Moja kwa moja kwenye mada, wengi wetu tukisikia jina la Tenko au tekno miles . Basi ni ukweli usiopingika moya kwa moya kama siyo moja kwa moja , kila mtu anajua kuwa huyo ni mkali toka pande...
Kama wewe ni miongoni mwa watu waliotamani kushuhudia mazishi ya mchezaji wa Basketball Marehemu Kobe Bryant na mwanaye Gigi taarifa ikufikie kuwa tayari wawili hao wameshazikwa kwa Siri siku ya...
Siku zote maisha ni kama gwaride, ukisikia nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza.
Licha ya utajiri na ustaa alionao Bi. Sandra, enzi za ujana wake alishafanya sana kazi za ubaamedi na...
Masanii wa muziki wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz amepata maualiko rasmi wa kuhudhuria michezo ya NBA All-Star ambayo itafanyika mjini Chicago Marekani kuanzia Februari 14 hadi 16 mwaka huu.
Ommy...
Siku ya kwanza nasikia ngoma inaitwa Duro kutoka kwa Tekno nikasema hii ni hit haiitaji maelezo.
Hakuishia hapo zilifuata ngoma zilizonamba Afrika na zikavuka boda mastaa kibao wa Mamtoni...
Mwanadada mwenye mvuto wa aina yake wenye kuwababaisha watu maarufu wengi ikiwemo hata vigogo wa mjengoni pale Dodoma.
Diva Malinzi amefunguka kupitia insta story ya Instagram yake kwamba yeye...
Japo elimu haina mwisho lakini kwa huyu mzee wa kukopi na kupesti ninaona anapoteza muda tu.
Kama alifeli kipindi kile hana mambo mengi kichwani zaidi ya elimu ya madrasa ndio ataweza sasa hivi...
Kuna kipindi E.Africa Radio kumi za maangamizi,ni free style kwa dk 10.
Unaweza kusema hip hop au freeystyle ipo underground siyo kwa hawa wasanii waliotoka .Clips za hiyo kipindi vipo YouTube...
Msanii wa kimataifa na mwenye mvuto wa sauti wa kumtoa nyoka pangoni na msanii mwenye mvuto kuliko msanii yoyote barani Africa Nandy a.k.a African Princess.
Amefunguka baada ya kushindanishwa na...
Imempendeza kondoo aliyepotea kurudi nyumbani kwa Baba ..
John Wolfe ameamua kuokoka na kumrudia Mungu ,anayo mengi ya kujutia lakini anaishia kusema alipotea kwa tamaa za kimwili ameamua kurudi...
Ni mmoja kati ya wasanii hapa nchini wenye mafanikio makubwa sana kimuziki na hata kiuchumi.
Ni kitu gani kipo nyuma ya mafanikio yake?
Msaada tafadhali.
Serikali ya Tanzania imemsamehe msanii, Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya baada ya kumfungia kwa muda usiojulikana kujihusisha na kazi za sanaa. Alifungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata)...
Ningekua demu: wimbo mpya kugoka kwa mwimbaji wa singeli Dulla Makabila
Kaja na mwonekano mpya sura tufauti kawapiga chini mpaka madada wanaoshinda wanajipodoa.
Exalioth
Machinga
Jamii forums...
Mwanamziki Tanasha Donna ambaye amezaa na mwanamuziki mwenzake wa Tanzania Diamond Platinumz kwa jina maarufu Simba, Tanasha amesema anaulizwa mengi kuhusu yeye kwa lile swala la kuwa maam wa...
Mr Malavidavi Rayvany a.k.a VannyBoyChui[emoji249] Ameamua kuachia ngoma tano5 kwa wakati mmoja
Kuelekea sikukuu ya wapendanao wainjoi na burudani za kubebeleza
Exalioth
Rais wa machinga...
Nimeona video ikisambaa mitandaoni ikionyesha mtu anaetajwa anaitwa Mihayo akimpiga ex wife kipigo cha mbwa mwizi.
Nikawa interested kumjua maana watu vile wanamzungumzia ni kama mtu fulani wa...
wakuu njoo mtoe comments kuhusu hii Ngoma naona kijana kaamua kumnyanganya mashabiki mpka meja kunta.
Diamond platnumz ulitengeneza dubwana sasa linakutesa lenyewe.
kama CCM walivyotuambia...