Jana kupitia Insta Live, King wa muziki wa Bongo Fleva AliKiba amefunguka namna ambavyo Dully Sykes alishiriki katika kumsaidia kutengeneza wimbo wake wa kwanza mwaka 2003.
.
Dully Sykes alimsikia...
Hi kwa wanaburudani wote.
Nakumbuka nikiwa mdogo baba aliwahi kuniambia. Mafanikio ya binadamu yoyote yanategemea vitu vikubwa vitatu:-
1. Bahati
2. Kipaji
3. Elimu
Akaniambia kati ya vyote...
uzee mwisho Chalinze
=========
The baby boy’s big sister will be 65. The car-racing billionaire told Britain’s PA Media that his Brazilian wife, Fabiana Flosi, 44, is expecting a son this...
Kwa ujio wa show ya homa ya TV E ni habari nzuri.
Kutokana na janga la corona Sikh ya ijumaa kuanzia saa 3 usiku kunakuwepo na show ya homa, unaangalizia Nyumbani kwako au YouTube au Insta Live...
Manager wa msanii mkubwa Diamond Platnumz, Sallam SK amefunguka baada ya kupona ugonjwa wa Corona akiwa amefanyiwa na moja ya chombo cha habari amesema kwamba wakati anatangaza kuwa amepata Corona...
Za asubuhi wana jamvi
Kwanza kabisa napenda kukubali na kufaham juhudi za marehemu kanumba kwenye kiwanda cha filamu bongo. Kipindi kanumba yupo hai bongo movie ndo industry iliyokuwa inauza...
Soko la muziki barani Afrika limekua sana kwa sasa, haishangazi kuona wasanii mbalimbali wakipishana kwenye majukwaa makubwa duniani kote kufanya show zinazowaingizia kipato.
Kuna wasanii wengi...
Hili ni jukwaa la celebrity numeleta kidogo mjadala wa demu yupi wa star wa kibongo ni mkali zaidi.
Kwa upande wangu namuona mke wa Kiba, Bi Amina Khaled a.k.a Mrs Ali kiba ana ngozi nzuri tena...
Hatimaye msanii na mwanamuziki Ali Saleh Kiba amekuwa director (mkurugenzi) wa kampuni ya kusimamia mziki Afrika Rockstar 4000 na Rockstar television. Ali kapewa nafasi ya uongozi huo baada ya...
Nimemsikia sehemu leo akitaja mwaka.alio zaliwa. Anasema amezaliwa tarehe 27 mwezi wa 10 mwaka 1939.
Mzee Mkapa anamzidi Bi Hindu mwaka.mmoja tu!!!!
She is eleven years older then my father and...
Hawa wanawake wengine ni shida, ya ndani analeta hapa mtandaoni kweli dah. somenihapo chini (instagram)
joycekiriasuperwoman
Kilewo baba Watoto wangu, yaliyotokea ilibidi yatokee ili kila...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekuwa msanii namba mbili WCB na nchini Tanzania kwa ujumla bwana Harmonize ameendelea kutudhihirishia kuwa kuna nguvu ya ushawishi mitandaoni imepungua katika...
Habari zenu jukwaa la celebrity.
Tujuzane bila upendeleo ni binti au demu gani hapa Tanzania amefanikiwa pakubwa kwa kazi zake kuinuka kimaisha yeye binafsi au hata kuwainua ndugu zake. Kipato...
Mwanamuziki wa Jazz na mpiga Saxophone kutoka Cameroon, Emmanuel N'Djoke Dibango (86) maarufu ‘Manu Dibango’, amefariki leo asubuhi akiwa jijini Paris baada ya kupata maambuzi Covid 19...
April 4, 2020
CORONA : WASANII WAUNGANA STUDIO KWA MARCO CHALI KUTOA NYIMBO YA KUELIMISHA JAMII
Wanamuziki wakongwe wameamua kuingia studio ili kutengeneza wimbo maalum kuelimisha umma juu...
Habari njema kwa wapenda maendeleo. Maendeleo hayana Team kwa sauti ya Magufuli. Habari njema ni kwamba kijana anae liwakilisha Taifa letu katika Tasnia ya muziki kajiandikia historia ya kuwa...