Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baada ya yule kauzibe kupigwa kibuti cha nguvu na Kajala. Penzi limerudi upya na sasa limekolea nazi. --- Ni couple ambayo imekumbwa na vizingiti vya hapa na pale so bado inaenda kimya...
5 Reactions
79 Replies
13K Views
Mpaka sasa naona nyimbo zilizotolewa na maomboleza ni nyingi ila hii ya Rosa Ree Kigodo inilize walahi, ya Wasafi sijaelewa sana japo imesheheni wasaniii kibao Unaionaje Mtu wangu, hii hapa chini:
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Label ya WCB wasafi ni label kubwa sana yenye wasanii wanaotukisa Africa mashariki, Ni label ambayo ukienda nchi kama Rwanda watu wamekariri mashairi ya kila nyimbo za Diamond na Zuchu Ni label...
5 Reactions
52 Replies
8K Views
Masikini kijana mdogo Rayvanny miaka 30 nyuma ya nondo. Harmo ameonekana kituo cha polisi na ushahidi wote aliofanyiwa binti yake. Picha zinakuja
8 Reactions
392 Replies
33K Views
Moja kati ya taarifa inayo-trend kwa sasa mitandaoni ni kuhusu msanii wa filamu Kajala Masanja na msanii wa muziki Harmonize ambao inasemekana penzi lao limefika mwisho kutokana na baadhi ya...
7 Reactions
65 Replies
12K Views
Hivi hawa dada zetu wana matatizo gani mbona vitu vidogo kuelewa wao huwa vinawapa tabu sana Hawajui kuwa Harmonize na Rayvanny wemewageuza uwanja wa kiki na kila mmoja anacheza kwa staili yake...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawasilimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tz.naona clouds wameanzisha promo ya praise and worship kwa mama. Ni hivi huyu mama hahitaji promo imetokea tu watu wengi kumpenda kama nyota za...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Mara nyingi wanapotajwa Manguli wa Muziki wa Rege Duniani sidhani kama hata jina la Eric Donaldson litakumbukwa....Mara nyingi atatajwa Bob Marley, Peter Tosh, Burning Spears, UB 40 n.k. Nguli...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
awali alifunga ndoa yake ya kwanza na mpenzi wake amon na kupata mtoto mmoja lakini hivi sasa amefunga ndoa tena na mtu mwingine Sent from my iPhone using JamiiForums
4 Reactions
166 Replies
45K Views
Kwamba "Sisi vijana tuache majivuno,kama ni pesa Ruge alikuwa nazo kuliko msanii yoyote yule. Kama ni umaarufu Ruge alikuwa maarufu kuliko msanii yoyote yule,Kibonde alikuwa na pesa kuliko msanii...
13 Reactions
85 Replies
16K Views
Galam galam Aptii... awali ya yote napenda kuitambulisha thread hii itakayokuwa inatukumbusha na kutupatia habari za Nyota mbali mbali wenye hadhi hapa Ulimwenguni, ama wawe wamefariki au laa wapo...
2 Reactions
111 Replies
10K Views
Mmh! Ila kuna watu wana bahati zao mjini, shostito kasota jela miaka 8 katoka Hata Mwaka hana watu washachukua jiko, khaa. Wenzangu na mie akina chakubimbi tutaishia kuroga na kuiba waume za watu...
8 Reactions
56 Replies
12K Views
Wakuu Baada ya p square kuzinguana na kutengena (sina hakika kama wamerudi) kila mmojawapo akawa anatpa singo kivyake kama solo artist Sasa basi kati yao yupi anafanya muziki mzuri na anaetamba...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Yuko wapi kaka man aliye hit na track ya KAMA NOMA NA IWE NOMA? Enzi za shimoni disco-morogoro
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Msanii wa Rap na mwigizaji, DMX amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kupatikana na kosa la kukwepa kodi kiasi cha dola milioni 1.7 DMX ambaye jina lake halisi ni Earl Simmons alikiri...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
sina mda wa kuwasalimu Kupitia video fupi aliojirekodi mwana music wa zamani Vanessa mdee AKA vee money,,, Ametuambia kua yeye alipata tatzo la macho akiwa mdogo lilopelekea kutokuona kwake...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Wasaalam wana Jf. Msanii wa muziki bongo fleva almaarufu Kama harmonize ameeleza kuwa atagombea Ubunge kuonesha heshima kwa hayati JPM baada ya kumpa maagizo hayo kabla ya umauti kumfikia...
5 Reactions
89 Replies
8K Views
Wana JF kwanza niwasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano,Lengo la uzi huu ni kujuzana ni rais au marais gani ambao ulitokea kuwapenda Mimi naanza na my favourite presidents; -JM Kikwete -Vladimir...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakubwa Salaam, Kama title inavyojieleza, napenda kujua historia ya huyu mwamba aliyetikisa kwa umwamba miaka ya nyuma yuko wapi kwa sasa? Alifariki? Lini? Akiwa na Umri gani? Kama yupo ana umri...
8 Reactions
56 Replies
10K Views
N!xau #Toma ni mzaliwa wa Namibia katika kabila la San ambao wengi ni Bushman. Alikuwa hajui miaka yake. Kabla ya kuanza kuigiza, alikuwa hajui chochote kuhusu maisha ya kisasa “ Modern...
17 Reactions
67 Replies
29K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…