Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwanza nikupongeze kwa habari nazozisoma mitandaoni kuwa utawalipia kodi waathirika 500 wa corona kodi ya miezi mitatu. Hongera sana sana. Pamoja na aina yako ya maisha bado kuna sehemu...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Praise the lord.. Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake. Uimbaji wake hapa...
11 Reactions
308 Replies
63K Views
Huyu jamaa amejizolea umaarufu kwa saluni yake ya kike, ambapo wakina dada na mama wa Dar es Salaam hasa wale maarufu wengi wao wanavutika na kushawishika kwenda kwake. Lakini pamoja na saluni...
15 Reactions
133 Replies
25K Views
Kumbe ana nyimbo tayari...ni sawaaaaaaa.....
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Diamond atakuwa kesho kwenye kipindi Cha good morning Cha Wasafi FM kinachorushwa kuanzia saa 11 mpaka saa 2 na nusu Asubuhi kutoa muongozo katika namna ya kupata msaada wake wakulipia Kodi ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa jarida la Forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020. Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Huu ni ukweli unaomiza tumeshamuona Diamond akipiga hatua kumi mbele ya Alikiba akaja akamtoa kijana Harmonize ambaye nae amepiga hatua tano mbele kwa Alikiba. Hapa nazungumzia hatua za kimuziki...
9 Reactions
90 Replies
10K Views
Kwa wale hater's utasikia Ooh wasafi wamewahonga Apple Music. Lakini kiuhalisia huko nje ya nchi ukizungumzia mziki wa bongo fleva basi unazungumzia Diamond Platnumz na his own team WCB Wasafi...
5 Reactions
71 Replies
8K Views
Leo mama Dangote kaposti ndinga zote zilizokua home kwa Diamond ikiwemo prado ambayo Tanasha alipewa zawadi siku ya kuzaliwa. Baada ya kuachana Tanasha karudi kwao ila inaonekana gari bado iko kwa...
15 Reactions
47 Replies
8K Views
Baada ya kufanya vizuri kwenye wimbo wa iokote alioshirikishwa na Maua Sama, huyu kijana yupo kimya sana. Kinachonisikitisha zaidi kijana ana sauti nzuri na unique kama baba yake mzazi Mlio...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
1. Airport - Alikiba alikuwa amaetoka kuchukua tuzo, alipofika uwanja wa ndege Harmorapa alitaka kumzawadia t shirt ila Kiba aliikataa na kufunga kioo cha gari, Ila huenda kwasababu alikuwa na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Naomba tushauliane hapa, yawezekana hili naliona peke yangu. Kwanini wasanii wa bongo fleva ikitokea msanii akavuma sana ndo unakuwa mwanzo wake wa kupotea? Mbona wenzetu wa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Jeshiii aka tembooo ndio balozi wa benki maarufu Tanzania CRDB Bank. Haya siyo mafanikio ya kubeza asee. Huyu jamaa anakoelekea hamtokaa muamini.
41 Reactions
173 Replies
22K Views
Wasalaam! Baada ya Harmonize kuondoka Wasafi tulitegemea Diamond atochukua hatua ambazo hutumiwa na wamiliki wa Radio nyingine wanapo tofautiana na wasanii! Diamond amekuwa dictator mwingine...
8 Reactions
130 Replies
24K Views
Namuangalia hapa live ananikosha sana, huyu ndo amekuja kuperfom sasa. Harmonize: Simlaumu sana kwavile ndio show ilikuwa inaruka kwa mara ya kwanza, alichokosea muda mwingi aliutumia kuimba...
8 Reactions
46 Replies
6K Views
Hizi story nazisikia sana kuwa fid ni marioo kuwa anaish kwa kulelewa ni binti wa kizungu hivi story ni za kweli maana kama siziamini ivi....coz kina ngosha hatuna izo sifa
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Msanii Rayuu katika picha. Msanii anayekuja juu kwenye filamu Alice Bagenzi ' Rayuu' amekiri wazi kuwa usagaji si mapenzi haramu na kwake anaona ni mazuri kwani...
0 Reactions
26 Replies
17K Views
Nimekua nikiona mara kwa mara hivi karibuni event nyingi za harmonize basi Cloud's TV na TV-E wanarusha live,tofauti na vituo vingine, Na hata Show's nyingi bure za pale nyuma kidogo baada ya...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Huwa nawashangaa sana wasanii wa vichekesho aka comedy. Wanapokuwa wakiigiza kama wanawake! Hivi huwa wanajisikiaje? Inaamaana hakuna wanawake wanaoweza kumudu uhusika katika scene hizo? Wanavaa...
6 Reactions
117 Replies
7K Views
By Sangu Joseph . Agosti 2019 : Harmonize alijiondoa WCB (Salam Alithibitisha) Januari 2020 (Harmonize alisaini mkataba wa kazi na Sayona (Endorsement) ) Januari 2020 - Harmonize akaanza Tour /...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…