Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wanajamvi naamini mko salama, Binafsi ni mpenzi sana wa Muziki mara nyingi nikitoka mishe zangu naweka redio ambayo inaplay muziki na mara nyingi naweka WASAFI FM. Aisee kila inapofika saa Mbili...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Muziki wa vijana Bongo Fleva umetoka mbali lazima tuwatambue ambao kupitia kazi zao wamefanya mziki uwe Hapa,hawa ni baadhi yao unaweza kuongezea,wameleta fulsa kwa vijana wa sasa hatakama wao...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Aisee huyu Kijana ameupeleka mziki wa Bongo kimataifa, kama Mtu unamchukia Kijana huyu wa Tandale aisee Utapata Tabu mnooo... Yani Diamond ni Jeshi la mtu mmoja anabadilisha ladha za muziki kila...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu Habari!! Habari inayotrend katika intertainment industry ni Diamond platinumz kusaini deal Kama ambassador wa PariMatch. Sisi Kama vijana Inabidi tuache majungu na tuige kwa watu...
3 Reactions
38 Replies
8K Views
Watangazaji hawa wamenishangaza leo msikilizaji kaomba wimbo wa Innos B ft Diamond plutnumz - Yope rmx wanasema hawaujui wakati wimbo huo youtube una trend number 1 kwa taarifa yenu huu wimbo ndo...
6 Reactions
45 Replies
7K Views
Akihojiwa katika kipindi cha kikaangoni cha EATV msanii nyota Amberlulu amedai ktk mtihani wa kidato cha nne alipata division two ya 34! Hiki ndo kizazi cha TZ ya viwanda!! Kinyaa!!
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Wadau hivi kwanini Celebrities wanaoendaga kikaangoni ya EATV wanapendaga kudanganya au Kuongea vitu vya Ajabu??Jana Tumeshuhudia Amber Lulu akiongea ufamba kabisa!et Form 4 alipata Division 2 ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni msanii aliyewapa wengi matumaini kwamba akiwa mkubwa atakua kakomaa sana kisanaa, kaanza mziki tangu mtoto mdogo kabisa, ndhani wengi tunaijua ile single yake ya bow wowo wow yippie yo yippe...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Mzee Benson Wanjau, maarufu kama Mzee OJWANG HATARI, mume wa Mama Kayaii, amefariki usiku huu majira ya Saa 2 katika hospitali ya taifa Kenyatta alipikuwa akipata matibabu ya maradhi...
0 Reactions
60 Replies
13K Views
Rapa kutoka West Coast Nipsey Hussle afariki dunia baada ya kupigwa risasi nje ofisi ya kampuni yake ya nguo ambapo alikuwa yupo akipiga picha na watoto wadogo. Mpaka sasa inasemekana C.I.A ndiyo...
5 Reactions
198 Replies
26K Views
Msanii wa filamu nchini Salome Nonge maarufu kwa jina la ‘Mama Abdul’ amefariki dunia mchana wa leo - #RIP MAMA ABDUL
3 Reactions
86 Replies
21K Views
Nasikia Kuna kipindi yule mwarabu anaitwa lukasi mishuka ya gesti na nansi misumari baada ya kuoana walikuwa wanakosa hata hela ya kula..na the late bwana machache/mume wa k nitaipata lini ndo...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wana JF? Baada ya salamu nijikite kwenye mada husika. Naombeni kuuliza pia kama wahusika wapo humu wanisaidie. Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hawa ndugu zangu na si kwa...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Mambo vipi naitwa MadeeAlly leo Sept 06 2019 kwa hiari yangu nimeamua kuzuia kuchezwa kwa nyimbo zangu ambazo nimezifanya kwenye ardhi ya South Africa especially #VUVULA na zingine zisipigwe...
22 Reactions
79 Replies
9K Views
Maelfu ya watu nchini Ivory Coast walikusanyika katika uwanja wa Felix Houphouet Boigny huko Abidjan kushiriki ibada ya kuaga mwili wa marehemu Ange Didier Houon maarufu kama Dj Arafat. Dj...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Socialite maarufu kutoka nchini Kenya [emoji1139], Huddah Monroe amewashauri wanaigeria wote waishio nchini South Africa kurudi majumbani kwao wakajitafutie huko kuliko kuwa watumwa katika nchi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutoka fethibuku: Sote tunajua diamond ni mwenyekiti wa Wcb na pia ni msanii. Hivi vitu ni kitu kibaya endapo msanii mwenye hivi vyeo ana kundi / label yenye wasanii wazuri. Binadamu tuna wivu...
5 Reactions
44 Replies
10K Views
Kiukweli harmonize hatofanikiwa kimuziki kamwe hata amalize waganga na waganguzi huko chitoholi ila suala la kupiga hatua ya kimuziki halitawezekana asilani abadani. Jamaa hana ubunifu kabisa...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Dah kuna ndugu yetu mmoja ametoa ngoma na Nora Fatehi dah mpaka mda huu sijapata picha kabisa toto kama lile sijui kalibumia mazingira gani. Tayari ngoma ishavunja rekodi ya fastest million views...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
1.Amesharap........... ...Fresh Rmx 2. Ameimba taarab........ Nasema na wewe 3. Ameimba zouk.......... Ntampata wapi na nyingine nyingi 4. Ameimba RNB.......... Nenda kamwambie na nyingine nyingi...
25 Reactions
48 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…