===================
Leo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni.
Nitangulie kwa kukumbusha kama tujuavyo mapenzi ya kweli ni ngumu sana kuyahamisha toka kwa mtu mmoja...
Nimevumilia hii siku ya nne sasa... Uko youtube vinatokea vitu vya ajabu sana! Ni nini tatizo ni nini kwanini nikifikisha laki 9 viwers wanarudishwa nyuma mpaka laki 8 au 7 hii siku ya nne naona...
Hii title ya Undisputed Champion kiuhalisia sidhani kama kuna bondia yeyote alishawahi kuipata.
Undisputed Champion ni yule bondia anayemiliki mikanda yote mikubwa zaidi kidunia ambayo kiidadi...
Mnamkumbuka mkongwe wa Reggae kutoka Ivory Coast, alizaliwa 1953 akiwa anaiwa Seydou Kone. Amefunga ndoa na Bi Aisha mzaliwa wa Tunisi. Alpha Blondy atakua na wake wa tatu sasa.
=====
Global...
Msanii tajiri ambae huwa ni msiri sana wa mafanikio yake leo amekiri kumiliki nyumba Amerika pia akaongezea soon atahamishia makazi yake pande za States. Aliyaseme hayo akiwa clouds fm radio...
Bila kuwachosha, moja kwa moja kwenye maada.
Jana nimekutana na Hamonize kwenye ndege toka Nairobi kuja Dar (KQ486), kwa maongezi yao na aliokuwa nao inaonekana alitokea SA.
Kilichonikera toka...
Huyu mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Jahazi,Paul James maarufu kwa PJ ni muda kidogo simsikii, takriban mwezi unakatika kwa sasa. Ni watangazaji wawili tu Gardner G Habash na Joji Bantu ndiyo...
Imejidhihirisha kwamba media za bongo,na watanzania ni watu ambao wanapenda sana umbea umbea kuliko mambo ya msingi.
Msanii Diamond plutnum, alivyotangaza kuzungumza na waandishi wa...
Kwa upande wangu nimekuwa ngumu kuamini Tanasha na Mondi wameachana kwasababu hakuna strong reason ya kuachana kwao kwa wanaoeneza hizo tetesi. Huwezi kusema inaonekana wameachana eti kwasababu...
.
By Sangu Joseph
.
Mwanzoni mwaka huu niliahidi kuandika makala ya kwanini kwa sasa msanii Nandy au African Princess ndiye msanii namba moja wakike Tanzania, ukilinganisha na dada yetu Vmoney...
Aslaam aleikyum wadau wa hili jukwaa pendwa,I hope mko poa kabisa...
Aisee katika pitapita zangu kudekerea ngoma za Bongo fleva katika TV mbalimbali,hiiii Si nikakutana na haka kasanii kamanzi...
Mchekeshaji na muigizaji ambaye anamiliki kipindi Chake Cha uchekeshaji Cha Kitimutim kupitia DStv maisha bongo mwanadada mrembo na mwenye mvuto wa aina yake Gladness Kifaluka.Ndio mwanadada...
Hashimu Dogo ameacha muziki lakini bado watu wanamuhitaji, tofauti na wasanii wengine wengi wapo kwenye game lakini hawana attention kama yeye.
Nimekutana naye Msasani leo Ustadhi Hashim, hataki...
Wasafi Media a.k.a Real Madrid wa media wamemsaini rasmi mtangazaji aliyekuwa anatangaza TBC Salma Dakota baada ya kufikiana makubaliano kwa pande zote mbili.
Jana Salma Dakota ameaga uongozi wa...
Nyota wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha
Gladness Mallya
NYOTA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha amesema kuwa anatamani kuolewa na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT...
Diamond amepost kwenye page yake ya Instagram kuwa ataongea na waandishi wa habari kesho huku kukiwa na uvumi wa utata kwenye mahusiano yake.
Inasemeka kuwa Diomond na Tanasha wapo kwenye mgogoro...
Hii ni moja ya kauli Tata sana aliyoitoa kijana huyu mzee Mengi alikuwa na mke unaingiaje chumbani kwake .
Mi sijawahi hata ingia chumba Cha baba zangu wakubwa na wadogo tukiacha Cha baba na mama...
By Sangu Joseph
Leo nimekikumbuka kisa kilichonichekesha baada ya kukutana na wimbo wa Aslay Rudi Darasani hasa kile kipande ambacho video vixen anatamba kwamba alienda kuwaona wageni, Akiwa...