Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Curently katika hiphop ya kenya kuna rapper anaitwa khaligraph jones..naona anikimbiza industry ya hiphop kenya..then taratibu ana pentrate kwnye soko la bongo...ngoma kama mazishi..mask off(toa...
1 Reactions
94 Replies
13K Views
Kwenye hii picha ni Bondia Mkongwe Mike Tyson "Malik Abdul Aziz" akiwa na Rais wa Sasa wa Marekani - Trump! Ambapo UNAAMBIWA Picha hii ilipigwa Mwaka 1988 kipindi hicho Mike Tyson akiwa amemuajiri...
13 Reactions
38 Replies
8K Views
Nikitia neno hapa nitaambiwa napendelea, msikilizeni wenyewe Man Walter
7 Reactions
77 Replies
11K Views
Msanii nguli wa kimataifa diamond platnumz a.k.a baba lao and CEO wa WASAFI MEDIA akihojiwa na sports arena baada ya kurudi kutoka misri kwenye tuzo za CAF mahojiano Kama ifuatavyo Mtangazaji...
11 Reactions
63 Replies
8K Views
  • Closed
Apo vipi?
1 Reactions
96 Replies
9K Views
Huyu jamaa ni fundi sana nadhani hakuna vocalist kama yeye hapa Bongo maana jamaa anaimba vizuri low keys na high keys hasa kwa upande wa waimbaji wa room. Siku hizi sisikii nyimbo mpya toka...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Hili gazeti ni la kusoma kwa wiki nzima... Soma taratibu usije fukuzwa kazi huko. Nipo busy si update blog mpaka Friday au Saturday so hii topic iwa keep busy Haya wadau mmedai kuwa nisijifanye...
11 Reactions
1K Replies
138K Views
Malkia wa filamu Wastara Juma amepata shavu la kuwa balozi wa kampuni ya simu za mkononi ya KZG Tanzania yenye makao makuu yake nchini China. Katika mkataba huo mwigizaji huyo atavuna kiasi cha...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
By Sangu J Moja ya mambo yananishangaza Sana kwenye Muziki wa Bongo Fleva ni kukosekana kwa Mwanamke mmoja ambaye atakuwa na hasira kubwa Sana kama aliyokuwa nayo Diamond Platnumz kwa kuweka...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Mashabiki wa Sanchoka wamewajia juu waandaaji wa shindano la miss bam bam 2018 baada ya mlimbwende binti Salim kuchukua taji la mrembo mwenye umbo la kibantu zaidi huku Sanchoka akishika namba 2...
6 Reactions
111 Replies
32K Views
Kijana wetu Diamond Platnumz a.k.a Michael jackson wa Africa kaanza vzr na mwaka 2020,event kubwa sana ya utoaji tuzo za fifa kwa bara la africa, Kijana alipofika tu kwenye shughuli nje ya jengo...
5 Reactions
67 Replies
11K Views
Ingawa mwaka huu bongo ilikua na wawakilishi wengi hakuna alieshinda. Ni kwa nini? Best New MVP: FireBoy DML (NG) JoeBoy (NG) Marioo (TZ) Rema (NG) – Winner Simmy (SA) Wendy Shay (GH) Best...
2 Reactions
102 Replies
10K Views
Msanii legend wa music wa bongofleva Mr Nice ameshangazwa na msanii Harmonize kuchukua vionjo wa wimbo wake kin'gasti Kwenye wimbo "Hainistui" bila kuniomba wala makubaliano. Wakati Mr Nice...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Man Water ni miongoni mwa ma producer hodari aliewatoa wasanii wengi kama kina 20% ila baada ya kutoelewana 20% akapotea. Katika mahojiano na Azam TV, amesema kuwa kuna nyimbo kadhaa alizofanya...
1 Reactions
66 Replies
13K Views
aliongea mengi, alimalizia kwa kusema tena kwa dharau, Diamond sio mmiliki kama anavyodanganya watu na angetaka kazi angempigia mmiliki sababu anamjua , Diva alaiongezea diamond ni muongo sana...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Huyu kijana anauwezo mdogo wa kutunga na kuandika nyimbo kufikisha ujumbe wa aliokusudia. Badala yake amejikita kwenye hisia, mihemko na nadharia. Ila ukikaa na kusikiliza hakuna ujumbe...
6 Reactions
122 Replies
15K Views
Salute. Wagiriki wana msemo wao unaitwa πολυμαθής "polymaths" wakimaanisha aliye na elimu pana au ni mtu ambae anauwezo mkubwa katika mambo mbalimbali, anaweza kusovu mafumbo na kutatua au...
20 Reactions
73 Replies
8K Views
Hiki kipindi kilikuwa hot sana, kilibamba sana na kilikuwa kinapendwa na watu wengi sana. Kilikuwa kinarushwa kila Ijumaa ila kilianza kuyunga kuanzia mwaka 2017 mwishoni na hadi sasa hivi...
4 Reactions
47 Replies
11K Views
Habarini za wasaa huu, napanda jukwaa hill nikiwa na kero kubwa juu ya hawa wahuni wanaojiita wasanii Wa Tanzania Nimeunganisha dots nikaibuka na conclusion kwamba 80% yw wasanii Wa TZ ni...
12 Reactions
26 Replies
4K Views
Usiku wa jana Binti Elizabeth michael, Lulu alikuwa insta live akiwa amelewa, inasemekana kwa sasa amekuwa mtu wa stress baada ya kupigwa chini na mpenzi wake Majay
1 Reactions
107 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…