Happynyerereday to everyone
Kilimanjaro na Arusha ni mikoa ambayo imebarikiwa vipaji vya Kila aina na watu ambao Wana ushawishi mkubwa sana katika nchi hii ya Tanzania
Mada hii itajikita zaidi...
Habari wakuu wa JF,
Mwanamuziki Richard Wayne Penniman maarufu kama Little Richard aliyevuma kwa kibao chake matata Long Tall Sally kilichotumika kama Soundtrack kwenye movie ya "Anodi ya Jini" -...
Kama umezaliwa enzi za Kikwete inaweza kuwa ngumu kuwafahamu hawa watu!!
1. Mike Tee a.k.a mnyalu
2. Dudu baya a.k.a dudu zuri
3. Mr Nice a.k.a mzee wa TAKEU style
4. Witnes Masiga wa B lov M
5...
Kwa Jinsi Ambavyo Nimeona Watu Wengi Mmeupokea Wimbo Wetu Wa KAKA_TUCHATI Na Kuvutiwa Nao,
Nimewaza Jambo Fulani, Mimi Nina Followers Hapa Instagram Laki Sita 600K, Na Staminashorwebwenzi Ana...
Leo nilikuwa nasikiliza ngoma za early 2000's
Hawa eastcoast team walikuwa wanajua ngoma zao zina hisia flani ambayo naimiss kwenye ngoma za siku hizi mfano
1. Hii leo- Gk ft F.a na AY
2. Kosa...
Queen Darleen, Lavalava hawapati sapot ya fans wa WCB kama ilivyo kwa Rayvany. Mboso kidogo wanamsapoti japo si sana.
Hii hali inaenda kumkuta msanii mpya Zuchu. Tukubaliane kua ile trending ya...
Mkurugenzi na CEO wa Wasafi media Diamond Platnumz amethibitisha leo kutakuwa na press pale Wasafi head quarter kwa kampeni inaitwa " Chuma kimeingia" .Tukio Hilo litarushwa kuanzia saa 5 Asubuhi...
African Beat ilianzishwa mwaka 1998, baada ya Mafumu Bilali Bombenga kujiengua kutoka katika bendi ya African Stars ambayo nayo ilianzishwa mnamo mwaka 1994 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini...
Dakika chache tu picha hii imetupiwa na msanii huyu mwigizaji wa bongo movie anaejulikana sana kwa jina la Shamsa Ford ikiwa imeandikiwa neno...... utamu mwazo mwisho...
VIDEO queen wa Kibongo, Agness Gerald, Masogange, amefunguka kuwa aliyempa mzigo wa unga na akakamatwa nao nchini Afrika Kusini, alikuwa amevalia kininja, hali iliyomfanya ashindwe...
Habari wana jamvi,
Leo hii nataka tumjadili msanij wa kizazi kipya wa hip hop, Dogo Hamidu al maarufu kama Nyandu Tozzy 26.
Huyu bwana Mdogo ana kigroup chale wao kila siku wanakwea pipa kwenda...
Akiwa na miaka 67.
Veteran Bollywood actor Rishi Kapoor has died in hospital after a two-year battle with leukemia, his family representative confirmed in a statement. He was 67.
Kapoor, who...
Wakuu mambo zenu.
Jana ili kuwa weekend inaisha napenda sana kuangaliaga filamu home au series ila sana sio za kwetu.
Ila jana nilibahatika kuangalia filamu zetu dah nikaona nisikae kimya niseme...
Ni muda mrefu hajasikika akitoa wimbo tangu azame kwenye mapenzi.
Yeye mwenyewe amesema anapumzika kwanza baada ya miaka 13 ya kuhit .
Ila nachokiona atakaporudi fan base yake itakuwa imeshahama...
Tetesi ambazo zimeenea mitaa ya Kinondoni na vitongoji vyake ni kwamba chanzo cha beef Kati ya Mr. Blue na Dogo Hamidu alias Nyandu Toz ni uchawi.
Inasemekana Nyandu Toz kwa sababu anazo zijua...
Kundi la muziki wa kizazi kipya lililofanya vizuri ndani ya miaka kadhaa la Yamoto Band hatimaye limesambaratika na sasa kila msanii anafanya kazi kimpango wake na hawasimamiwi na Mkubwa na wanawe...
kama umesikia wimbo mpya wa ney wa mitego....anazungumzia
1.akiponda viti maluumu......
2.akiponda mawazili vivuliii....
3.aonglea gesi ya mtwara
4.akimtaka lowassa agombee uraisi
5.amemponda...