Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nakumbuka hii platform ilikuja vizuri tukishuhudia wasanii wakipewa mikataba mizuri ya kuuza kazi zao wasafi.com Cha kushangaza hi site haipatikani nini kiliikumba? Sent using Jamii Forums...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni muda mrefu tangu niameanza kusikiliza kipindi cha Ushauri wako cha Redio Free Africa ambacho maudhui yake ni kama vipindi vingine vingi ambavyo lengo lake ni kuwasaidia watu wenye matatizo na...
5 Reactions
29 Replies
15K Views
Tuliwaambia tokea mwanzo Diamond leo hata zungumzia mahusiano yake. Wambeya wengi leo wameumbuka wametumia MB's zao kwa lengo la kumsikiliza Diamond kuhusiana na tetesi zinazoenea kuhusu kuachana...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Pamoja na Jina la Harmonize kuwa kubwa ila inaonekana RayVanny kamzidi mkali huyo kwenye mapato. Kupitia Dizzim online jana Rayvany amefunguka vitu vingi juu ya beef la Harmonize na WCB Wasafi...
1 Reactions
33 Replies
14K Views
Wasalaam wadau wa jukwaa hili pendwa na ma'fans wa entertainment in general, I hope mko poa.. Baada ya juzi kusambaa taarifa za kuachiwa huru kifungoni kule China kwa yule video vixen wa ngoma ya...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
leo tupo na Nahreel producer na msanii kutoka kundi la Navy Kenzo karibu. 1. Nahreel anatokea familia yakishua jina lake halisi ni Emanuel Mkono na inasemekana baba yake ni Nimrod Mkono Mbunge wa...
13 Reactions
128 Replies
24K Views
Mwadada mrembo kwenye kiwanda Cha bongo movies amesema Mahari yake ni mil 20 kwa mtu anayetaka kumuoa. Mwanadada huyo mwenye sauti ya pekee yenye mahaba ndani yake inayoweza kukufanya umuonge...
1 Reactions
83 Replies
12K Views
Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kucopy works of others (Artists) without agreements between both sides. Kisheria hilo ni kosa na kiubinadamu lina mshushia kabisa credibility yake kwa watu tuliokuwa...
7 Reactions
135 Replies
14K Views
Lile penzi lililokuwa linatikisha Afrika Mashariki sasa liko ICU na muda si mrefu litaaga dunia. Inasemekana penzi hili limeisha siku nyingi kwa upande wa msanii maarufu Diamond Platnumz ila...
7 Reactions
70 Replies
11K Views
Mimi ni fan wa Mondi. Kama mtu mwenye uwezo wa kuchambua mambo, naweza kuamua kumu "un-fan" muda wowote. Anguko la Mondi linaweza kutokana na mambo ya mahusiano kwa sababu hizi (3): 1. "Ego" -...
4 Reactions
69 Replies
9K Views
HIVI karibuni Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imecharuka. Imekuwa ikiwachukulia hatua baadhi ya mastaa mbalimbali ambao wamekuwa wakienda kinyume na maadili ya Kitanzania kwa kutupia picha...
2 Reactions
13 Replies
47K Views
Nadhani alikuwa anatangaza taarifa ya habari kati ya mwaka 2003-2004. Wakati huo Betty Mkwasa alikuwa anatangaza. Sikumbuki jina kamili, ila nadhani jina la mwanzo lilianza na Irene. Nakumbuka...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Court bans disco at Masaki bar THE High Court in Dar es Salaam yesterday banned playing loud music at Bar One, in Masaki area, owned by Mr Kinjekitile Ngombale-Mwiru, son of cabinet minister...
1 Reactions
33 Replies
14K Views
Alianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na...
2 Reactions
71 Replies
9K Views
Nimekuwa na tazama video ya harmonize ya wimbo wake wa atarudi lakini hiki kipande cha mwishoni nilikuwa sijakiona. Mwishoni anaoneka harmonize na mvi kibao akiwa na mjengo wa maana na mtumishi...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukiwauliza watu hapa ni msanii gani anaependwa wengi watakwambia ni king kiba, na ukiwauliza ni msanii gani aneperfom vizuri watakwambia ni king kiba Ruby, Aslay etc Sasa nachojiuliza kwa nini...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Leo katika kipindi chao cha tunanyambua na kunyumbulisha nimesikia watangazaji wenzake akina Gerald Hando na Musa Kipanya Wakisema kuwa jana yake usiku walipewa taarifa kuwa katika kipindi cha...
5 Reactions
200 Replies
23K Views
Ni mda sasa toka mmakonde atoke WCB na kuanza harakati zake za kimuziki akijitegemea Alikuwa ameshaweka mambo yake sawa na media mbalimbali ambazo hawakuwa na mahusiano mazuri baina ya lebo...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Msanii anaekuja kwa kasi ya moto.. Harmonize amepost list ya track zitakazokuwepo kwenye album yake. Aisee kazi ipoooooo
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…