Nimeona mashabiki wachache wa Chadema wameanzisha Uzi kwaajili ya kutopiga kura kwa Wasanii wanaoshabikia CCM unajua Kuna vitu vinachekesha Sana na ukute hao watu Ni watu wazima na wengine...
Leo nimebahatika kutazama video ya huyu Jamaa alie fanana na Diamond..mwanzoni sikiweza kutofautisha yaani nilijua ni Mond mwenyewe
Toa maoni yako kuhusu huyo Jamaa !
Wakuu, mi nauliza tu!
Hawa ni mastaa wetu, ‘vioo’ vya jamii. Basi wengi wao hupenda ku-name akaunti zao ‘official’.
Yaani kila msanii ana prefix- au suffix- official, hata wale uchwara atajiita...
Producer wa muziki s2kizzy ametoa taarifa kupitia ukulasa wake wa Instagram kuwa usiku wa kuamkia Leo amevamuwa na Hawa wanaoijiita ulinzi shirikishi na kufanyiwa fujo kwenye studio yake ikiwa...
Jonijo kaondoka nilijua lazima aondoke siku 1.
Pale Wasafi unachukua mshahara na huruhusiwi kuwa na YouTube channel, Jonijo alikuwa ana YouTube channel, sasa ameingia WASAFI akajua labda...
Wana Celebrity What's up!
Tarehe kama ya leo 2.10.2020 alizaliwa Diamond Platnumz(Naseeb Abdul)katika mitaa ya kiswazi Sana Tandale.Alizaliwa katika familia ya kimaskini iliyokuwa ikilelewa na...
Wakuu nataka kufahamu nani mmiliki mkurugenzi mkuu wa wasafi media yaani mwenye share kubwa...
Mimi kwa ufahamu wangu ni Diamond je ni kweli diamond ndiye ana share nyingi pale wasafi media mpaka...
Wakuu Amani Iwe nanyi.
Nimeona Post Za Wasafi Kuwa Nominated Kwenye Grammy Awards 2021 lakini kila nikitafuta kwenye Official Accounts Za Grammy Sioni.
Ni Kweli Kwamba
1.Diamond Platnumz...
Malkia wa bongofleva Zuchu ameweka rekodi ya kukaa namba moja trend kwa wiki zaidi ya mbili.
Na masaa matano baada ya kutoa wimbo mpya umeenda moja kwa moja kushika namba mbili kwenye trend.
Kwa...
Leo nimesikiliza habari mtandaoni kutoka kwa mtoto wa Dudubaya anayeitwa Maria kwamba baba yake amepotea tangu 13/08/2020. Wanajamii forums pamoja na tabia yake ya "kuwazodoa" watu mbalimbali...
Habarini Wana jamvii.
hii ni kubwa kuliko kwa wasanii wetu pendwa watatu, Diamond Platnumz The G.O.AT in East Africa), Rayvanny (the one and only BET winner in East Africa )and Zuchu(Best female...
Msanii aliyewahi kuhit hapo zamani na nyimbo kazaa H.baba ametoa povu zito kwa kusema Kuna watu Wanambania Nandy na wanataka kumshuka kimuziki ili Wasanii wao wafanye vizuri.
Nini maoni yako...
Aman iwe nanyi wakuu
Nimemsikiliza chid benz kwa makini sana kuanzia mwanzo mpaka mwisho akizungumzia unyonyaji wanaofanyiwa wasanii
Lakin kuna kitu nime kinote kwamba anachozungumza chid benz...
Huyu bwa mdogo alianza vyema lakini sasa hivi anazidi kudrop, wimbo wake mpya haueleweki, haufanyi vizuri sokoni, promo kutoka kwa boss wake hapati ya kutosha..kaporomoka hatua 70 nyuma, ni vyema...
MSANII mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Judith Wambura ‘Lady JayDee’ ameingia kwenye hatari ya kufungiwa wimbo wake mpya, unaokwenda kwa jina la ‘One Time’ baada ya kudaiwa kuhamasisha matumizi ya...
Wasalamu Wakuu.
Naomba Ieleweke kuwa Sisi Kama Tanzania mziki wetu kutoboa Kimataifa Bado Sana Na Tuna Safari Ndefu Mnooo. Hatuwezi Kukaa Kuwa Sawa kama Nigeria, SA na Nchi zingine Zilizotoboa...
Kanye West (43) ametangaza kupitia mtandao wa Twitter kuwa atagombea Urais nchini Marekani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Novemba 2020
Bado haijafahamika kama ameshaanza mchakato huo...
Habari wanajukwaa,
Leo katika mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) ndugu John Joseph Pombe Magufuli kulikuwepo na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii...
Nimeona picha za Tunda insta baada ya Bilionea Laizer kutangazwa akijipa jina la Tunda Laiser
Picha zake zimeshtusha mashabiki kutokana na muonekano wake akiwa kakonda na mabaka meusi yamemjaa...