TAARIFA:
Mashaka aliugua ghafla usiku ndipo wakamkimbiza hospitali ya Amana kwa ajili ya matibabu na ilipofika asubuhi hali yake ikabadilika. Madaktari walitoa rufaa ya kumpelekea katika...
Hiv karibuni wakati Diamond akifanya press conference ya kuzindua tamasha lake la Wasafi Festival akaulizwa swali na mwandishi "Ali Kiba hivi atakuwepo?
Diamond akamjibu bifu hazisaidii kitu...
Habarini za muda huu wakuu.
Natumai mu wazima wa afya. Kijana wenu nimejitupa jamvini leo nikiwa nahitaji tujadili kidogo namna sanaa ya nchi yetu inavyokwenda. Kijana wenu nilijaaliwa kusoma...
Mtangazaji maarufu wa East Africa redio, Zembwela amejiunga rasmi Leo na Wasafi FM
Ameungana na Maulid Kitenge katika kipindi cha Magazetini wakichambua wote habari hizo
Hello guys
Nimeshangaa kuona Posh Queen anakuwa interviewed na Diva the Bawse wa Clouds. who is she? Ana kipaji gani?
Achievements zake kubwa za kuishangaza Tanzania ni zipi? Au umaarufu wake...
Hakika umeonesha utu,hata kama una mapungufu yako.Sisi sote tunayo mapungufu.
---
Diamond Platnumz amezungumzia kilichoandikwa na msanii mwenzake, Ali Kiba katika mtandao wake wa kijamii wa...
Wasalaam wana jamvi!
Ni ukweli usio pingika au usio fichika kwa sasa hakuna maelewano mazuri kati ya Msanii Alikiba na Meneja wake mkuu Bi Seven Mosha.
Malumbano kati ya Alikiba na Seven Mosha...
Wanabodi.
Hayo mapokezi ya Diamond ni makubwa sana amepewa heshima kubwa mno hakuna msanii tanzania aliewahi kupokelewa vile ngoja tusubiri na rekodi atayovunja ya kufanya show indigo london...
Ila jamani huyu dogo janja anajitafutia ugonjwa wa moyo aje kufa bure siku si zake, sasa na yeye kwa akili zake kabisa akajua mwenyewe atamtuliza uwoya ? , namuonea huruma sana aiseeh
Uwoya sasa...
Huyu mtu nashindwa kuelewa anakoelekea ni wapi sijui, maana kadiri siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwa mtu asiye na busara hata kidogo, sijui ni mapombe ama bhange ndio zinamfanya kuwa hivi maana...
Kwa niliyoyasikia juu ya hawa Watatu ni mengi ila kati yao makubwa matatu yanahusu nyanja za kisiasa hasa kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2020, chuki yenye kisasi dhidi ya Vyombo Viwili vikubwa...
Wakuu Habari. Hope mu wazima.
Wakuu naona habari zinazo-trend Social Media ni kuhusu Wasafi Festival tu. Hasa ujio wa Wizkid, Innosb, Tiwa Savage nk
Upande wa pili Cloud's na EFM kumepoa sana na...
Damini Ebunoluwa Ogulu maarufu kama 'Burna Boy' wengi wamemjua hivi karibuni lakini jamaa anatisha tokea mda kidogo, 2012 aliaachia single yake ya Like to Party kutoka katika album yake ya...
Mtandao wa Instagram umeendelea kujizolea umaarufu mkubwa duniani kote. Hapa kwetu, social network hii nayo si haba. Tumeshuhudia watu maarufu na hata watanzania wa kawaida kabisa wakitumia...
Ila nyumbu nyie bado ana ka mvuto flani hivi, sema basi tu huyo aliyemroga mtoto wa watu alimroga haswa , Wema is Beautiful, Wema is a star , Ana nyota , na ni kati ya mastaa wachache bongo wenye...
Habari zenu ndugu zangu
Napenda kujua historia ya huyu producer mkongwe hapa nchini nimeangalia interview zake mbalimbali nimevutiwa na uwezo wake wa kuelezea vitu pia huyu jamaa ana content Sana...
Aman iwe nanyi
Katika kitu ambacho wasanii wanabug step ni kumshilikisha Diamond kwenye ngoma zao jamaa huwa anawafunika sana hadi wanaonekana kuwa wao ndo wameshilikishwa
Kwa mfano leo Jux...