Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nakumbuka alimtandika ngumi chid benzi pale maisha club, alimpiga bou nako mpaka akalazwa aga khan, Alikuwa ana gym lake block 41 ukitaka kuingi gym lazima upige push up 1000,aliwahi kumnyoa...
7 Reactions
339 Replies
45K Views
Msanii wa vichekesho, Kingwendu amesema alikurupuka kugombea ubunge na kubakiwa na madeni mengi hali iliyomsababishia kukaa kimya ili kushughulikia madeni hayo, alitakiwa awe na mdhamini. Pia...
5 Reactions
20 Replies
8K Views
Kama mnakumbuka vizuri Diamond alikutana na Marlaw wakati Marlaw alienda kwenye Tamasha la Wasafi lilofanyika Tabora na kumuomba awe sehemu ya tamasha but hakumpa nafasi lakini kumbe lengo lake...
10 Reactions
30 Replies
6K Views
Looks like Rotimi, aka Nigerian butterscotch, has been taken off the market and his new bae is an East African super star! Rotimi is currently boo’d up with Tanzanian singer/songwriter Vanessa...
2 Reactions
111 Replies
19K Views
Zamani ndio ulikua music kwelikweli hasa bongofleva.ombi toeni ngoma kama zamani.mpo wengi lakini mpaka sasa nasikiliza ngoma za juma nature a.k.a kibla(kiroboto),prof Jay,Juma mchopanga a.k.a Jay...
3 Reactions
4 Replies
814 Views
Kama ni mfatiliaji mzuri wa channel ya Wasafi TV utakubaliana na mimi kuwa siku mbili hizi Wasafi TV wamekua wakipiga mfululizo nyimbo za mkali huyu wa Bara la Africa Ayodeji Ibrahim maarufu kama...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Hawa mabinti kwanini hawajifunzi?
3 Reactions
58 Replies
8K Views
Wanazengo, leo nimepita Mikocheni kwa Aunty Ezekiel nikaona wamefunga bar yake na wamebandika na bango kabisa “Bar imefungwa kuanzia tarehe 30/10”. Sasa mmbea mie nikajiuliza ni mtaji umekata...
12 Reactions
79 Replies
13K Views
Huku ikisemekana kuwa msanii huyo wa bongo fleva hana hali nzuri kisaikolojia,kufuatia taarifa za kuwa amemwagwa rasmi na mke wake Irene uwoya,janjaro Leo ameonekana katika picha ya pamoja na Dr...
6 Reactions
117 Replies
16K Views
Ila wanazengo kwa tunaomjua muna alikotoa mwenzangu bibie kapiga hatua bwana, muna siku hizi Ana damshi, muna huyu sio muna Yule wa zaman Mbeba mapochi ya Wema sepetu, yani life lake limebadilika...
0 Reactions
51 Replies
11K Views
Hello wanajamii Nahitaji kuonana na huyu daktari kwa ajili ya masuala kadhaa. Yeyote anaefahamu jinsi ya mimi kuonana nae tafadhali usisite either kuniPM namba yake au ofisi yake ilipo au the...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Nianze kwa kusema , Kati ya nchi za Afrika zilizopokea Mfumo wa ukuaji Technologia vibaya , especially Matumizi ya social Media , Basi ni Tanzania. Kwanini. Ni nadra sana au huwenda hakuna...
10 Reactions
19 Replies
4K Views
Katika mishe mishe zangu za kila siku huyu ni mtu ambae lazima nionane naye mara kwa mara, sasa kutokana na hali yake kwa sasa toka Mjasili muongoza njia atangulie mbele ya haki naona kijana yangu...
8 Reactions
49 Replies
7K Views
1. Karola 2. Kipenda Roho 3. Kifo 4. Muziki Asili Yake Wapi 5. Sauti ya Mnyonge Je wewe zako tano bora ni zipi?
5 Reactions
37 Replies
52K Views
Kuna kila dalili kuwa yule mchekeshaji nguli Idris Sultan leo atapandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu Tetesi hizo zimesikika katika viunga vya Central ambapo watu wa karibu wa Idris...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hey pals, najua mko poa. Nimekuwa nikishuhudia kelele nyingi za vijana wasio na kazi (jobless) wakidang'anyana na kutiana moyo kuwa eti Wasafi imekuja kuipoteza Clouds😁😁😁😁. Hiki ni moja ya...
12 Reactions
56 Replies
6K Views
Wiki imekua na mengi sana na bado haijaisha, Ali kiba na style ya nitoke vipi, kalalamika anafanywa na Diamond mchezo mchafu, kashindwa kuvumilia akaamua kuweka wazi anakerwa na huu mchezo kwa...
2 Reactions
59 Replies
17K Views
Ni mtu maarufu pekee kwa wasanii ambae ambae umetoa ya moyoni kuhusu maandamano.
13 Reactions
79 Replies
9K Views
Hizi ni kesi mbili tofauti za kutofuatwa kwa sheria za hakimiliki. Kesi ya P. Funk na Chameleon, producer P. Funk alipigana na kufanikiwa kupata haki yake iliyokaribia kuporwa na Chameleon...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Ninaomba ieleweke wazi sina bifu na Idris Sultan wala sijawahi kuwa na bifu naye ,ila penye ukweli lazima pasemwe huyu bwana mdogo ni mfanya ujinga na mambo ya kitoto toto ambayo yeye binafsi...
23 Reactions
134 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…