Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Rayvanny ameitwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central Police) akishtakiwa na Harmonize kuwa amemdhalilisha mitandaoni. Nitawapa updates soon Rayvanny na baba Levo wakitoka kituo cha polisi cha...
8 Reactions
228 Replies
21K Views
Msanii Baba levo anefunguka leo akiwa kwenye press conference yakutangazwa kuwa balozi mpya wa Soka bet amesema baada ya kushinda hii kesi aliyoshitakiwa na Harmonize atamfungulia mashitaka...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Nimeona Demand notes kutoka kwa My learned Brother J. Msemwa akisema kwamba atawafikisha Mahakamani wale wotee waliosambaza picha ya mteja wake anayejulikana kwa Jina Harmonize, Tembo au Jeshi...
4 Reactions
109 Replies
13K Views
YES, kwa vigezo vyovyote, hawa wasanii wawili, Konde Boy na Ran Vany, ni watoto. Sio kiumri pekee, lakini hata kimuziki. Katika umri, ni daraja moja na watoto weeeengi waliopo Bongo Fleva hivi...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Ayana Williams mkazi wa Texas nchini Marekani hatimaye ameamua kuzikata kucha zake baada ya takriban miaka 30. Ayana aliweka rekodi ya Guiness mwaka 2017 kwa kuwa na kucha ndefu zaidi, wakati huo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda. Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna...
18 Reactions
324 Replies
34K Views
  • Closed
Hilo ameliweka wazi akiwa katika kituo kimoja cha TV.
1 Reactions
109 Replies
28K Views
Katika hali ya kustaajabisha recorded video call na picha za sehemu za Siri za msanii harmonize zavujishwa; Inasemekana aliyekuwa girlfriend wake (bongo movie) akishirikina na maasimu wa msanii...
8 Reactions
187 Replies
34K Views
Wakati akiweka pini kituo cha polisi, msanii Harmonize amekataa kukubali yaishe kweli uchungu wa mwana aujuaye mzazi. Harmonize akishirikiana na mwanadada mtetezi wa haki za wanawake na watoto...
4 Reactions
111 Replies
12K Views
Kwa wadau wote wa FAJI na waliokuwa wapenzi wa Gazeti la JITAMBUE. Mke wa Hayati Munga Tehenan na wana FAJI, watafanya kumbukumbu ya kifo cha MUNGA TEHENAN. Shughuli hiyo itafanyika katika msikiti...
0 Reactions
62 Replies
12K Views
WANAWAKE wengi wanapenda kuonekana warembo, wenye sura nzuri, maumbo yaliyogawanyika vizuri kiunoni, vifua vizuri na makalio. Kwa bahati mbaya, katika uumbaji wa Mungu huwezi kumpangia namna...
1 Reactions
81 Replies
24K Views
Naona Team nzima ya WCB imeamua kuja kufanya kitu cha tofauti hapa nchini katika Soko la Mziki! Nikipimia wingi wa mashabiki walio nao na wanavyokubarika naona hii inakuja kuwa zaidi ya...
7 Reactions
55 Replies
11K Views
Umati wa mashabiki wajitokeza kutoa heshima kwa nyota wa hip-hop nchini Marekani DMX ambaye alifariki kutokana na kuzidisha dawa za kulevya.
5 Reactions
56 Replies
6K Views
KUFAULU mtihani wa kidato cha nne kwa mtoto wa muigizaji maarufu Bongo, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Sonia George aliyepata Division One, kumeibua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengi...
3 Reactions
29 Replies
13K Views
Vita Kali Kati ya nyota wa Mziki wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Konde Gang Harmonize na Mkali wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Next level music Rayvanny au Vannboy mtu mbaya mtu mbadi...
10 Reactions
227 Replies
41K Views
Mimi Binafsi namuheshimu sanaa...
0 Reactions
44 Replies
10K Views
Moja kati ya principle yangu ya Maisha ni kutoingilia ugomvi kati ya mtu na mtu..Kama ugomvi haunihusu, huwa nakaa neutral kabisaa maana unaweza kujitoa muhanga halafu kesho ukaumbuka. 1. IBRAH...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwanini wasanii wetu maarufu hapa Tanzania huwezi kupata taarifa zao kwenye mitandao kama Wikipedia ili angalau ujue historia zao. Ni ajabu kwamba hata...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Huku kukiwa bado kuna fukuto kubwa la kuvunjika Kwa penzi lake na Kajala, Harmonize amejikuta kwenye vita nzito na mwanadada presenter Maimartha Jesse. Eeh bhana eeeh mwanadada presenter...
3 Reactions
53 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…