PADRI wa Kanisa Katoliki, Dk Bernard Msike ambaye aliwafungisha ndoa staa wa Hip Hop, Bonaventure Kabogo ‘Stamina’ na mkewe Veronica Peter katika Kanisa la Mt. Maria Consolata mkoani Morogoro...
Afande Sele amesema hamjui msanii anayitwa wakazi kwa sura wala hajawahi kusikia nyimbo yake, ni baada ya wakazi kumkosoa kuhusu kauli aliyoitoa juu ya Vanessa Mdee, amesema amewahi kuwa group...
Mwanamziki Dudu baya a.k.a Konki Konki Konki Master ashangazwa na kitendo cha media nyingi kurusha vitu vya hovyo hewani pamoja na kuwahoji watu kama James Delicious, Amber Rutty ambao wanasifika...
Amani iwe nanyi wakuu.
Hivi ndio kwa mfano huyu mwamba anayekwenda kwa jina la Max angekuwa msanii angechana au angebana pua?
Muziki wa mduara angeuweza kweli huyu mwana maana ana sura ya upole...
Kiukweli bandugu.
Hawa wasanii wawili kwa hapa bongo sijaona mtu anayewazidi kwa kuimba live.
Maana wengi wanaimba na CD yaani playlist imepangwa kwenye CD halafu anashuka tu.!
Lakini show...
Salam,
Kwanza nikiri kuwa pamoja na kwamba Sikuwa mfuasi wa msanii huyu wa singeli, na wala sikuamini Kama aina yake ya mziki ingetoboa na angetoka.... Lakini kwa Mwaka mmoja wa kwanza tangu Juma...
Nimepata bahati ya kumsikiliza ndugu Antonio Nugaz katika mahojiano na kituo fulani na kujisifia kuwa ndio mtangazaji anayelipwa zaidi pale Clouds Media Group.
Lakini hii inaleta tafsiri kuwa...
Sijajua ni woga wa watangazaji ama mbinu za kumfanya aendelee
Kuwa vinywani
Mwa watu?ooh unamuongeleaje diamond? Vipi mchango wa diamond kwenye mziki? Unaonaje anavyowakilisha kimataifa? Waacheni...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Mwanadada Faiza ambaye ni mke wa mbunge Joseph Mbilinyi aka Sugu amefanya kitu ambacho kwa sasa ni gumzo huko...
Nlimpenda sana baada ya kumuona kwenye ile movie ya kanumba ya lost twins..alivoigiza na mvuto wake.
Tulitarajia tungekuja kumuona kwenye movie nyingine lakini kimya.
Hata hivo sio vibaya...
Mwanamziki nguli wa kimataifa na maarufu na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Zena Yusuph Mohamed a.k.a Shilole ametangaza nia yake ya kugombea Jimbo la Igunga ambapo pia ni sehemu alipokulia kwenye...
Jux amemjibu Mimi Mars kwa kumwambia mapenzi sio mashindano, ni baada ya msanii huyo wa kike kusema dada yake Vanessa Mdee amempata mtu wa level zake ambaye ni Rotimi muigizaji wa filamu nchini...
Habari za humu ndani wakuu,
Tukiwa tupo katika mapumziko ya mwisho wa mwaka na wengine wakiwa bado wanaendelea na shughuli zao za kawaida siyo vibaya tukapata muda wa kupitia page ya facebook ya...
Habari zenu wakuu.
Kwa jinsi upepo unavyovuma sina budi kusema kwamba huyu kijanaa mwenzetu kutoka tandale anaelekea kuanguakia pua kama ilivyotokea kwa msanii mwenzake Mr nice( Lucas...
Wakuu mambo vipi!
Leo natua kwenu kama mgeni wa jukwaa hili (sababu sijawahi post kuhusu masuala ya burudani).
Niende moja kwa moja kwenye mada, hoja yangu ninayoiwasilisha kwenu inamuhusu...
Mambo vp wakuu?naomba kuuliza,mwenye kujua hawa wadada wanandugu wanao unda hili kundi lililopata kuwika mwanzon mwa miaka ya 2000 wako wapi na wanafanya nin anijuze?