Kuna msemo unasemaga “mafanikio mengine katika maisha huwezi kuyafikia mpaka ujihusishe na nguvu za giza.”
Kwa mafanikio na mvuto aliokua nao Diamond Platnums, bila shaka kuna uwepo wa nguvu...
HARMONIZE NA JIDE, BALAA NA NUSU
Nilisikiliza kwa mara ya kwanza, nikasikiliza tena halafu nikasikiliza tena na bado naendelea kusikiliza. Napata burudani kusikiliza mashairi bora kabisa kutoka...
Eric Shigongo, mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa kampuni ya Global Publishers amelalamika kitendo cha Diamond kuwatoza mapromota wa nyumbani kiwango kile kile anachowatandika wale wa nje...
Wakuu nawasalimia,
Ni ukweli usiopingika kwamba familia ya mwanamziki mahiri Ally Zoro ikiwa ni baba na watoto ilijizolea umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi.
Hata hivyo,familia hiyo ikiongozwa...
Wengi huwa nawaambia ukiona mtu na demu wake au mke wanagombana usiingilie kwa kumchamba au kumsema vibaye mwingine au kumuelekeza chuki dhidi ya mmoja no uta ahibika, lazima tuishi kwa kuwaelewa...
Kituo cha redio cha Times kimeanzishwa muda mrefu sana kikiwa na gazeti lake la Business times sikuhizi sijui kama lipo, ni moja ya kituo ninachokikubali sana kina misheni zake na hakikurupuki...
Msanii wa Kimataifa kutoka Tanzania alipata nafasi kutembelea Museum ya FIFA pale Zurich. Msanii Diamond ametua Uswizi mahususi kwa ajili ya show yake ambayo ameipa jina European Tour.
Baada ya...
Hebu cheki kijana wa juzi juzi tu Harmonize anavyobamba kila kona, kachangamsha mitaa kwa album iliyosheheni mikwaju,wewe huskiki kabisa siku hizi.
Tulikutegemea uje umchalenji Diamond...
Huyu mrembo wa kitanzania maarufu sana kule instagram kwa muonekano wake nadiriki kusema ndo mwanamke mwenye shepu bomba kuliko wote Africa..sitaki kuongea mengi picha zinafuata
Malkia aliwategemea Harry na Meghan kuwa mabalozi wake katika nchi za Commonwealth ambazo siku hizi anashindwa kuzitembelea kutokana na umri kusonga mbele.
Harry na Meghan wako kwenye ziara yao...
Hello guys,
Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea...
Hayawi sasa yamekuwa.. Yule msanii Mwenye Mwili kama Pipaa.. Anayejiita Jeshi, ila watanzania wakasema hapana, wewe ni Tembooo.. hatimae kesho atazindua rasmi Album yake ndani ya viwanja vya...
Naogopa na ninaona kabisa tukichukua 3 latest release za diamond na harmonize, harmonize amemfunika diamond katika uandishi na mashairi.
Tukichukulia mfano wimbo wa diamond na papa wemba, na...
Nadhani Kati ya wanawake waliodate na Diamond, wawili ndo walikuwa brightest of all, kwanza kielimu na pia kitabia. Nawaongelea Penny na Kidoti.
Hawa kinamama waliweza kuona mbele na hawakutaka...
Jamani Jamani wanazengo Leo wambea tutakufa kwa pressure maana sio kwa double breaking news za Leo , yani wakati sakata la gwajima bado likiwa bichi, Jipya laibuka kuhusu mke wa marehemu mengi...
On December 13, 2007, the Leon H. Sullivan Foundation will host its biennial
Sullivan Summit Awards Dinner.
The Dinner will feature notable guest speakers who share an international...
Msanii hawa aliyefahamika zaidi kupitia wimbo wa Diamond Plutinumz wa Nitarejea. Aliwahi kukiri kwamba stress za maisha zilimpelekea kuingia katika maisha ya utumiaji wa madawa ya kulevya pamoja...
Mwanae janael kanumba kathibisha hilo, kafariki mkoani Shinyanga alikokuwa anapatiwa matibabu
===
Dar es Saalam. Baba wa marehemu Steven Kanumba amefariki dunia leo Jumapili ya March 8,2020...
Leo ni siku ya kuzaliwa mbunge wabunda mjini mh Ester Amos Bulaya.
Tumtakie kila lililo jema kwenye safari yake ya kisiasa maana bado ni damu changa na kwa ulinzi wa mungu bado ana safari ndefu...