Orodha ya watu matajiri zaidi Afrika mwaka 2021:
1. Aliko Dangote ana thamani ya $12.1b
2. Nassef Sawiris ana thamani ya $8.5b
3. Nicky Openheimer thamani ya $8b
4. Johann Rupert ana thaman ya...
Huyu ni Saleh, almaarufu 'Saigon'.
Mwanachama wa-miongoni mwa makundi ya awali kabisa kuwahi kutamba katika tasnia ya muziki wa Hiphop.
Hapa tunazungumzia mwanzoni kabisa mwa miaka ya 90.
Jamaa...
Ila hii familia Ina nuksi kwenye masuala ya ndoa, familia Nzima hakuna mwenye ndoa ya kueleweka. Isihaka kashajua Queen Darleen hana undugu na Diamond kaamua kumuacha(jokes[emoji16])
Umbea wq...
Simwelewi huyu mwamba wa Chitoholi, 2 years before he was the fastest rising singer in bongo fleva history , alikuwa fire Sana pale WCB, kichwa chake kilikuwa kimetulia na alitoa mawe Sana ...
Wakuu,
Kama mjuavyo Lady Jay dee ni msanii mkongwe hapa nchini Tanzania.
Na amekuwa akifanya vizuri katika muziki huu wa Bongo.
Katika vitu nilivyojifunza kwa mwanadada huyu mkongwe wa muziki...
Ni kama nilichelewa kumsikia huyu mwamke mwenye muziki mtaamu wazazi wake waliamuu kumpatia jina la Sia.
Mwanamuziki kutokea Australia alieifanya sauti yake kusikia nyema ndani ya Marekani na...
Huyu jamaa ni kipindi saa yuko kimya, nilikuwa naelewa sana ngoma zake kama elimu mtaani dot com, na nishike mkono.
Jamaa alikuwa mgumu sana katika kila kitu mpaka lifestyle lake, ila ni ipindi...
Dar es Salaam. Msanii wa muziki wa bongofleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema endapo sheria itamtaka kubadilisha ubini wake anaotumia sasa atafanya hivyo
Ameyasema hayo ikiwa ni...
Afisa habari wa Simba SC Haji Manara maarufu kama De La Boss ni moja kati ya watu maarufu sana katika michezo kwa sasa.
Haji sio tu ni maarufu katika michezo bali ametokea katika familia ya...
Zuchu amefikisha views million 100 kwenye mtandao wa YouTube ikiwa ni miezi 9 tu tangu aingie rasmi kwenye muziki.
Mpaka sasa hakuna msanii wa kike Africa Mashariki na Kati aliyeweza kufikia hizi...
Wasalaam Wana jamvi.
Msanii Baba Levo ameweka wazi kuwa anatamani Mungu amchukue hata leo ili watoto wake walelewe na Diamond.
Baba Levo amesema hayo akieleza hisia zake baada ya Diamond...
Wanawake takriban 15 wamejitokeza na kudai kuwahi kufanyiwa vitendo vya kikatili na T.I. pamoja na mkewe Tiny Harris.
Wanawake hao wamejitokeza kupitia ukurasa wa mwanadada Sabrina Peterson...
Wanajukwaa kuna kitu nafikiria kufanya nacho ni kuwa naleta habari za wasanii wa Congo,tafsiri ya nyimbo zao nk. Sasa naomba wanaopenda waseme ndioooo na wasiopenda waseme siooooo kabla sijaendelea
Mwanzilishi, Mkurugenzi Mkuu, Fundi Mkuu na Mbunifu Mkuu wa kampuni ya SpaceX inayojihusisha na utengenezaji wa vyombo vya kusafiri na kufanya uchunguzi katika anga za mbali; pia mwekezaji na...
Nimejikuta nashindwa jizuia kuongea chochote..kuhusu Daimond na Baba yake Mzee Abdul..
Kwa maoni yangu kama. Diamond alikuja kugundua Mzee Abdul sio Baba yake ndo
Alipaswa kumheshimu zaidi Kwa...
Leo record mpya imeandikwa na Zuchu katika bara la Africa.
Amekuwa msanii wa kwanza wa kike kufikisha views million 1 kwenye YouTube ndani ya masaa 22.
Hongera queen wa bongofleva.
Jana kwanye show ya Wasafi tumewasha na Tigo ilibidi show ighailishwe baada ya Rayvany kucheza nyimbo yake ya Nyegezi akaanguka na kuvunjika mikono yote miwili.