Mwanzo jukwaa hili lilikuwa lina vitu vitamu vinavyohusu ma celebrity wetu na muziki wao kiujumla huku wanajamvi wakigusia pande zote kuhusu muziki wetu na lilinoga sana.
Ila majuzi hapa jamvini...
Edo Kumwembe ni mchambuzi mzuri Sana wa soka na anawavutia watu wengi Sana na nilipenda sana awe na kipindi cha muda mrefu wa kufanya uchambuzi nashukuru Mungu amesikia ombi langu na soon atakuwa...
Wasalaam wajamvi
Kati ya tasnia inayokuwa kwa haraka sana na yenye mashabiki wengi sana ni muziki na sanaa ya uigizaji
Wadau wengi wamewekeza lakini kwenye huu muziki Diamond Platinumz na...
Wasalaam wanajamvi!
Kuna wasanii kwenye sanaa yetu wanayo bahati na wengine hawana bahati kabisa!
Kuna wasanii hawajui kuigiza kabisa lakini wanapendwa sana utafikiri wanajua sana lakini sio...
Hiv karibuni Marioo ameuzishwa na kutaka kujinyonga kisa mapenzi. Na hii Ni baada ya kupost kitanzi bila caption na watu kutafsiri anajinyonga kumbe ametoa wimbo unahusiana na kicho kitanzi...
WCB (Wasafi Classic Baby) nadhani nikisema hivyo kila mtu anaelewa.
WCB nadhani kwa sasa ndio label iliyoshikilia industry ya Bongo Fleva hawa watu wako very Creative na Wanafikra yakinifu. Tena...
Sisi Wataalam wa Masuala ya Music tulitaadharisha mapema kuhusu ku-copy Copy oneni aibu inayomkuta huyu mwanamziki wenu aliyeishiwa Kabaki kubebwa na Vikolabo vyenyewe vya ku-copy 90%...
Kiukweli nimefadhaika sana baada ya kusikiliza wimbo mpya wa Dada Mkuu, Komando na Malkia wa Bongo flava Lady Jaydee uitwao One Time. Humo ndani Jide anahamasisha uvutaji bangi hadharani, hasa...
Wasalaam wana Jamvi!
Baada ya mwana muziki bora kabisa Tanzania kumsifia mdogo wa mwanamuziki Vannesa Mdee hivi karibuni kwenye ukurasa wake wa instagram “ haka katoto nakapendaga basi tuu”...
Hivi karibuni kuna mtu anaijiita Tony Anton alifuta ngoma ya Cheche na akaifanya isipatikane YouTube kwa siku mbili, baada ya huo mkasa kutokea uongozi wa WCB kwenye department ya digital platform...
Baada ya Alikiba Kuachia nyimbo yake ya MEDIOCRE na kufanya mitandao yeye na Hasim wake kuwa Gumzo na kupelekea watu Kutafsiri kuwa Alikiba kamtupia Dongo Diamond na kufanya yule kijana wa...
Wasalaam wana jamvi....
Msanii Q-Chillah toka juzi hajulikani alipo na watu wakaribu yake wameshindwa kumpata hadi sasa si kwenye simu au uso kwa uso na hawana taarifa yeyote popote alipo...
Daaaaaah Habarini Wana jamvi...?
Kweli Kuna ule msemo unaosema kila zama na muda wake, leo ndio nimekubali huu msemo.
Nimejaribu kusikia wimbo wa huyu mzee wetu Alikiba nimeona kaishiwa kabisa...
Kampuni ya maziwa ya @TangaFresh leo Septemba 17, 2020, imeingia mkataba na msanii wa bongo fleva @mbosso_ kuwa balozi wa bidhaa za maziwa ya kampuni hiyo, kushoto kwenye picha ni Alex Chonge...
Mume wa msanii Alicia Keys, Swizz Beatz amelazimika kuingilia kati baada ya mashabiki wa Diamond Platnumz kumshambulia mke wake mtandaoni kwa kumshirikisha Diamond kwenye wimbo wake wa Wasted...
Team Kiba wote leo imekuwa siku yetu nzuri Baada ya Msanii wetu pendwa Ali Salehe Kiba kutunukiwa zawadi na Rais wetu Mpendwa Dkt. John Joseph Magufuli.
Mimi kama kijana na Mpenzi wa Muziki wa...
Soudy brown
Hanaga mambo ya Kiki Huyu Yuko naumbewa wake
Sam-Misago
Mwansishi wa habar popular
Mzeemkavu
Mzee wa shilawadu mnyaki hanaga Kiki za kijinga
Dullavan
Mchekeshaji....Hana...