Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Harmonize Ni msanii mzuri aliyekosa focus ajui kipi Cha kusimamia na kipi cha kusimamia leo atakuja na hili kesho yake atakuja na lingine ataacha la mwanzo.Alivyotoka wasafi alianzisha bus la...
28 Reactions
68 Replies
10K Views
Jamaa amejazia kinoma utadhani umaga wa kwenye mieleka.. Hata sadala ataanza kumuogopa sasa. Anatisha mmakonde... Nawasilisha Nb. Hebu tuangalie upande wa pili wa samaki. Tumuone mwalimu wake...
9 Reactions
50 Replies
9K Views
MICHAEL JACKSON Ni msanii aliyepewa tuzo nyingi kwa muda wote (most awarded artist of all time). Alishinda tuzo nyingi kuliko msanii yoyote ambaye yupo hai au alishakufa. Alipata tuzo 39 kutoka...
11 Reactions
38 Replies
5K Views
Video vixen na msanii Amber Lulu ampost kwa Mara ya kwa mtoto wake. Hiyo ni baada ya week chache zilizopita kujifungua, mtoto huyo ameanza kupokea deals za matangazo mbali mbali, Mtoto Huyo ambae...
7 Reactions
118 Replies
51K Views
Wanazengo poleni na majukumu nimemfikiria sana huyu dogo naona anapotea vibaya sana na soon tu tutaanza kumsahau kwani jitihada anazozifanya sidhani kama zitazaa matunda. Hivi kweli kiburi...
1 Reactions
65 Replies
10K Views
Ukweli ni kwamba unapokuwa wcb basi unakopeshwa mashabiki mamilioni wa diamond na ndio maana hata kina lavalava wanasumbua kimtindo, ila kitendo cha kuondoka wcb ni kujitoa katika mashabiki wengi...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Ikiwa imepita miaka toka mkali wa mitindo na mtayarishaji wa muziki nguli wa mitindo ya kufoka foka Kanye West siku ya Alhamis aliweza kuachia EP yake inayoitwa "DONDA" ikiwa ni jina la Hayati...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu Habari ya Kazi Mwanamuziki Hamisa Mobetto alieachia wimbo wake mpya wenye mahadhi ya singeli uitwao Ex Wangu Remix akishirikiana na msanii wa singeli Seneta Kilata, mpaka sasa imetazamwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu Kwema! Vijana katika utafutaji ni vizuri kuelekezana ili kufanya kazi zetu zizidi kuwa na manufaa. Katika hilo, nimeona nimshauri na kumuelekeza Ndugu Mwijaku kuwa aache Kushika Mikono wake...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
1. Kuna wanaolalamika eti madogo pale WCB wanalaliwa na Mondi, naomba mjue kwamba WCB ni biashara ya Mondi so yupo pale kumake hela kupitia akina Rayvanny, Mbosso, Lavalava, Tale, Sallam, Laizer...
36 Reactions
95 Replies
13K Views
Nilikua napitia insta status ya Diamond nikakutana na hiyo kitu, sasa ndio najiuliza hapa anamaanisha ukonga au United Kingdom?
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Yule muongozaji wa kipindi cha Nirvana Kwa nyakati zile anarudi tena sio Mwingine ni Deogratus Kithama, Siku za hivi karibuni ataendelea na Nirvana kama awali (Nimesikia tangazo hilo EA Radio)...
4 Reactions
106 Replies
18K Views
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni ............. nimeamini kweli biashara Matangazo!!!! msanii wa bongo movies - pichani kaamua kuyanadi makalio yake katika mitandao mbali mbali...
3 Reactions
79 Replies
60K Views
Mimi ni mpenda comedy sana hasa za nje. Awali nilikuwa nikizitazama hizi za Bongo za kina Kingwendu, Majuto n.k lakini sasa natazama za nje za kina Charlie Chaplin, Buster Keaton na wengine walio...
13 Reactions
118 Replies
16K Views
Ukiambiwa umuonge huyu mrembo utamuhonga Nini?
1 Reactions
61 Replies
12K Views
Msanii wa muziki wa bongo fleva "Ali saleh kiba" maarufu km kingKiba au alikiba amepata ubalozi wa kampuni ya uzalishaji wa vinwaji vya energy drink vinavyofaamika kama "HORSE POWER ENERGY "...
16 Reactions
39 Replies
6K Views
Binafsi nazikubali kiaina kazi za huyu msanii "Chemical" yuko njema sana kwenye michano, hakika akipata promo ya uhakika atatoboa,(Chibu hebu msaini huyu binti WCB)nimejaribu kumtafuta...
6 Reactions
28 Replies
7K Views
Huku zinaa ndio ujanja,uchamungu ni Ushamba" Huku Mtoto Kumtukana mzazi au mtu aliyemzidi umri ni Kawaida, Huku kuvaa nusu uchi ndio urembo na Usharobaro,Wazee kujiona vijana na Vijana kujiona...
6 Reactions
5 Replies
971 Views
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la...
35 Reactions
145 Replies
12K Views
Ni post moja tu ya Rayvanny kwenye page yake ya IG ilitosha kuisimamisha nchi. Sasa mambo hadharani Rayvanny na Paula ni kama Bonnie and Clyde. Wapendanao wa kitaifa wameweka kila kitu hadharani...
2 Reactions
55 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…