Aliyekuwa mume wa Flora Mbasha aambulia aibu ya mwaka baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kupata penzi la DJ Carry au Carrymastori kama anavyojulikana na wengi .
Carry ametishia kuanika chats zao...
Akizungumza kwa ' huruma ' kabisa huku akikaribia ' kulia ' Mtangazaji ' maarufu ' wa Clouds fm Adam Mchomvu wakati akitoa salamu zake za mwaka wa kuzaliwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
By Sangu Joseph
.
Kwanza kabla ya yote nieleze masikitiko yangu na kuonesha kuhuzunishwa kwangu, na mambo aliyoyasema Dada na Msanii wetu Vanessa Mdee juu ya namna ambavyo wasanii wakike wanahaha...
BAADA ya mwanamuziki wa Nyimbo za Injili Bongo, Flora Mbasha kusambaza kitabu alichokipa jina la Siri za Flora Mbasha kilichoanika ‘mabaya’ ya aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha, mumewe huyo...
Ikumbukwe kuwa video vixen maarufu Jack Patrick/ Cliff ambaye pia alikuwa mpenzi wa Msanii Jux alihukumiwa kwa kukutwa na madawa ya kulevya nchini China tarehe kama ya leo tarehe 11/ 08/2014...
WATU watatu wamekamatwa na kushitakiwa kutokana na kuhusika kujaribu kuwapa rushwa na kuwatishia maisha wanawake ambao walimshitaki R. KELLY kwenye kesi yake inayomkabili ya unyanyasaji wa...
nikutokana na mapokezi yake makubwa kigoma, ambapo alikiba mzee awezi fikia.
Maana alikiba wameudhuria watu hata 100 hawajafika, huku diamond walikuwa zaidi ya 10000,na kuandika historia kubwa...
Mwali wangu yamemmkuta mazito Jana.
Hivi sijui sura yake ataiweka wapi maskini, hadi shoga zake akina Mama Dangote wamemkana amewatia aibu, tatizo mwali na ewe umezidi mdomo mno, kwani unadhani...
Dina Najua Upo Hapa JF, Kwanza nianze kwa kukusifu, Dina wewe ni Mwanamke Imara sana, Kwa yale Ambayo Nayaona mimi. Sikujui personal, Ila Kwa maandishi yako, Ongea yako kwenye vyombo vya habari...
Ndugu Wajumbe wa Wcb mmeona balaa la mfalme huko Kigoma?
King baada ya kuujaza uwanja wa Nangwanda sasa amepeleka balaa kigoma, Mapokezi aliyoyapata unaambiwa haijawaitokea msanii akapata nyomi...
Ingekuwa wale wazee wa "KIKI" Kila upande taarifa ingekuwa hiyo...nimesubiri kwa muda mrefu nione nani atamfunga paka kengele, mnachunia ili baadae domo akifanya kitu kidogo mke mtupigie kelele...
Wadau kuna mtu mwenye taarifa yoyote kuhusu gavana wetu wa Benki Kuu? Hivi bado anaumwa? Bado yuko US au kesharudi Dar? Ni muda mrefu, kumekuwa na umkimya sana kuhusu Mhe. Gavana ambaye ni mtu...
Kwa mwaka wa pili mfululizo, Dwayne Johnson anayefahamika zaidi kama The Rock ametajwa kuwa Muigizaji anayelipwa zaidi duniani kwa upande wa Wanaume
Jarida la Forbes limesema The Rock ameingiza...
Nilivyoambiwa wanawake wa kenya na Uganda wanajua mapenzi na kumcare mwanaume mwenzenu nilibishaga mjue, sasa ndio nimeamini kwa nini kaka zetu hawa wanakimbilia kwa kasi ya 4g kuowa na kuchumbia...
Stori: Imelda Mtema na Erick Evarist
BAADA ya kushikiliwa kwa takriban miezi tisa kwa kesi ya madawa ya kulevya ‘unga', hatimaye Video Queen maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff...
Habari zenu wakuu,
Poleni na miangaiko ya hapa na pale, kiukweli huyu msanii wenu alikiba almaarufu kama kingkiba the real voice siku hizi naona kabisa uwezo wake wa utunzi umeshuka sana...
Nani anamuelewa Simi kama mimi? Ni msaniii Wa kike kutoka Nigeria. Ana sauti ya kipekee sana.
Ukisikia "duduke", " I don't know you well" ni talented mno. Angekuwaa majuu angekuwa level za kina...
Habari Wakuu,
Salama Jabir ni miongoni mwa mastaa wa kike wachache waliofanikiwa kujenga heshima hasa kwenye tasnia ya habari na mwenye uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu wazito na...
Hi..
Kwa wahenga natumai mmeitizama muvi hii. Sterling Donie Yen
Kuna dogo fulani yupo humu ni noma sana kwenye masho ratiii (In Dj Afro voice).
Hako kadogo jina lake halisi ni Angie Tseng...
Kwa hatua uliyokuwa umefikia kwa kipaji chako cha mziki..hakika haikua kazi nyepesi kupambana na nafsi yako na kuacha kabisaa mziki wa dunia na kumrudia Muumba wako na kukubali kuanza upya katika...