Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Celebrity katika Tasnia yupo mbioni kuagiza Private Jet (kwa matumizi binafsi) na Helikopta (kukodisha). Stay tuned wana-Tabora.
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Katika wasanii wenye Uwezo mkubwa wa kujenga hoja zenye maana katika Jamii hivi sasa hapa Tanzania, ni Ibrahim Musa aka Roma Mkatoliki. Kwa Ujasiri na uwezo wako mkubwa kimaono kama kijana...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Tukiwa tunaendelea kushuhudia maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi yaliyotokana na mauaji ya Mmarekani mweusi George Floyd, ni vizuri wakati huu kujadili maswala yanayohusu ubaguzi wa rangi huku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna wakati niliwahi kusikia serikali imewachukulia hatua watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja akiwemo james delicious na amber ruti. Nimeuliza kwa sababu mara nyingi nawakuta hawa watu...
1 Reactions
55 Replies
8K Views
Kennedy sanga maarufu director Kenny moja ya video director wakubwa hapa east Afrika na director namba moja wa Diamond Platnumz Kitaaluma ni fundi umeme.Alianza mambo ya video kama mmoja wa...
12 Reactions
61 Replies
11K Views
1. Paul James Sweya a.k.a PJ, 2. Fredy Fidelis Massawe a.k.a Fredwaa. Walikua wakisikika CLOUDS sijui wako wapi now 3. Samuel Misago alikua akisikika EATV
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanamfalme Philip ambaye ni mume wa Malkia wa Uingereza, Elizabeth II kwa zaidi ya miongo 7 anasherehekea miaka yake 99 ya kuzaliwa, leo Juni 10 Philip 'The Duke of Edinburgh' atatumia muda wake...
3 Reactions
60 Replies
8K Views
William’s late mother, Lady Diana Spencer, married Charles, Prince of Wales in 1981 at Westminster Abbey. She then inherited the title, Diana, Princess of Wales – though she was affectionately...
7 Reactions
74 Replies
7K Views
Controversial Twitter bigwig and influencer Artur Mandela aka Xtian Dela has for the first time revealed that he collected more than Ksh5 million from Club Covid. Xtian started Club Covid after...
1 Reactions
0 Replies
779 Views
Wakuu, Je wasanii wetu wa sanaa wanajua maana ya hakimiliki yaani copyright? Tunaposema hakimiliki au copyright inamaanisha haki aliyomilikishwa kisheria mtunzi au mwandishi wa kazi fulani kama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtandao maarufu wa kupanga charts za muziki duniani wa Billboard umeachia makala wakielezea namna ya kupata mafanikio kimataifa kwa kutumia mtandao wa Youtube huku wakimtolea mfano star wa muziki...
14 Reactions
141 Replies
19K Views
Nukuu: "mtangazaji kanipgia simu kuniuliza, Roma kwanini hatukuoni Ukiandamana au Ukikekemea Mtandaoni yanayoendelea Marekani Kama wafanyavyo wasanii wenzio was bongo?(Black lives matter)...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
. By SanguJoseph Leo nataka tuwaze pamoja, Kwa nyinyi kupokea salamu zangu kwa Alikiba,, msianze kusema wewe Sangu J unachuki Zako binafsi na Kiba, mbona kila siku wewe unamuangalia kwenye...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika kitabu chake cha SUGU THE AUTOBIOGRAPHY -MAISHA NA MZIKI (FROM THE STREET TO THE PARLIAMENT) Sugu anasema ""Nakumbuka katika kipindi hicho nilikuwa karibu sana na kanisa, nilikuwa mmoja...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Rais wa Manzese Madee Ali amesema kuwa haamini kwenye ubaguzi wa Rangi unaotajwa kuendelea Duniani na hata George Floyd inawezekana alikuwa mhalifu. Madee amezungumza hayo kupitia kipinfi cha XXL...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Panapo majaaliwa siku ya Jumamosi Mchana tutazungumzia Viatu vya Jasiri Muongoza Njia (Ruge Mutahaba) baada ya kutangulia mbele ya haki. Viatu vyake nani alipewa, na Je aliekabidhiwa Viatu hivo...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Kwa kawaida msanii anapoondoka kwenye label iliyomkuza, basi lable hiyo hutamani apotee ili iwe funzo kwa waliobaki. Mapesa yote hayo wamempiga, bila hiyana kawalipa lakina kila kukicha...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Msanii Jux ametoa ngoma inaitwa COVID-19 amemshirikisha Maua sama haina muda Mrefu tangu itoke.To be honest hii ngoma inaamasisha ngono kwa asilimia 💯 wameimba kwa deep passion sana za kimapenzi...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Habarini waungwana poleni na majukumu? Moja kwa moja niende kwenye mada kama ilivyo tajwa hapo juu ,Waswahili wanasema mshika mawili moja humponyoka je hivi ndivyo ndugu yetu harmonize hatakavyo...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani mwenye historia kidogo ya msanii darassa
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…