Ben Pol amesema kwa interview kuwa Harmonize, Sheta na Caligraph Jones wana slide kwa sana kwa dm ya mchumba wake Anerlisa.
Kama kawaida yenu watanzania hampendi kuona watu wanaelewana lazima...
Aslaam aleikyum wanajamvi,
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa wanafamilia wote wa CMG kwa kuondokewa na Watu wawili muhimu (Ruge&Kibonde), kazi yake mola haina makosa.
Let me back to the...
Hakuna kubadili gia, Hakuna kupoteza nia!Dada mkuu Jide Jay Dee amedhamiria kuongeza volume Clouds FM ndani ya Amplifaya na Mtu wako wa nguvu, Mr.Countdown Millard Muyenjwa Laizer Ayo, Teh teh...
WAKATI Siku ya Wapendanao — February 14 mwaka huu — inakaribia, staa wa filamu, Elizabeth Michael Lulu, amekuja na jambo jipya; anauza nguo zake na viatu ambapo pesa atakayoipata itakwenda...
Kuna mtu kanidokezea kwamba mama yetu wa kwanza naye alijitosa usiku mrefu ufukweni mwa bahari ili kujipatia mafuta ya yule papa aliyefia ufukweni wiki ilopita. Inasemekana ni dawa nzuri kwao...
Muigizaji wa Filamu Tanzania Shamsa Ford
Muigizaji wa Filamu Tanzania Shamsa Ford, amesema kutokana na uzuri alionao, anaamini mwanaume anayetaka kumuoa kwa sasa anapaswa kutoa mahari ya shilingi...
Wallah Huyu Dada Anapika na Ni Hardworking (Kwa Hill Namsifu)Then Pamoja Na Ubonge Wake A see Anajua Kucheza Muziki Mzuri...
Let's get back to the point, ananiudhi huyi huyu Dada,You know kuna...
Vanessa alisema sababu ya yeye kuacha mziki ni kuwa haukuwa unampa hela, halafu alikuwa akilazimika kuishi maisha ya juu ili kuwafurahisha mashabiki, wakati kiuhalisia hana uwezo huo
Inawezekana...
Nimepokea kwa Mshituko mkubwa Kifo cha Mzee Mabrook maarufu.Babu Njenje kilichotokea usiku wa kuamkia leo
======
Mkongwe wa Muziki wa Mduara MZEE NJENJE, aliyekua mmoja wa wanaounda Kundi la...
Diamond Platnumz Ameweka wazi kuwa amemalizana na lebo ya Universal Music ambayo alimwanga wino kusambaza kazi zake za Music, Diamond amesema kuwa amejifunza mengi kupitia mikataba yao, kiasi...
Ukiangalia kipindi cha kusoma magazeti Wasafi TV kwakweli ndugu Maulid Kitenge unaboa sana na hivyo vituko vyako.
Yani umekuwa kama MC Pili pili hebu acha huo upuuzi. Ulikuwa mtangazaji mzuri...
Ndoa ya Muigizaji wa Bongo movies Shamsaford na Chidd Mapenzi imeingia doa, kisa na Mkasa Bado Hakijawekwa Wazi..
Chanzo cha habari Shamsa mwenyewe kama inavyoonekana pichani
Hapa akimjibu...
VideoFUPI: Je Diamond katimiza ahadi yake
Moja kati ya stori zilizoingia kwenye headlines siku ya February 1 2016 ni hii ya msanii wa Bongofleva na CEO wa record label ya Wasafi Classic Baby...
Bwana mdogo katangaza kuleta Carnival tarehe 28/11/2020 akishirikiana na TVE
Vitu vya huyu dogo vingi ni vya kukurupuka yaani kama kasikia mtu anatajataja na yeye ana wahi na anasema uwanja wa...
Msanii mkubwa toka nchini Nigeria patoranking ameonesha kumkubali msanii zuchu toka WCB WASAFI.
Kupitia kipindi cha XXL cha clouds fm radio leo patoranking alisema msanii wa kike anayemkubali...
Huku Mjadala Ukiendelea humu JF kati ya Rosa na Chemical nani Mkali, Rosa Ree usiku wa leo amedrop kichupa cha ngoma yake mpya aliyomshirikisha Rapper Kutoka South Afrika Emtee...
Kitazame...
Si vibaya kujikumbusha na pia kufahamu wako wapi na wanafanya nini sasa katika maisha yao. Je kuna chochote cha kujifunza kutoka katika maisha yao?
Je warembo wetu walifika wapi na wako wapi...
Imekuwa kama fashion, sasa sijuii ni kweli au ndo muendelezo wa kina baba kutengwa kwenyw kula mema ya watoto wao? jana nilikuwa na sikiliza kipindi cha the switch wasafi pale kwenye segment ya...