Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Looh!!, omba yote duniani lakini sio stress za mapenzi , bibie kakukuruka juu chini afananie na dada ake wa US , ili tu amrudishe kamwambie kwenye himaya yake, unaambiwa bibie karoga kwenye...
14 Reactions
216 Replies
33K Views
1. MSANII BORA WA KIUME AFRIKA MAGHARIBI Adekunle Gold – Nigeria Sidiki Diabate – Mali Davido– Nigeria Kidi – Ghana Burna Boy – Nigeria Kuami Eugene – Ghana Rema – Nigeria — WINNER Ariel Sheney –...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari Wana jamiforums Binadamu tunapenda kukumbushwa kuwa sifa na majikwezo sio Mazuri pia usimdharau mtu kwa kukosa kitu Maneno aliyoongea Diamond na ndugu zake kipindi Wanamuozesha Dada yao...
10 Reactions
34 Replies
6K Views
Mchekeshaji kutoka Nigeria, Emmanuella Mchekeshaji maarufu Nigeria na Afrika, Emmanuella Samuel ambaye sasa ana umri wa miaka 10 amemjengea mama yake nyumba ya kifahari na kumpa kama zawadi ya...
16 Reactions
58 Replies
8K Views
Kuna mtu anaweza kuniambia siku Senzo alipigwa risasi na kufariki? Maana nasikia watu wanadai kuwa alipigwa risasi na kufariki, sijasikia hata ilikuwa mwaka gani! ========= Angalia hii video...
0 Reactions
50 Replies
42K Views
TAZAMA WASANII WENGINE WOTE WALIOCHUKUA TUZO ZA AFRIMMA | AWARDS 2017
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Just imagine unazaliwa unawakuta wakina bush,50 cent,Trump,Celine dion,Jay z,lil Wayne, Timberlake,will Smith, Eminem, John deep, Britney Spears,john cena, Batista na wengineo Wengi wanasiasa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wizkidayo a.k.a StarBoy pamoja na Davido wote wameachia Album zao ambazo kwa sasa zimekuwa gumzo Afrika mpaka Worldwide. Kama umepata fursa ya kuzisikiliza ipi umeielewa zaidi? Wizkid MADE IN...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mara Paaap nafungua Instagram naambiwa James Bond Amekufa🙆 Uuuuwi jamaani kwanini umekufa weweee Mwanzilishi wa Sinema za James abond Duniani na Owner WA Copy Right ya James Bond Movies, Dead and...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari wana JF, Moja kwa moja kwenye mada, kama tujuavyo neno Gospel maana yake ni Habari njema kwa watu wote (kutokana na imani ya kikristo). Na kuna waimbaji wengi (hatuwaiti wasanii maana hamna...
4 Reactions
152 Replies
21K Views
Amesema ndoto hiyo ya ajabu imemfanya avunjike mguu wake. Mwanamuziki huyo Kiongozi wa bendi ya Talent amedai ndoto hiyo siyo ya kawaida kabisa na ameamua kumuachia Allah aliye mjuzi wa mambo...
11 Reactions
52 Replies
7K Views
Hizi nyimbo zao nazisikiliza kila siku mpaka mzungu wangu anaona wivu ukizingatia haelewi lugha hahahahaha. Wimbo wa Belle9 listen, vitamin music, nilipe nisepe, etc. Nyimbo za Pasha Hidaya, Ni...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Huu wimbo mpya wa harmonize kama jinsi alivyouita mimi nimeupenda kwa u comedy wake lakini siuiti wimbo kwangu ni kichekesho na wala si wimbo lakini zaidi kitendo chakumchukua kijana anaefanana na...
15 Reactions
101 Replies
17K Views
Zari the Bosslady kashatua mjini, swali je atafikia Mbezi Beach kwa domo au hotelini?
9 Reactions
320 Replies
32K Views
Akiwa na miezi 7 tu kwenye game, Zuchu kwa sasa ndio msanii wa kike namba moja YouTube. Amefikisha subscribers 547.
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Lile Jitu zee anbalo likila demu lazima litangaze. Hivi kwann Mondi na timu yake hawampondi alikiba mashambulizi yote kwa konde Boy worldwide. Mzee mzma Kiki zimeishaisha kaona bora amuite yule x...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Mwanamziki nguli wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize ameshutumiwa na "wasanii wadogo" Lizu Dady na Phamo S kuiba idea ya wimbo wa wimbo wake mpya unaoitwa "huo ni ushamba". Wasanii hao wanadai...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Sijui nitaelewee... nitaeleweka kweli! Hivyo hivyo tu. Ukiacha ile wachezaji wa mpira kubadilisha jezi, kuna mmoja hapa bongo alilia kiatu. Nimemsahau kidogo, basi acha hiyo. Kuna hizi zawadi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za maisha wakuu, Kile kipindi kilichowahi kujizolea umaarufu kupitia television ya taifa miaka ya nyuma kidogo kilichojulikana kama Maisha Plus ukiwa ni ubunifu wa mchora katuni na...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Leo nilikuwa napitia huko youtube nimegundua wasanii wetu watachukua muda mrefu kufikia level za wasanii wa naija. Kwanini tunaachwa mbali sana nyimbo za wasanii wetu ukizisikia zinavyolia kila...
4 Reactions
64 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…