Leo kupitia Clouds FM Mtangazaji wa kipindi cha Ala Za Roho "Diva" ametoa sababu za yeye kumuacha Mwana BongoFlava wetu King Crazy GK.
Kupitia kipindi cha leotena ya clouds fm Diva amesema GK...
angalizo: mimi sio mtu wa habari za udaku, ila leo najaribu kuanzisha thread kwa kutumia approach ya kiudaku.
twende kwenye mada kuu.
nakumbuka miaka kadhaa iliyopita hapa jf, watu mbalimbali...
Baada ya kipande kidogo kusikika kwenye documentary yake akiimba shida zitaisha lini na watu kuvutiwa sana na soundtrack hiyo.
Mbosso khan ameamua kuingia studio na kumalizia iwe wimbo kamili...
Nuh Mziwanda na Nawali wanaodaiwa kutengana kutokana na wote wawili kutokuishi karibu kama awali huku Nuh Mziwanda akidaiwa kurudi kwenye dini yake ya zamani.
Gossip Cop Soudy Brown amewatufuta...
is this the best these pple can do? nasema kuanzia backgroung music to arrangement na tazama watu walivyokaa kihasara hasara eidha watu waqmechoka sana au ndio hakuna ma A LISTERS huko Dar...
Jamaa alikuwa live kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, katema madini ya kutosha.
Yote tisa, kumi ni kuhusu "Goma lake jipya" ambalo ndani yake imekaa miamba kama...
Mwanafalsafamweusi ONDOKA KONDE BOY
Kuondoka wa @harmonize_tz kwa @diamondplatnumz ni sahihi kwa sasa na hizi ni faida atakazo zipata
1.Anaenda kuwa mshindani namba moja wa @diamondplatnumz...
Niliwahi kuandika hapa uzi ukilezea kwa kina hilo suala ila wenye huu mtandao kwa sababu zao za kuamua tu wenyewe wakaifuta tena niliweka zaidi ya mara 2 anyway uhuru sasa si mkubwa tumeelewa...
Jama keshakuwa ameamuwa kukaaa kivyake ukiangalia kwa umakini yule sallam alikuwa anamleteya zarau sana ..harmo ata akitoka dogo yule anajituma sana na Ana sapoti kubwa sana inje na ndani ya inchi...
Habarini za muda huu wana jf.
Imefika wakati sasa wa nyumba ya WCB kupata miji mingine, watoto wameshakua vya kutosha haifai waendelee kuishi na baba yao wakati wote wananyoa ndevu. Diamond...
Mlio karibu na Diamond mshaurini aache kuimba live wakati wa show. Hawezi kabisa, sauti yake inakuwa nje ya tone kabisa ya music. Nimefuatilia comments za warundi kufuatia show yake Bujumbura...
Hapa nitataja makusudi au Mchekeshaji mmoja mmoja
1. Carpoza na Oka Martin
Hawa ni Wachekeshaji wanao tisha kwa sasa na tuseme tu ndio namba moja kwasasa. Hawa jamaa kwa sasa wamekuja na...
Leo sallam amealikwa kwenye interview kwenye kipindi pendwa Cha block89 Cha wasafifm kinachoongozwa na wakali Kama jonijo Aliyah mtu imara na mdada mmoja mwenye kiingereza kingi kitachoanza...
BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz' kuwa alichoropoa mimba zake mbili , mtangazaji wa Radio E - FM, Penniel Mungilwa ' Penny ' ameibuka na kujibu...
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ' Diamond ' Penniel Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tatizo lipo kwa mwanaume wa kuzaa naye. Penniel Mwingilwa.
Penny alitoa tamko...
Siielewi hii misalaba yenye duara juu, ina signify kitu gani?
Naona ma celebrity kibao wakiivaa kuanzia Diamond Platnumz hadi Masanja Mkandamizaji
Mwenye uelewa naomba afafanue, maana sijawahi...
Star namba moja wa Music Tanzania anaye wika kwa sasa Harmonize a.k.a Kondeboy ameachana na lebel yake ya Music WCB iliyo chini ya Mwanamuziki Diamond Platnumz.
Hii ni baada ya kubadirisha bio...