Kana-Ka-Nsungu is back! nilienda bush kutambika na nimerudi na mengi sana kutoka huko tunapopaita nyumbani, nitakuwa nikiwamegea kidogo kidogo kadiri muda utakavyo ruhusu, kwa leo naomba tu na...
Live kutoka JNICC
Tuzo za malkia wa nguvu zinazotolewa na Clouds Media na KCB tujiajiri program
Mgeni rasmi ni Mama Getrude Mongela, na naona na watu mashuhuri kadhaa akiwemo RC wa jiji hili...
MARTIN F LAWRENCE.
LUCAS MHUVILE a.k.a JOTI.
Msanii Joti amekuwa akionekana akiigiza nafasi mbalimbali na kuzimudu, kwa hilo namfananisha na Msanii genious wa USA, Martin F Lawrence aliyetamba...
Haya ni mapenzi au utumwa,huyu binti bila aibu katika Tamasha la ''Tigo Kiboko Yao'' Jumamosi alimchapa makofi anayemwita mumewe mtarajiwa kisa amegoma kwenda nae.
Ilifika muda Shilole akataka...
Hahaaa kuna hii nyimbo mpya ya shilole sijui inaitwaje vile, ila video yake inapigwa sana EATV.
Anampiga majungu kwa mbaali kijana wake wa zamani kua alimzaba makofi na akitoka alikua anabeba...
MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa...
Na Gladness Mallya na Hamida Hassan
KWA mara ya kwanza msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole' amenaswa akiwa na mwanaume wa Kizungu anayedaiwa kuwa ndiye mchumba wake...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amejutia kuwapenda wanaume wa mjini kuwa ni wavivu kila sekta hivyo anajipanga kwenda kijijini kwao Igunga,Tabora kutafuta mume...
Wakati Bongo Fleva inakuwa, producers wengi walikuwa wakali na kila mmoja alikuwa na radha yake kwenye muziki, ukisikia ngoma mpya tu unajua huyu ni flani, kila mtu alikuwa na jina lake na hata...
Wasanii wa fani mbalimbali ambao mmefanikiwa kutusua kimaisha, kuleni starehe huku mkijua kuwa Kuna kesho, tumechoka kuchangia wasanii kwa ajili ya matibabu.
Mwanamziki nguli wa muziki wa AfroPop Bi Patricia Majalisa kaaga dunia.
South African disco queen, Patricia Majalisa, has died.
In a message posted on the late Dan Tshanda’s Facebook page...
Lord eyes popote ulipo huu ujumbe ukufikie sio kwamba ninakuogopa kukuchana face to face ila nimeepusha shari isiyo na msingi.
Lord eyes tabia ya kuokota okota malaya hovyo itakutokea puani ,ipo...
Wakuuu habari za mida
Okey ni hivi Najua unamjua na unampata sana black America (Eddie Murphy) basi leo nakwambia jamaa ana uwezo wa kucheza Character Zaidi ya Tano, ipo hivi leo nakwambia kama...
Watu marufu marekani hasahasa wasanii wa muziki kama 50 cent wameshambulia vikali msanii mwenzao tekashi 69 ambae yuko rumande uku akisubiria hukumu ya miaka 47 ndani.
Sasa swala limekuja baada...
Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.
Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye...
Licha ya kuwa Salama Jabir ni kati ya watangazaji wachache wenye mvuto na waledi kwenye career yake hiyo, Msanii wa hip hop, Nikki mbishi, amemvaa Mtangazi huyo mwenye hulka ya ki tomboy na...
Yametimia baada ya yule dada maarufu kwa kutembea na serengeti boys aka dogodogo kumpa kibuti kikali aliyekuwa mpenzi wake yaani Nuhu Mziwanda.
Mtakumbuka mapenzi yao yalibamba sana hasa baada...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Yule msanii wa kizaz kipya shilole aka zuwena shishiii beibii kutoka igunga anadaiwa kumchapa makof mpenz wake...