Hivi inakuaje mastaa wa bongo wanapojaribu kufungua biashara huwa hazidumu?
1. Wema alikuja na lipshine,zikabuma
2.Jaydee na ile kitu yake Nyumbani lounge,imeshapotea,
3.Chibu pafyumu &Diamond...
Taarifa za msiba wa Bi Shakila zilianza kama tetesi lakini baadae ikaja kuthibitika kuwa hatunae tena. Bi Shakila Saidi alikuwa ni mwanamuziki mahili, mkongwe na hodari katika miondoko ya taarabu...
Mwanamuziki wa Rap kutoka Marekani Lil Wayne huenda akapewa hukumu ya miaka 10 jela baada ya kukiri kumiliki bunduki ya dhahabu pamoja na risasi kinyume cha sheria.
Lil Wayne mwenye umri wa...
Malkia wa filamu Jacquline Wolper Massawe amenunua kopi moja ya albamu ya Gold ya muimbaji Barnaba Classic kwa dola 3000 sawa na tsh million 7
Hayo yamefanyika kwenye listening paty ya albamu...
Kaka ake na umillinare wote huo anashindwa kumlipia dada ake kodi Jaman ? Sasa kufanya 40 ya kifahari yote ile na kumbe kodi anadaiwa ya nini ? .
Kupitia insta Live, Queen darleen ka confirm...
naomba mniambie zaidi ya Ruby na Grace Matata nani anaweza kupiga show ya hivi hata kama akipigiwa vyombo?nazungumzia hadi wanaume sitaki wale wa gospel kina joe lwaga au gosbert wale wanajua...
Habarini Wana jamvi:
Kiukweli Grammy zimepoteza credibility yao Kama ya zamani,na hii imejidhihirisha kutokana na ubaguzi na kutokuwaweka wasanii ambao wanastahili kuwepo kwenye nomination zao...
mimi nimpenzi sana wa kusikiliza redio za ndani ya nchi na nje, huwa natumia Tune In kusikiliza redio nyingi sana za nje kule napenda HOT108JAMZ na IheartRadio pale kenya NRG, KISS nawakubali...
Dudubaya amepotea tokea 13 agosti, 2020 , leo ni miezi sasa lakini ukimya ni mkubwa,
hata km alitukana watu lakini thamani ya uhai ni kubwa kuliko matusi yake.
Dudubaya yupo wapi?
Wiki hii Tanzania imeng'ara baada ya msanii wake Diamond kuweka rekodi ya kupata views milioni 10 siku ya 8 baada ya kutoa hit song aliyomshirikisha papaa mobimba KOFI OLOMIDE.
Ngoma hiyo...
Asalaam alaykhum,
Kwakweli wale waliopata wasaa wa kusikiliza interview ya salama na gabo leo watakua wamepata kusikia confession ya Gabo exclusively kwamba naye anatumia mjani aka mjamaika aka...
Haijalishi mmekosana nini ni wakati sasa kukaa mezani musameheane haya maisha tu afu ukizingatia mshakuwa watu wazima
Tumefundishwa kuwa binadamu hatokuja kupenda kamwe hadi pale atakapompenda...
Salam wadau wa JF
Lengo kuu la thread ni kuomba ushauri Pamoja na msaada wa kimawazo ikiwezekana..
Ni kuwa mimi niko kwenye harakati za kufanya Muziki(baadhi ya wadau ambao wamepata kunisikiliza...
Mimi ni shabiki wa huyu mwamba wa dance pale WCB.
Mose mdogo wangu umejiachia sana unene na kitambi. Kama unataka mema kwenye kazi yako hima hamia gym na anza diet.
Dancers wazuri kama Michael...
Nyota wa Nigeria kwenye mtandao aliyehuduria harusi pamoja na wapenzi wake sita wenye ujauzito akosolewa na umma Gazeti la Daily Mail la Uingereza limesema, nyota wa Nigeria kwenye mtandao wa...
Mwanamuziki nguli wa nyimbo za Country aliyetamba na vibao kama "Just for the love", "Standing in my way" na vingine kibao ameaga dunia Disemba 12 kwa Corona,tutamkumbuka nguli Huyu kwa sauti...
''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA''
Msanii Harmonize kutoka Konde Gang siku ya jana alimtambulisha mwanaye wa kike ambaye anadai...
Habarini wanajukwaa.
Ni muda mrefu sasa umepita tangu watumiaji wa mitandao ya kijamii hasa IG kumuona KONKI3MASTER akitoa maoni yake yenye lugha ya 'matusi' dhidi ya 'wanyonyaji' wa wasaniii...
Wanabodi
The much anticipated annual listing of the 100 Most Influential Africans of 2020 published by the continent’s premier pan-African publication, London-based New African magazine...
Hata nikikaa kimya kwajili ya utaifa au kuwa shabiki wa diamond, ukweli inabidi unyooke, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi, hakuna kupindisha, nisipo sema nani atasema??
ukiingia mtandao >>...