Diamond platnumz ameendelea kujiwekea record mpya katika kiwanda cha music africa baada ya nyimbo yake mpya aliowashirikisha Psquare kupata views laki 3 na zaidi ndani ya masaa 19 tangu itoke...
Mwaka 2017 umeendelea kuwa mzuri kwa nyota wa Tanzania Diamond platnumz. Kupita account take mpya ya VEVO yenye subscribe 14,370 Diamond amekuwa msanii wa kwanza kutoka Africa wimbo wake kufikisha...
Wadau,
Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole.
Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri.
Happy...
Hiv karibuni tuliona Dkt. Magufuli akitoa kofia yake na kumpa Diamond huko Mwanza. Baada ya kupita siku kadhaa tukaona pia akatoa kofia yake akampa Harmonize.
Leo hii nimeona Alikiba anaperform...
Jana nimengalia show ya Zuchu na nina maoni yafuatayo:
Kwanza, nashauri 'stage show' wake wanapaswa kuwa wanaume kwa sababu aina ya nyimbo zake. Nyimbo za Zuchu ni za mapenzi na iteleta maana...
Inakuwaje wanaJF
Kijana huyu Mwingereza Tim Burton mwenye umri wa miaka 33 alizaliwa tarehe 17/09/1987.
Anajulikana kwa jina la utani kama Shmee150. Ni car blogger, entrepreneur na youtuber...
Wadau wa Burudani nianze kwa kuwasalimu Igweee...!
Thread title is clear..
Sasa nisiwachoshe... Tushee maujuzi.. Je! Ni kwanini imeshindikana kumtoa Diamond katika maintsream...
Yani ni yeye...
Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Sana kijana mwenzangu, mwanamziki KAYUMBA kwa kazi nzuri unayoifanya.
Napenda Sana kazi zake. Na hii ngom mpya ya CHUNGA umetulia Sana kuanzia MAUDHUI...
Wadau inapendeza kuwa pamoja kwa umoja.
Napenda kutoa pongezi kubwa sana kwa waumini wa WCM. Natoa pongezi kubwa pia kwa Naseeb Abdul a.k.a Diamond au Dangote.
Diamond ametengeneza nembo ambayo...
Kupitia harusi ya Kiba Azam tv nimegundua mambo kadhaa kuhusu wanawake wa mombasa....
1. Ni wanawake wanaopenda kujisitiri maungo yao yani wanajua thamani ya miili yao...ushuhuda angalia...
Mkurugenzi wa CMG Joseph Kusaga amesema yeye siyo mmiliki wala mwanzilishi wa Wasafi media.
Amezungumza hayo leo akihojiwa na XXL. Kauli hiyo imekuja kutokana na pongezi ya Adam Mchomvu nanukuu...
Diamond Platnumz Talks Growing Up In Tanzania & Breaking Into American Popular Music
Facebook Twitter Email
The recording artist, entrepreneur and media mogul discusses Tanzania’s musical...
Salam wakuu
Nimepata nafasi ya kusikiliza Wasafi FM kwa siku kama mbili sasa baada ya kuwashwa kwenye mkoa niliopo, na nimeweza kusikiliza vipindi vya asubuhi kabisa(goodmorning) na cha...
Mjasiriamali na mwanamitindo maarufu, ambaye pia ni mjane wa aliyekua mfanyabiashara maarufu , the late Reginald mengi , Kupitia ukurasa wake wa Instagram , ame share video inayoonyesha mafuriko...
Leo ni usiku mzuri kwa mashabiki wa ndondi duniani, kwani tunatarajia kushuhudia mapambano mawili ya kuvutia ya Heavyweight, la kwanza ni kati ya vijana wamoto kutoka Uingereza Daniel Dubouis...
Kutokana na kifo cha utata cha mfanyabiashara Billionare kutoka pande za Zimbabwe, Genius ginimbi, Habari za chini ya Kapeti zinadai, Tajiri huyo alikua anafuga joka kubwa sana nyumbani kwake...
Habari Wana jamvi;
Kwa mwendo huu wa WASAFITV kuruhusiwa kuonyeshwa bure kwenye kisembuzi Cha AZAMTV ni ukomavu na ukuaji mkubwa wa tasinia ya taarifa ya habari nchini.
Pia imedhihirisha ni kwa...
Leo CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz ametangaza kwa mara ya kwanza mkoa ambao utaanza kurushwa Wasafi FM, kumbuka Diamond alithibitisha mwezi wa 4 mwaka huu kuwa wamepata idhini ya kurusha...
Muigizaji wa Filamu Sylivester John Stallone Rambo
Anatajwa kua na sura pamoja na rangi yenye asili ya Uarabu,Uzungu,Uasia, nk.
Yaani Rambo anaweza kuchangamana na waarabu nakuonekana mwarabu...
Je unapenda kujua mazombi yanaishije?
Usipate taabu, angalia mifumo ya maisha ya wasanii wetu. Asilimia kubwa ya wasanii hao si rahisi kutenganisha mitindo ya maisha yao na mazombi, kimsingi...