Mimi Kim Kardashian na Kanye West. Napenda sana hii couple wanapendana sana pia wanapendezana pamoja kim ana mpenda sana Kanye na Kanye vile vile. Siku nikija kusikia hii couple imevunjika...
Share the wealth son! Mario Balotelli's mum gets job as £6-an-hour office cleaner to make ends meet Manchester City star's mum Rose polishing desks and living on the estate from Shameless while...
RASMI: HARMONIZE AFUNGA NDOA NA SARA
Harmonize usiku wa jana amefunga ndoa na mpenzi wake mwenye asili ya Italy "Sara" katika hotel ya Serena jijini Dar es Salaam. Pichani Mama Sara, Harmonize na...
what is this? wote uliowataja hapo wana matatizo sana tu, Tyson alikuwa mwehu kwa pesa alizopata baada ya kutoka hood tena akiwa mdogo akafanya maujinga sana na yeye mwenyewe alikiri hilo later...
Ni kiri kuwa clouds media iko under uholozo wa ushabiki wa kipumbafu usiokuwa na faida.
Sijaona maana ya kuitazama hii TV Inayojifanya ya burudani nchini hivi nyie clouds hamuoni kama...
Hey Guys,,
I hope mko Poa.
Katika vitu vilivyo kuwa vina subiriwa na Watz kwa hamu basi ni kusikia siku moja akidondoshwa msanii mkubwa wa Marekani Hasa Chriss Brown,Drake,Rihanna au Hata...
Ukiachana na kina Kimambo,Moko genius wa Imagination production,Oscy boy music,Blacq Boy,Yokeyz Morento aka the Mixing Killer,Ammy Wave wa Switch music group,Yogo beat na S 2 Kizzy wa Pluto ambao...
Kwa muda mrefu kumekuwa na hiyo ligi kama card b kimuziki yuko vizuri kuliko Nick Minaj ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki...
Kumbuka shabiki zako wanaoku sapoti wengi wao ni masikini wa wakutupwa imefika mahali diamond vitu unavyovionesha kwa jamii haviwapendez mashabiki vinawaumiza hujui shabiki zako mtaani wanaishije...
Muziki mzuri, ila sina uhakika kama hawa ni music celebs.
Ukiangalia kwa umakini kwenye muda kati 0.19 na 0.20 utaona kitu kirefu kidogo mithili ya slim cylinder/ cord kimetokeza kwenye bottom ya...
Msanii wa filamu nchini Rose Ndauka amefunguka na kuweka wazi kuwa kwenye tasnia hiyo wapo baadhi ya watu wachache ambao wameingia kwenye tasnia hiyo wakiwa na lengo la kujiuza na kupata wanaume...
RayVanny Anatuabisha Watanzania Jamani! Inakuwaje Msanii Anajisia Kufikisha Views Million 4 ndani ya Siku wakati Yeye Sio Sababu Ya Kufikisha Hao Views? Hata walio Mshirikisha Watashangaa,Au...
Watu wangu wa zamaniiiiiii,
Leo nimeona kwenye page ya mkongwe DJ John Dillinga kuwa big boss wa jiji la Dar atakuja kujikumbusha nyakati muziki ukiwa muziki ndani ya club legends zamani nyumbani...
Acha niandike lile ambalo nimeliona kwa hizi siku za karibuni, si mzuri sana katika uandishi hivo kwenye makosa mtanisamehe.
Awali ya yote heshima yenu wakuu natumai siku imeanza vizuri kwa wengi...
Leo ni siku muhimu sana, Siku aliyozaliwa mtu Mtu muhimu sana.
Mtu ambaye wengi wanafaidi harakati zake bila hata kujua hata wale wa upande mwingine pia wanatembelea kwenye harakati zake.
Ni mtu...
Katika hali isiyo ya kawaida,kuna raia shazi wameonekana katika maeneo mbalimbali ya Darisalade wakiwa na mabango. yaliyoandikwa'Baba Kasema'Wajuba hao wameonekana fas za kawe,Buguruni,Barabara ya...