Wafuatao ni wabunge warembo zaidi katika lililokuwa bunge la 2015-2020 lililovunjwa mwezi huu June 16
1. Upendo Peneza
Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA akiwakilisha mkoa...
Naomba kujua.
Mbona Clouds FM imepewa masafa ya mwanzo mwanzo kabisa kuliko redio yeyote ile Tanzania? 88.5 FM Dar, 88.4 FM Pwani, 88.5 FM Moro, 88.0 FM Tabora, 89.3 FM Kigoma, 87.9 FM...
Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo...
Wasanii wako ni wachanga sana, unatoaje wimbo wako siku 1 baada ya kutoa wimbo ya msaani wako?
Kinachotokea watu wataconcentrate kwenye ngoma yako, Coz we mkubwa kuliko wao....
Kati ya wanamuziki ambao wana kipaji haswaa na ni mafundi wa kuimba basi Ramadee ni kiboko yani ni sawa na Ed Sheeran wa Marekani vile, lakini kwa sasa alieukamata mziki wa Tanzania ni Diamond...
(Adam kijana mwenzangu umeanza CLouds fm siku nyingi sana lakini angalia jinsi ambavyo unatengwa. Angalia jinsi ambapo huaminiki.
XXL ni wewe ndiyo ambaye unaibeba..Kipindi cha Bongo fleva...
Habari za Usiku huu Wakuu Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima,
Now nimeshaona show za Wasanii mbalimbali Kupitia Show ya Homa kupitia channel ya TV E!, Katika kuona kwangu sijamuona Diamond je...
Salamu wan JF,
Tafadhali naomba kujua historia fupi ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili aitwaye Christina Shusho.
Mbarikiwe kwa msaada wenu
============
Ni mtumishi wa Mungu wa ukweli. Ana...
Kweli bila kumtumikia ibilisi hii dunia unapotezwa upesi sana.Akina Nandy na matusi yao wana trend na wataendelea kwa nguvu ya vyombo vya habari vingi vikiwa vya ki illuminat.
Naukumbuka sana...
Habarini ndugu wana jukwaa!
Nimefuatilia sana kuhusu hii trend ya baadhi ya media kutopiga nyimbo za baadhi ya wasanii na mara zote nakosa majibu kwa kuwa hakuna media inatoa sababu za kwanini...
Diamond anajua sana aisee, kwamfano kwenye ile official video ya nyimbo ya gere (tanasha x platnumz) kuanzia ile dakika ya 1:57 mpaka dakika ya 2:15 jamaa kaonesha body language presence ya hali...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz akiwa chini Ufaransa ameweza kufanya tukio kubwa sana la Kuperfom wimbo wa TETEMA kwenye birthday ya aliyewahi kuwa mchezaji wa...
Watanzania tuna tabia ya kutoa sifa mtu akishafariki. Sasa leo hii nakupa hongera mond kwa mambo mengi ulioyafanya:
1. Kuitangaza lugha ya kiswahili kupitia nyimbo zako.
2. Kuleta tuzo za...
Kupitia akaunti ya Instagram ya E Fm (efmtanzania) wameandika haya
Hamisi Mandi B. Bozen, kati ya majina yake anayopenda ni The Navigator (msafiri). Kwenye safari hiyo kavusha wengi kiasi kwamba...
Niimani yangu kuwa mko poa wana jf mnaendelea na majukumu ya kila siku japo ndio hivyo vyuma vimekaza kwa baadhi yetu lakini maisha lazima yaendelee
Leo tunamuongelea mchekeshaji wa zamani...
Ayo Tv, Millard ayo channel ya youtube zamani ilishazoeleka kuingiza hata video 10 kwa mpigo kwenye orodha ya video zinazovuma (trending videos), Ni kipindi ambacho kijana hakuwa na mpinzani...
Nimejaribu kucheck orodha sijaona hata msanii mmoja kutoka nyumban na EA kwa ujumla, hii maana yake nini? Mziki wetu umeshuka? Au wasanii wetu washalizika? Au tuseme ushindani umezidi...
Majina...