Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama kawaida KUBWA LA MAADUI nitachambua kauli yangu kwa kina. Well researched, well written, full detailed. Throw...
Watu wengi walisubiria kwa hamu sana kuona jokate ata post nini kuusu alikiba kwenye siku yake ya kuzaliwa cha ajabu sana akapost maneno ya lugha ingine kabisa nakuwaacha wambea hoi sasa kwa kua...
Sikumbuki ni mwaka gani,MH TEMBA aliimba mwaka wa shetani na wala sijui aliwaza nini au kitu gani kilimsukuma je nawe ukitaka kuimba wimbo mwaka huu utauita mwaka wa.....?
Kama kichwa cha uzi kinavyojipambanua, wasanii watatu waliotikisa mwaka huu 2016 unaoisha ni
1. Darassa
2. Ally Kiba
3. Chegge
Acha ubishi, tupe na wewe list yako ya Wasanii unaoona walitamba kwa...
Naimani hii ngoma itakuwa sio mchezo, akiwashirikisha Jah Prayzah na P square. Pia wafanye tour show ya East Africa wafanye show moja Dar, show moja Mombasa na show moja Kigali. Tosha kabisa...
Huyu mwanadada wa Bongo Fleva aliyewika kwa wimbo wake wa kizunguzungu,upepo,umependeza,nashukuru umerudi yuko wapi ?
Kwa mwenye kufahamu alipo na anafanya nini aseme nimemiss sana uwepo wake...
Ulale pema bk wa TMK mapanga/
ulale pema Steve 2 k/fadha nelly langa/
ulale pema Albert mangwair/John mjema mapacha/ Ni njia Moja tunayoelekea nitafuata/
ulale pema remmy ongala/ kweli kifo hakina...
WanaJF kuna rumours hapa mtaani na vijiweni kwamba kampuni mpya ya ndege ya "COMMUNITY AIRLINES" ni ya Anthony Diallo naomba mwenye kufahamu atumwagie tupate ukweli. Kama ni yake kapata wapi pesa...
Habari zilizotufikia hivi punde, Msanii na MC Maarufu, Gladness Chiduo 'Zipompa Pompa' amefariki dunia katika hospitali ya Rabinisia jijini Dar es Salaam.
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Ununio...
Hellow JF,
Diamond Platnumz kwenye hili limenisikitisha sana hapa namuona Diamond alikosa utu nakushindwa kutoa fair kwa Ruge hatakama walikuja kuwa naugomvi lakn Ruge alikua na mchango mkubwa...
Peter Temba in Moshi
Daily News; Sunday,January 13, 2008 @20:03
MOSHI Urban MP Philemon Ndesamburo has purchased a 5-acre plot at
Kiboriloni area, to relocate over 1,000 traders currently...
Karume alia mbele ya Kikwete
NA Saed Kubenea.
Rais wa Zanzibar Aman Abeid Karume, alilia katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kijijini Butiama wakati akipinga kuwepo Serikali ya pamoja...
Nimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi??
Uzi tayari.
Saivi kama umekuja kuona wasanii wa bongo wanapenda kukaaa sana midomoni mwa watu kuliko kazi zao. Yaani wanafanya mambo wazungumziwe wao na sio kazi zao. Japo kuna namna inawasaidia ila kuna...
Amani iwe kwenu waungwana
Ndugu zanguni swali langu kama bandiko linavyojieleza ni kuhusu dada yetu,kipenzi chetu mbunge machachari mh halima mdee mbunge wa kawe
Je ana mume kama hana mume kuna...
Msanii wa kimataifa kutoka nchini Tanzania Diamond platnumz amepata dili kutoka shirika kubwa la ndege la Turkish airlines kuwa Kama main sponsor wa show yake ya European tour atayoifanya hivi...