Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwanza kabisa namshukuru Mungu Leo nimezidi kuamini kwamba kutakuwepo na manabii wa uongo. Pili Mungu anatufungua macho wanadamu tuone Na tutambue kweli ipo wapi. Naerejea kwako Mrs. Grace...
14 Reactions
168 Replies
26K Views
Asaalam.... . . neno la kimombo "To be continued" lina maana "itaendelea" zipo video za miziki kadhaa neno hili lipo, nina shauku ya kutaka kujua nini tafsiri yake kwenye muziki husika! nini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Muziki wa Nigeria una ushindani mkubwa sana, vijana kama Omah Lay, Joe Boy na Fireboy DML wanafanya kazi nzuri sana. Lakini mtu ambaye amebahatika kuteka hisia zangu zaidi ni huyu Fireboy DML...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Naona mitandaoni wana yanga wakitaka wema ampunguzie Dogo dozi. Je nini kina endelea baina yao?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello JF, Baraka za Mungu zitande juu yenu katika kutafuta mkate wa leo. Sasa wakuu iko hivi, ni karibu mwezi sasa huyu mwanahabari na mdau wa michezo nguli yuko kwa Trump. Hata habari huwa...
10 Reactions
225 Replies
27K Views
Wakuu nilikua nasikiliza wimbo mmoja wa Jay-z aliowashirikisha Kanye West na Rihanna unaoitwa RUN THIS TOWN, katika huo wimbo kuna mstari unaosomeka: "What you think I rap for, to push a...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Yaani mtu anasema anawashwa, halafu tena anamwambia bwana wake apake vumbi la Kongo. Ina maana wasanii wetu upeo wao ni kwenye ngono tu, hawawezi kuimba kitu chengine. Mashairi kama ya kina...
14 Reactions
50 Replies
5K Views
Miaka ya 2000s wakati Mb Dogg anatamba zilizuka tetesi jamaa anadate na binti Suma yaani Nancy Sumari mpaka akamuimba wimbo wa "Ina maana ". Mb Dogg aliishia wapi?
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Msanii anayetamba katika soko la Afrika Mashariki anayefahamikwa kwa jina la Harmonize, amehimiza wananchi wafanye maombi kwa Nigeria kutokana na machafuko yanayoendelea hivi sasa. Harmonize...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Mwana FA na AY baada ya kujitoa ECT walikua wanaachia pini juu ya pini kali tupu. Mfano hii Pini ya Usije Mjini, dah ilikua inanikosha sana kuanzia biti hadi AY anavoimba na FA kuchana. Kuna...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau naomba kujua official Instagram ya Jay Z
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Plutnumz' amepelekwa mahakamani kwa tuhuma za uharibifu wa mali ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga kwa ajili ya studio maeneo ya Sinza Kijitonyama kabla ya...
2 Reactions
93 Replies
14K Views
Habarini Wana jamvi...? Aise inapofikia swala la mtu kupewa heshima haina budi kumpatia heshima yake, yaani kwa anachokifanya Zuchu kwa Sasa haina haja ya kusimuliwa ili uamini, maana kafanya...
3 Reactions
126 Replies
14K Views
Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na...
34 Reactions
287 Replies
24K Views
Hii siyo stage ya kawaida.
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Bifu la Jokate na Flavian Matata linazidi kukua siku baada ya siku. Chanzo ni Jokate kuiba idea ya Flavi ya kutengeneza mabegi ya mgongoni kisha kutangulia sokoni. Sasa imebaki ni vijembe mtindo...
1 Reactions
78 Replies
14K Views
Kwa wafuatiliaji vyombo vya habari na wasikilizaji wa habari lakini pia wanaofuatilia kuwafahamu watangazaji jina la Khalid Gangana sio geni masikioni mwao na machoni mwao. HISTORIA YA KHALID...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Nawakumbusha tu msije mkajisahau mkadhani CCM itaondoka na nyie kwenda Ikulu na kuendelea kula bata na kupewa visent mnavyodanganywa kwa Sasa.
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Nawasalimu wote! Kuna msemo "we are what we are because of other people" Ni ukweli kabisa kwenye hekaheka zetu za kila siku tunafanya mambo mengi makubwa kwa kuiga mfano toka kwa mtu au watu...
8 Reactions
513 Replies
39K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…