ile Show maarufu ya UniTalent imepata Tunzo kubwa duniani katika tasnia. Tunawashukuru waanzilishi wa show hii ikiwemo Madam Ndauka, Dr. TID. Pamoja tunaweza
Muziki ni industry pana san ambayo imekusanya kila aina ya wasanii wenye vipaj na wenye juhudi pia lengo kuu likiwa ni kumlenga mlaji(msikilizaj).
Pia mziki ni biashara pana ambayo inamuhitaj...
Mjadala mkali umezuka mitandaoni kuhusu tabia ya Kobe Bryant kum-kiss mdomoni hadharani mwanae wa kike, Gianna.
Je, Kobe alikuwa sahihi kumfanyia hivi mwanae?
Wawili hawa wamefariki dunia kwenye...
Wasalaam wana jamvi!
Ni ukweli ulio wazi kabisa Msanii Harmonize amefanikiwa kuweka historia ambayo pengine wengi wetu hatukutarajia kabisa kama Harmonize angeweza kufanya uzinduzi mkubwa namna...
Kamaa hali ndioo hii
Mil 50
30M mnabaki Nazo ATI promo
Nashauri serikali iamuru washindii WOTE waliopita WA BSS WAPEWE MIL 30 ZAO NDIPO mashindanoo yaendelee
Atakuwa busaraa kama huyu analipwa...
Acha hii mikikimikiki ya COVID itulie hali irejee kama kawaida watu tukatafute bahati. Kobe Bryant ni rafiki yetu lazima tumlindie familia yake hapa duniani pamoja na dolla million 800 alizoacha.
Dancer maarufu wa Diamond, Mose Iyobo amesema jinsi anavyoishi na Aunt Ezekiel ni ndoa tosha lakini atafunga ndoa ili watu wa verify kama instagram.
Mose Iyobo na Aunt Ezekiel wamefanikiwa kupata...
Wale wote mlio kua mnamringanisha Alikiba na harmonize inabid mjitasmin Tena kwa matukio haya harmonize katoa album yenye nyimbo 16 na uzinduzi mkubwa wa garama but haku trend kiivyo album mzima...
Haka kadada kamekua maarufu masaa machache baada ya video Mpya ya Diamond “Jeje” kutoka. Umaarufu wake unazidi kuongezeka saa hadi saa kutokana na umaridadi wake wa kukatika na kucheza kwa...
Mwaka 2017 Allikiba na Baraka de prince ni miongoni ya wasanii waliyolalamikia kuhujumiwa video zao Youtube kwa kusababisha views ku stuck na kuto ongezeka na kupelekea management ya.Alikiba...
Hatimaye zamu ya Zuchu imewadia.
Mtoto wa Khadija Kopa rasmi sasa kutambulishwa Wasafi.
Amekaa benchi kwa miaka karibu mitano.
Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee.
Tanzania...
Huyu mwanamuziki wa Zanzibar anaitwa nani, na ni kwa nini wanamuziki wengi wa kiume Zanzibar wapo hivi?
Wakati ile ni nchi ya maadili sana kuliko kawaida?
Mara nyingi Wazanzibar wamekuwa wakisema...
Habari wakuu!
Huku wengine wakiendelea kujivunia kuchora mitattoo ya bei ghali na meno ya dhahabu.
Msanii wa kimataifa Alikiba yeye aendelea kuitumia vyema karata yake baada kupata Shavu la sony...
Kwenye haya maisha kuna uncertainties nyingi, Leo ww tajiri, kesho ww kapuku, reginald mengi angefilisika, angechekwa na kusemwa vibaya na hao hao watu aliokuwa anawasaidia..
Wanasema ukisaidia...
Msanii Robert Kelly maarufu Kama R. Kelly ameomba kuachiwa akihofia kupata maambukizi ya virusi vya korona katika Gereza la Metropolitan Correctional Center (MCC) Chicago. Hivi karibuni majaji wa...
Kiukweli huyu jamaa kwa sasa ni shida, Anashoot video zenye ubunifu mkubwa na bora sana.
Kumbuka miaka michache iliyopita tulikuwa na Adam Juma lakini kwa bahati mbaya wakati wasanii wakipiga...
Mimi hapana kabisa.
Kibongobongo mwisho wa maisha ya ustaa kwa asilimia kubwa huwa mabaya sana ya kutia huruma.
Nimeanza kufatilia sanaa ya bongo (muziki/muvi) tangu miaka 90 mwishoni lakini...