Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habarini wadau, Katika filamu ambayo niliipenda sana na kuangalia kwa zaidi ya mara 2 au 3 ni pamoja na TERMINATOR 2, The Judgement Day. Kuna huyu Dogo aliyeitwa John ambaye alipenda sana...
6 Reactions
31 Replies
5K Views
Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi mtangazaji mashuhuri nchini Hamis Mandi aka Bdozen ambaye kwa sasa anatangazia kituo cha redio cha E-FM amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi aitwaye...
10 Reactions
112 Replies
18K Views
Mwigizaji Stevie Lee ambae alinogesha sana filamu za Jackass 3D na Death Match amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 54. Stevie Lee ambaye pia ni Mwanamieleka Los Angeles Marekani amefariki...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
OK Niende direct baba levo anajiskiaje right now baada ya wasafi FM kufungiwa kwa siku 7 sababu ikiwa ni yeye...siku ya Jana TCRA wameifungia wasafi FM isiwe hewani mpaka tarehe 18 Kisa maudhui...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa. Mara kadhaa kupitia kwa watu, mitandao ya kijamii na redio, nimekuwa nikilisikia sana jina la mwanadada aitwaye Beatrice Ndung'u, likitajwa sana katika ulingo wa burudani. Je...
3 Reactions
32 Replies
8K Views
Salaam wakuu, Mimi hua ni mpenzi sana wa hizi series za ki sauzi since isidingo, scandal etc. Sasa kuna hii inayoitwa Imbewu inayooneshwa e.tv ya SA, kuna mdada anaigiza character ya 'Zethu'...
7 Reactions
122 Replies
17K Views
Wana JamiiForums, Nimewaza sana lakini nimeishia juu juu sijaenda deep sana kwa mawazo yangu. Swali: Ninalojiuliza ni kwamba Mtu anapata vipi pesa au anakua vipi tajiri kutokana na u-famous au...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Alikuwa yuko vizuri tu kama hapaakitoka na demu wake safiMara mwonekano unabadilika Mara tetesi za kuwa na mahusiano na wanaume kama huyu jamaa Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
127 Replies
20K Views
Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla...
8 Reactions
76 Replies
12K Views
Mi sielewi hizi media zetu kubwa ambazo zimeonekana kususia kupiga nyimbo za WCB, kama Diamond ndio kawakosea ni kwanini wasimpe adhabu yeye? Hawajui kama wanawakomoa kina Mbosso,Lavalava na...
11 Reactions
63 Replies
11K Views
Kabla hajawa Shishi baby,Shishi Trump wala Shishi Food......
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Huyu jamaa shida ni nini wadau tusaidiane kumdadavua?? Anaitwa Mwijaku binafsi sijawahi kuona lolote la maana kwake leo naona kawafomea waandishi wa habari still bado wanamuuliza maswali tu...
1 Reactions
41 Replies
8K Views
====== Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha...
9 Reactions
791 Replies
139K Views
Wasalaam wanajamii Nilikuwa naangalia live kwenye tv uzinduzi wa kampeni za CCM. Kabla ya mwenyekiti kuongea , wakaalikwa wasanii watatu (top artists) 1. Harmonize, kidogo ndio amepafom vizuri ...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Mitaani walimwengu wanazungumza kuwa DJ Mamie ndio DJ nambari moja kwa sasa Africa Mashariki na Kati. Dj Mamie msomi mwenye degree ambaye alikuwa radio ya EFM kwa sasa anakimbiza kupitia Wasafi...
2 Reactions
47 Replies
11K Views
Navosema reginald mengi hakuwa mtanzania wa kawaida, sisemi ivo kwasababu ya utajiri au umaarufu wake.. Ni kwasababu aliweza ku-maintain utajiri wake na aliweza ku-maintain kuishi lifestyle ya...
8 Reactions
29 Replies
6K Views
Wakuu Salaam; Leo nilikua na safari kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, sasa basi nililopanda ni luxury na tulikua tunaangalia video mbalimbali za mziki hasa wa hapa nyumbani. Kila mwishoni mwa...
3 Reactions
81 Replies
8K Views
Jumapili iliyopita wananchi walikua na Jambo lao pale Mkapa stadium,.wasanii kadhaa waliimba mbele ya wananchi. Lakini alipokuja harmonize alijaribu na akafanikiwa kwa asilimia nyingi kuonesha...
21 Reactions
35 Replies
5K Views
Anaandika Javan Samora-Kenya Msanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz ( Dangote ) leo amewachefua fans wake mara baada ya kuongea Ki-ingereza cha hovyo ( Broken English ) na kuzua taharuki...
2 Reactions
83 Replies
15K Views
Wakati akiendelea kutumbuiza bwana mondi alitaka ashuke jukwaa lake aende kupanda jukwaa la wenye nchi, kufika ngazini kakutana na kono la baunsa mwenye shati la kijani kampiga stopu ikabidi azuge...
15 Reactions
96 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…