ tayari umewasili Utengule, mjini Mbeya, huku wimbo unaotumika katika maombelezo wa msiba huo ukiwa ni ule wa msanii Abelnego Damian ‘Belle 9’ uitwao...
5 Reactions
84 Replies
19K Views
Kweli udongo unameza
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Minister of National Guidance and Religious affairs , Rev.Godfridah Sumail told the media that Koffie Olomide will be arrested if he showed up the shows he has been invited for in Zambia . Source...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…