Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mrembo kutoka Rwanda anayejulikana kwa jina la shaddyboo ambaye anajihusisha na mambo ya urembo pia ni video vixen ndiye mrembo mpya wa msanii diamond ambaye anaziba pengo la wazazi wenzie na...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
habari wadau.. nakumbuka babu tale ndie mwanzilishi na meneja wa tip top connection kina madee, keisha, tunda, dogo janja etc... naona amekimbia lebo yake anabanana WCB. sallam nakumbuka ni...
16 Reactions
60 Replies
10K Views
Mwanadada Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo sawa. Akizungumza na Mpekuzi, Irene amesema...
0 Reactions
48 Replies
12K Views
A.k.a Simba, kiukweli umetisha sana kwa jambo kuu moja, Binafsi nakupongeza sana Diamond Plutnum Mtoto wa Tandale. Jambo kuu lenyewe ni ili la kuwa makini sana katika Maisha yako, nazungumzia...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Wale Wakwe za kijana wetu huko Kwa majirani zetu wamekamatwa kwa tuhuma za kukwepa kodi za Mabilioni. Namuona kijana akirudisha timu bongo kimya-kimya.
6 Reactions
60 Replies
7K Views
wana jf. katika vijana wajanja dar es salaam Diamond kwa kweli uenda akawa number one kwa vile aliko toka mpaka alipo kwa kipindi cha miaka kumi amefanya mengi mno hadi kumchukulia bwana mtu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakuna mtu asiyejua kuwa Harmonize ndio alikuwa kipenzi cha Diamond platnumz, kila nyimbo walishirikishana na Diamond alikuwa akimpiga taff sana Lakini kipindi cha hivi karibuni watu wakaribu...
9 Reactions
62 Replies
16K Views
Tofauti na ile sikati tamaa,nishike mkono,weekend,na mziki nyingine zote anazotoa siku hizi sijui achia njia,relax ni utumbo mtupu anatakiwa atulie ajipange upya
4 Reactions
44 Replies
7K Views
AFUNGUKA KILA KITU DIAMOND Platinumz ni mwanamuziki mkubwa Afrika, inatajwa kuwa msanii huyo ana timu nzuri nyuma yake ambayo imemwezesha kupata mafanikio mengi makubwa. DIAMOND Ukiachana na...
12 Reactions
128 Replies
33K Views
Umofia Kwenu wana JF, Kwanza niwatakie heri katika siku hii ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu JK original. ~Nilikuwa naangalia Movie ya set it off(1996) ya kina Vivica uwa naipenda sana...
1 Reactions
46 Replies
17K Views
Inaonekana watanzania wengi mnapenda kujifunza lakini ni uongo umetujaa tu. Mara nyingi unapotokea ubishani hususan katika masuala ya kimziki haswa kati ya team Diamond na team Kiba utasikia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukitaka mziki wa kuelimisha matafute Maalim Nash mc or Tamaduni music kwa ujumla mziki wao unaelimisha me nshaelimika kitambo kuanzia enzi za sunday school shuleni pia nlielimika na bado...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari Wakuu, najua kuna watu wanajua kupinga sana Ila HARMONIZE HANA KIPAJI PROMO INAMBEBA
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Diamond asema alilipwa shilingi milioni 100 ili kutumbuiza jukwaa moja na Alikiba katika show ya ‘Kiboko Yao'. Mashabiki wengi wa muziki wa Bongo wanatamani siku moja kuwaona Diamond na...
0 Reactions
59 Replies
18K Views
Ndoa ya leo ya Dr. Mengi na K-Lynn ni ya kweli? au ndio tusubiri siku Dr. Mengi ajekuita waandishi wa habari na kukanusha tena kuwa ni uvumi tuu? Street is talking kwamba ndoa ya Dr. Mengi na...
1 Reactions
92 Replies
29K Views
Msanii Harmonise amesema mahusiano yake na Huddah wa Kenya yalimtatiza sana anadai kuna kazi walikuwa wafanye na kukubaliana ili kuipa kiki kazi akapost video wakiwa pamoja mtandaoni, watanzania...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu salute sana, kumekuwa na tetesi za Harmonize kuhama WCB, japo hakuna tamko lolote toka WCB au Kondeboy kuhusu kung'atuka WCB. Kuna mtu anazungumziwa kuwa ndo master mind architecture wa...
10 Reactions
126 Replies
29K Views
Pamekuepo na taarifa za mara kwa mara za mmoja wa wanamuziki wa WCB Harmonise kuondoka au kutaka kuondoka katika lebel yake hiyo iliyomtoa na kukuza. Binafsi baada ya kusoma mijadala mingi uko...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jna hapa Moshi kulikuwa na uzinduzi wa Club hapa town maeneo ya Kuringe, sasa cha kushangaza huyu bwana alilewa bwiii, kiasi kwamba hata shoo yenyewe haikuwa tam kivile. Sasa nakushauri punguza...
20 Reactions
161 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…