Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwanadada mbunge wa Segerea anaitwa Bonnah K Ladslaus ametoe pongezi za dhati kupitia mtandao wake wa Instagram kwa Diamond kwa kumuita baba lao kwenye show kali aliyofanya Jana kwenye tamasha...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa sasa kiwanda cha burudani kimechangamka na kimechangamshwa na uhasama wa Media houses mbalimbali za hapa nyumbani, kila media sasa ina Tamasha lake, pia kuingiza mkono kwenye matamasha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu, jamaa na wanabodi wengineo?? Ni imani yangu kuwa sote tu wazima wa afya na tunaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa taifa. Kwa wale ambao hawapo sawa kwa sababu za...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari. I hope mko good. Wadau niliona msanii Harmonize anatangaza kuwa atakuwa na show kule mkoani Shinyanga Jana tarehe 9 Nov,sijafuatilia tena nini kilijiri maana ni kimya kuanzia kwenye...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wakuu. Naomba kujua wako wapi hawa watu. 1. Prof Ludigo. 2. Mike T Mnyalu( Au alipata mkwanja na akawa mrefu ikawa balaa?) 3. Walume Ndago. 4. Mabaga Fresh. 5. Ispector...
5 Reactions
53 Replies
12K Views
Wasalaam wajamvi! Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina raia wa kenya baada ya kushindwa kupata muafaka juu ya ugomvi wao na ndugu wa Alikiba na Mama wa Alikiba. Ndoa ya...
18 Reactions
394 Replies
60K Views
Uongozi wa WCB chini ya Diamond ni moja kati ya lebo inayowanyanyasa na kuwanyonya wasanii wake na kuwasainisha mikataba ya kina Chief Mangungo isiyokuwa na haki na iliyojaa unyonyaji wa kupita...
10 Reactions
143 Replies
18K Views
Wadau, huyu mwimbaji wa FM Academia na sometimes mcheza bongo movie,hua namkubali sana mimi binafsi. Aliwahi kuhojiwa ,akasema Kanumba aliniambia niingie kwenye bongo movie,kwa kuwa mimi ndio...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Nawapongeza wasafi kwa jitihada za kuwaleta kina medd, wizkid na tiwa savage katika tamasha la wasafi ila kama ilivyo kawaida wahudhuriaji wa show wamebaki tu kushangaa shangaa ni nini kinaendelea...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Idea ya tamasha la wasafi lilianzia kupitia mashabiki wa Diamond kwenye group la WhatsApp linaloitwa Wasafi fans lenye members laki 5 ambao walitoa hiyo idea ya kwanini Wasafi wasiwe na tamasha...
14 Reactions
64 Replies
10K Views
Ali Kiba katoa wimbo,Diamond na Harmonize pia. Nani kapatia,nani katoa kazi ya hovyo?
0 Reactions
114 Replies
13K Views
Tusisubiri mtu afe kama kanumba ndio tumpe sifa zake, tumpe leo leo, Kiukweli mafanikio ya Daimond platnumz yamekuwa ni mafanikio ya watu wengi sana. Kijana sio mbinafsi anapenda kula keki yake...
13 Reactions
21 Replies
3K Views
Watu wanaomshabikia Kiba na kufikiria kumshusha Diamond wakiwemo mawingu watumie akili zaidi kuliko kutaka kupambana naye kwa vimaneno tu. Diamond yupo mbali sana; kwanza kuanzisha hii Media...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Naona boss Diamond hataki kukubaliana na ukweli kuwa Kondeboy kaondoka katika umiliki wake mpaka kutaka kutumia nguvu kubwa kutaka kumzima dogo huku amesahau kuwa alimfundisha njia zote ili arithi...
19 Reactions
126 Replies
13K Views
Natumai mu wazaima wa Afya.. Hili ni tukio lilitokea leo katika mkutano wa alikiba aliokuwa akiongea na waandishi wa habari, Kama umekuwa ukifuatilia katika mitandao ya kijamii, kijana huyu ame-...
5 Reactions
34 Replies
6K Views
Hatimae kile kitendawili cha muda mrefu cha Issue ya WASSAPE kutoingia Dar Es Salaam kwa takribani miaka10 kimeteguka. Baada ya Camera zetu za makachero kumshuhudia kwenye daladala viunga vya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wazee wengangu mhenga mwenzetu karudi sifa ya juma nature chorus zinazoimbika na kushikika sikia hii Ukirudi nyumbani unayumba yumba kitu gani kimekusibu x2 Ukirudi gheto unayumba yumba kitu...
6 Reactions
52 Replies
9K Views
Siku ya jana majira ya saa 12 jioni msanii Ali Kiba alizungumza na waandishi wa Habari pale Ramada Encore, akaeleza mikakati yake na Tour ya Alikiba Unforgetable pamoja na kumtambulisha msanii...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo ndo ile siku mfalme wa Bongo ata toa tamko rasmi,Na wadau wengi hatujui ni tamko gani ila ina semekana anataka kuzungumzia inshu ya kuibiwa penseli na mchiz wa tandale,,"inasemekana lakini"...
2 Reactions
151 Replies
16K Views
Msanii wa Bongo Fleva, Ali kiba kupitia akaunti yake ya Instagram ametangaza kufanya mkutano na wanahabari siku ya Ijumaa ya tarehe 8/11/2019 ambapo ni siku moja nyuma ya Tamasha la Wasafi...
6 Reactions
56 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…