Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale akijibu swali la mtangazaji Salama Jabir wa Eatv kama kuna ukweli wowote wa habari zilizoeneaga kwamba amemtoa kafara mkewe ili...
7 Reactions
108 Replies
11K Views
Stori zilizopo kwa sasa huwenda ndoa ya Majey na Lulu ipo mbioni kufungwa mtu wa kwanza kuweka wazi hilo ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
2 Reactions
38 Replies
8K Views
MZAZI mwenza wa supastaa wa Bongo Fleva barani Afrika, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, usiku wa jana Januari 22, 2020 ametua nchini akiwa na mtoto wake Naseeb Junior...
14 Reactions
163 Replies
17K Views
Mzee Abdul Juma amemtaka Diamond Platnumz abadili jina aache kutumia jina la Abdul Juma badala yake atumie jina la anayedaiwa kuwa baba yake yaani Nyange Salum. Utaratibu wa kubadili jina upo...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
"IBRAHIM CLASS" THE MOST DECORATED BOXER IN TANZANIA,BINGWA MPYA WA WBF. Leo 16:45hrs 30/01/2021 Ibrahim Class ndiye bingwa mpya wa Mabara,World Boxing Federation (WBF) super featherweight...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wana JF. Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka wasanii mbalimbali wameachia nyimbo zao.Wao wenyewe wanaziita za kufungia mwaka. Mmoja kati ya wasanii walio achia wimbo ni Diamond Platnumz...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Huyu sichana ni jinga na huyu kijana hajielewi. Alianza kumtafuta Peter wa P square akijisogeza sogeza kwama awe anampost. Akaweka waji kwamba akiconnect na watu maarufu atapata fanbase kubwa...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Wasalaam wana jamvi, Mrembo namba moja nchini na mtangazaji mahiri kabisa nchini Diva-Loveness -Love leo ameshea hisia zake kwa wananchi baada ya kushuhudia wananchi wenzie wakigombea daladala...
3 Reactions
63 Replies
8K Views
Huyu mwanadada alitamba sana na vibao matata kama 'Happy birthday', 'Message to the youth', 'Jealous' n.k Yu hai? yupo wapi?!! anatoka nchi gani?
1 Reactions
4 Replies
738 Views
Habari wadau kama mtakua mnatembelea mitandao ya kijamii naamini Habari kubwa sasaiv ni Diamond na baba yake watu wamekua na maswal mengi kila mtu ameuliza lake na bila kupata Majibu Bali kubaki...
18 Reactions
297 Replies
27K Views
Ni malaika slt, binti kutoka Australia, Mond alipagawa akafa video vixen wa jeje
1 Reactions
41 Replies
9K Views
Hakuna kitu. Hapo Inaonekana ana management ya nguvu sana ila stand up hakuna kitu Anaweza tumia dk 5 watu hawajacheka... not only watu.. mimi mwenyewe sijacheka Sijui sababu nawaangalia sana...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Kwakweli wanajamii najiuuliza kuhusu huyu mtu anaitwa Isaac Ndodi! Huu umaarufu ni wanamnagani alio nao? Au sijui ni ushamba, au labda nifikiri kuwa watu wa Arusha wana magonjwa mengi sana...
0 Reactions
101 Replies
31K Views
Haka katoto mwanzoni nlikua nakchukulia POA Ila hii ngoma ya Sukari aisee Ni [emoji91] [emoji91], dzain kapita Kama maua Sama na iokote. Bravo https://youtu.be/E2mJ-w_sZ2Q
7 Reactions
89 Replies
16K Views
Mabondia kutoka familia moja Kublat Pulev na kaka yake Tervel Pulev wawasili nchini Tanzania kwa ajili ya kushuhudia usiku wa vitasa utakao fanyika tarehe 29/1 ndani ya ukumbi wa next door jijini...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
25th October 2014 21:41 Miss Tanzania avua taji
0 Reactions
243 Replies
43K Views
VS Wana jamvi Wasalaam Mwaka 2020 umekuwa mwaka wa ushindani mkubwa sana kwenye tasnia ya muziki hasa bongo fleva hapa nchini nah ii imetokana na kuwa mwaka wenye kazi bora sana za muziki wa...
8 Reactions
48 Replies
8K Views
Antonia Giesen - Calzones Rotos (2018) Format: mp4 Resolution: 1280x532 Duration: 0:04:38 Size: 101.84 MB http://uploaded.net/file/ilkxclyd
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ikiwapendeza hii familia ianzishe family show itakayorusjwa na tv mbalimbali. Ni familia yenye matukio kila uchao kuanzia mafanikio mpaka kashfa mbalimbali. Ni famila yenye watoto wasiotokana na...
18 Reactions
64 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…