Hey Guys,,,,
okay,,,fresh
Hakuna asiye jua jinsi Wasafi festival ilivyo kuja kwa nguvu mpaka kupelekea kuwatia mashaka clouds na Fiesta yao.
Ile hali kwa hali ya kawaida ilikuwa ni tishio kubwa...
Kulingana na soko la muziki kukua bongo imechangia uwepo wa waongozaji wapya wa video za muziki kwa kasi.
Mimi top 5 yangu ni hii
1.Director Flex
2.Dir KAJALA
3.DIR SNIPPER
4.DIR JOMA
5.DIR...
Hip hop lovers wamempoteza mkali mwingine leo maarufu kwa jina la Juice wrld.
ardhi imejitwalia udongo wake ...
Tujikumbushe na his hit song All girls are the same.
They're rotting my brain...
Bila shaka kila mmoja anamfahamu kijana huyu kutokana na kipaji chake cha kuimba.
Hapa nitawafahamisha mganga wa Diamond Platnumz anaemfanya ang'are kila kukicha. Hivyo hivyo kila mmoja anatamani...
Mgombea Urais katika awamu iliyopita Mama , Hillary Clinton, ametoa sifa kwa rapper Jay Z wakati akimtakia heri ya siku ya kuzaliwa.
Mwanamuziki huyo wa Mitindo ya kufoka alisherehekea kutimiza...
Nimeona mapokezi ya diamond guinea ya bissau ni makubwa Sana honest nimefurahi kuona jinsi gani mziki unavyopiga hatua kubwa sana.Big up kwake kwa kuendelea kuiwakilisha vizuri Tanzania.
AMKENI… amkeni… amkeni… njooni huku! Habari ikufikie kuwa, mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, amefungasha virago jijini Dar na kurejea...
Anasema sio yeye.
Nimeshapoteza mabao yangu bure kabisa kama maneno yake yatakua yanaukweli wowote.
Ila natarajia kuingia chumba cha upelelezi wazile part 7 kwa kujiridhisha zaidi.
HII NI MOJA YA CONVERSATION KUHUSIANA NA YEYE BINAFSI KIUFUPI NA JUHUDI ALIZO FANIKIWA;
SWALI: Ruge mutahaba ni nani?
RUGE: Nimezaliwa Brooklyn, New York, Marekani, mwaka 1970. Primary...
Have you ever wondered where these Socialite Girls Get all the Money that they flaunt in Social Media
-----
This is How Socialite Girls like Kina Agness Masogange , Huddah Monroe and Corazon Makes...
Huyu dogo ameshaanza kupotea na kuonyesha makucha yake halisi kwenye jamii, Wiki chache zilizopita alikumbwa na kashfa ya kuwadharau waandishi wa habari wa Kenya, kitu cha kushangaza hakutoa tamko...
Yaani nchi hii kuna watu wanajua mziki mpaka basi.. Yaaani..
Toka nilipomjua ibrahnation sijawahi kuona wimbo wake mbaya..! Ule wimbo Wa nilipize umetoka 2016 ila unaona Kama jana vile... Kuna...
“First of all nimesikiliza hizo audio. Nakumbuka mwaka jana zilitolewa audio za Wema na Mbowe, baadae zikatoka audio za watu wenye sauti exactly kama ya Wema tukashindwa kujua ukwlei wa zile...
Niliwahi kusikia mtandao wa kijamii pekee anaoingia huyu jamaa ni WhatsAPP, mitandao mingine kuna watu maalumu wanaicontrol, nampa hongera admin wa IG page yake, ukiingia kwenye page yake utaona...
Najua ni wengi huwa tunajiuliza swali hili la kwanini Justin Bieber alikuwa anachukuliwa kwa ukubwa ule licha ya kuwapo pure talents kama Jason Derulo & Chris Brown ambao kimsingi hawagusi hao...
“Nilikuwa na mimba siku ile Aunty Ezekiel ana birthday yake. Kweli Petit alisafiri aliporudi mimi nilikuwa hospitali kama Juma alivyosema, ndio hivyo mimba yangu iliharibika ndio maana hukutuona...
IDRIS AMPA 'ONYO' BILLNAS
Mchekeshaji na Muigizaji Idris Sultan amesema rapa Billanass amuombe sana Mungu yasimkute matatizo kama ambavyo yalimkuta yeye ya kuitwa Kituo cha Polisi maana atapata...
Kweli kati ya wadada wenye bidii wema unastahili pongezi umetoka kuwa nyambizi hadi kuwa kipotabo kweli wewe na zari mnajitambua siyo kama msanii moja kutwa eti mahari yake million 20 alafu...
Mwimbaji Hodari wa Bongofleva Dully Sykes @princedullysykes leo December 4 ametimiza umri wa miaka 39, ni Baba wa Watoto watano na kila mmoja ana Mama yake, Mtoto wa kwanza ana miaka 15.. wa...