Mimi sio shabiki na sitakuwa shabiki wa Diamond hata siku moja. Lakini sijafurahishwa na haya magazeti ya Udaku. Hili gazeti ni lini lilimpima au kuthibitisha kuwa Diamond ana ukimwi na...
Hello!
Katika pita pita zangu YouTube muda huu nimekutana na video ya huyu msanii ambayo imapakiwa siku 5 zilizopita. Wimbo nimeupenda ila kilichonishtua na kuniogofya ni muonekano wake sasa, ni...
Baada ya bintiye kunyimwa dhamana...Keenja aingilia kati, yatolewa
*Harakati zatumia muda wa saa mbili pekee
*Hakimu achanganyikiwa, ajitoa kwenye kesi
MTOTO wa Mbunge wa Ubungo, Bi Eliaisa...
Wakuu,
Inawezekana wengi mmeshapata taarifa ya kifo cha DJ Ommy lakini kwavile sijaona post hapa JF juu ya hili nimeona nigusie kutokana na umuhimu wake.
DJ Ommy ni moja ya madj wa mwanzo kabisa...
Huyu jamaa anajua sana. Style yake ni ya kipekee sana.
Namkubaligi jinsi anavyokuza mambo. Unakuta kakitu kadogo lakini watu watakajadili kirefu. Pia movie zake hazitabiriki na zina violence za...
But whereas most people's 'sandwriting' is washed away, one super-rich Arab sheikh has ensured that his doodles will last a little longer.
Hamad Bin Hamdan Al Nahyan, 63, has scrawled his name...
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Diamond haswa kipindi hiki akionyesha mafanikio makubwa kimuziki.
Wakati yeye akipambana kupiga hatua kuna wanaopambana kuakikisha hasogei na anarudi chini...
Habari wadau..!
Ebu leo tumjadili huyu mtu anayejiita Mwana FA achana na Hamis Mwinjuma maana huyo nasikia siku hizi ni Mbunge huko jimbo la Muheza.
Je, ni sahihi kwa wanamuziki wa kizazi hiki...
Lazima tuige ujasiri wake kwa manufaa ya taifa mpende msipende, lazima aenziwe vema ni jasiri ambaye watu wamemsahau nikielelezo tosha kwa vijana wote wanaopenda mabadiliko.<br />
<br />
Sio...
Kwanza sitokuwa mwenye fadhila kuwapa pole familia yote ya Albert marafiki na wale wapenzi wote wa music wake akiwamo mie naamini katika zile kumi kumi alinifanya nichukue moja baada ya tar 31...
Jana nimejionea laivu alikuwa chimbo fulani alikuwa ameandaliwa kushusha mbonge la shoo katika bar fulani mkoani geita
Mimi ni moja ya watu waliokuemo kwenye bar hiyo tukipata 1.2
Dudubaya...
Ndugu wanajamvi kumeibuka mjadala mkali sana nchini Tanzania kuhusiana na sakata la kufungiwa kwa nyimbo za wasanii mbalimbali sababu kubwa ikiwa ni utovu wa maadili na utamaduni .Swala la maadili...
Rais Magufuli aliamua kumvulia na kumvisha kofia yake Diamond Platnumz simbaaa baada ya performance yake katika uwanja wa ccm kirumba jijini mwanza.
Ila kijana wetu anaadabuu, mara baada ya...
Kuna kipindi wasanii walikuwa wanaogopa kushiriki shughuli na events za wasafi wakihofia Clouds Media lakini leo unaona hadi akina Nandy, Marioo wanashiriki matamasha ya wasafi daah mambo...
WANAMUZIKI WENGI NI HAMNAZO NA LIMBUKENI
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Familia zenye heshima na utajiri, familia za kisomi na kitaaluma, familia zilizoshika dini, familia zenye mambo ya kimila...
Ni kipindi kirefu sana millard ayo aliacha kupost contents za Diamond,
Ishu hii iligeuka fursa kwa wenye channel za youtube maana milard alipanua wao wakaingiza, kusema kweli ilitoa fursa kwa...
wana jf
kwa sasa naona bendi nyingi zimegukia mwendo wa bia kama kiingilio, sijui wanalipanaje lakini najiuliza hawa wakongman wamefanyiwa nini hawatungi nyimbo mpya au wanaangushwa na maproducer...
DUA zinahitajika kutokana na madai kwamba, nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando amelazwa hospitalini nchini Kenya, katika chumba cha uangalizi maalum ‘ICU’, Vyanzo vya habari...