Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Za ndaaaani kabisa Msanii Diamond Platnumz yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media. Ikumbukwe ofisi za sasa za Wasafi Media ni za kupanga. Hivyo mwana...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi karibuni tumemsikia Diamond Platnumz akituelezea kuwa ndoto yake kubwa ni kuwa tajiri wa kwanza duniani Kwakweli ni ndoto nzuri sana ambayo kila binadamu angetamani kufikia Napenda...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwa takriban mwezi mmoja sasa tasnia ya Muziki nchini Marekani imekuwa kwenye hatua za Back to Back kutoka kwa Mastaa wa Hip Hop, Drake na Kendrick Lamar ambao wamekuwa wakichapana Diss Track kila...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mlimbwende kunako kiwanda cha Utangazaji, Mjasiriamali na mwanamitandao maarufu Bongo, Niffer Jovin, maarufu kama "Niffer" amefunguka namna alivyohaha kujitafuta hadi kufikia mafanikio makubwa...
37 Reactions
607 Replies
54K Views
Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy, Steven Mukwala Streka refu kuliko gali akiwa safarini kwenda kuwakabili CS Constantine Disemba 8 huko Algeria.
1 Reactions
2 Replies
544 Views
Picha mbalimbali za Jenifa Lopez akiwa ndani ya Kingdom ya Waalab wa Saudi Arabia Naona kumeanza kuchangamka mambo ni kwa ushahidi Uislam wao waumepereka wapi?
23 Reactions
105 Replies
6K Views
Sikiliza wimbo wa Songa wa 2016 unaitwa "Hisia za Moyoni" amefungua wimbo na hii line Imani ni bora kuliko dini https://youtu.be/ViQcp8HNqBc?si=yufnMpLDywK2N6Zp
3 Reactions
11 Replies
433 Views
Dulla Makabila alipompata Zai mbwe mbwe kibao leo kiko wapi??🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwa ninavyoona haraka haraka Dulla ndiye aliyempenda Zai ila Zai wala hakuwa na mapenzi kihiiivyo Dulla. Pia ukichunguza kwa...
7 Reactions
89 Replies
9K Views
Kama ulitarajia kumuona diamond platnumz mwaka huu akifanya show Dar Es Salaam una kila haki ya kusahau. Diamond yuko booked mpaka mwaka 2017, hata mwaka mpya atauona akiwa kwenye Tamasha Lusaka...
10 Reactions
69 Replies
9K Views
Salaam wana JamiiForum; Maisha yanaenda kasi sana, vijana wenzangu ambao tulikuwepo bado vijana wakati hizi nyimbo zinatoka embu leo kajiangalie tena kwenye kioo alafu linganisha matendo...
14 Reactions
69 Replies
3K Views
Kuna hizi ngoma kali mbili za hawa miamba kutoka Congo Associe ya Fally Ipupa na 100 kilos ya Ferre Gola. Mbivu na mbichi itajulikana. Ni ngoma ya mkali gani imenyooka vizuri upande wako kati ya...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Mahakama ya New York, Marekani imekataa ombi la Msanii, Sean “Diddy” Combs kutaka kuachiliwa kwa dhamana na kuishi katika nyumba binafsi (Appartment) wakati akisubiri kesi inayomkabili ya mashtaka...
3 Reactions
6 Replies
504 Views
Hayati Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa ni mwingi wa vituko huko Hollywood. Ukitazama Video ya Kibao cha Liberian Girl ya kwake hayati Michael Jackson utamuona sokwe Bubbles miongoni mwa...
3 Reactions
3 Replies
394 Views
Konki Liquid. Pierre. Mama nakufa. Chii. Ni utambulisho wa mwanamume aliyeishika mitandao ya kijamii wakati huu. Huyu ni Peter Mollel aliyejizolea umaarufu baada ya video iliyomuonyesha akisema...
14 Reactions
282 Replies
43K Views
Habari Wakuu! Miaka ya nyuma huyu jamaa alikuwa anafanya kazi EATV kama mtangazaji kipindi Cha Uswazi, lakini pia alikuwa producer wa Ze comedy Show ya akina Masanja.. Amepotelea wapi Sekion...
2 Reactions
50 Replies
15K Views
Story ya Jaymoe na Langa iko hivi kwenye wimbo ya Jipange wa Jaymoe , Kuna mstari jay moe anasema " Amani kwa kaka voda milionea/ Wastue wadogo zako waache poda wale mmea/ Hapa alikua akijaribu...
25 Reactions
46 Replies
4K Views
Nilifuatilia mjadala wa Harmonize kuombewa na Pastor Tony, na kabla ya hapo kwenda kanisani na Kajala. Pia huyu anayeitwa Niffer naona na yeye yupo kwenye dini mseto! Kote kote yupo...
1 Reactions
6 Replies
536 Views
Pierre Liquid ni mtu aliyejizolea umaarufu miaka miwili mitatu ya nyuma kwa mambo makuu matatu, kwa mtazamo wangu. La kwanza ni ulevi wake, la pili ni vichekesho vyake na la tatu ni mapenzi yake...
25 Reactions
127 Replies
4K Views
Wakuu, Mfalme wa muziki wa Bongo Flava na Rais wa CROWN MEDIA Ali Kiba ameshiriki zoezi la kupiga kura katika kituo alichojiandikisha leo Novemba 27.
0 Reactions
10 Replies
752 Views
Huo hapo, by Hassan Mapenzi
0 Reactions
7 Replies
363 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…