Kuna mambo mengi yamejificha juu ya Mavoko kuondoka wasafi, tuachane na propaganda za udini kama wengi walivyokuwa wanaaminishwa.
Mtakumbuka wakati Mavoko anasaini WCB alikuwa katika ubora wake...
Habarini...
Kiukweli murembo Wema alikuwa likibonge hadi akapoteza muonekano.
Mimi pia sikupendezwa na ubonge ule...ila sasa dada amepungua sana na kufikia kuwa mifupa a.k.a kimbaumbau...
Hapo...
Sio siri wana JamiiForums hzizi nyimbo nilizisikiliza naona kama vile zimeimbwa leo leo tu
1.Nelly ft Kelly Rowland - Dilemma
Nani haujui huu wimbo???Huu wimbo kwangu hauchuji kuanzia beat mpaka...
Zaid ya watu 24,000/= Jana walikesha kumfatilia Diamond plutnumz.
Hii sio kawaida, hakuna mtu bongo
Hii alishawah kwenda YouTube live na akatizamwa na watu zaid ya elfu kumi.
Ifike wakati...
-huyu lava lava yupo lebo kubwa kuliko uwezo wake..
-anafanyiwa uwekezaji mkubwa sana kuliko kiwango chake..
-lava lava ana kila miundo mbinu lakini haitendei haki.
-laiti nafasi ya lava lava...
Mwimbaji nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania amesimulia kisa chake ambacho alitakwa kimapenzi na baba mchungaji.
Akiongea na kituo cha redio mkoani Mbeya Bahati Bukuku amesema baada ya ndoa...
Katika mambo ambayo yanaweza kuwa sababu ya kila mtu mwenye mafanikio kufika pale alipo ni tabia hii ya kufanya maamuzi kwa wakati. Kama umeambiwa tafiti zinasema mwaka huu mvua hazitanyesha...
Watanzania wadau wa muziki wameanza movement kutengeneza awareness ili Beyonce ajue watu wake wamempotosha baada ya kukosekana mwakilishi kwenye album ya Lion King Huku akijaza wasanii wengi wa...
Nyie wapenda umbea wa humu zari the boss lady ameolewa sijui na nani huko halafu munajifanya kama Hamna habari humu. Nyie wambea gani walala njaa tu. Haya mimi ndio nimewaletea habari hiyo 🗣️🗣️...
Mengi yakuzungumza sina, japo mabalaa yalionekana kupitia mtandao wa twitter kama alivoeleza Nikki Mbishi, tamasha hili lilikuwa la kikanda zaidi na wasanii wengine waliwekwa kama kizugio tu...
Mfalme wa taarabu wa miaka yote ambaye aliwahi kutikisa na vibao vyake kama vile Wagombanao ndio wapatanao,Wasiwasi wako ndiyo maradhi yako,My Valentine , V.I.P,Mkuki Moyoni, Daktari wa mapenzi nk...
Well , she is not as rich as the title implies , it's just a spicy [emoji5]. Irene uwoya nowadays seems to live a lavish lifestyle , ambapo rumor has it kuwa , bi dada is hanging out with one of...
Tangu wasafi festival ianze last year sikuona mikoa ya kaskazin mwa Tanzania hususani Arusha na Kilimanjaro (Moshi) kama sehemu ya tour yao
Na sasa mwaka huu ratiba imetoka tena ya wasafi...
Picha mpya za mke mtarajiwa wa Rayvany alizoziachia huko instagram, kanajiita stargirl, hapa Rayvany pesa ya mziki ndio inalinda penzi ila ikiisha hana mtu hapa, mwanamke wa mtu huwezi...
Miaka kumi iliyopita,nikiwa jijin Dar kwa makonda henzi hizo yy nadhani alikuwa bado yupo koromje.
Ilikuwa siku ya jumamosi,nilifika pale kijitonyama enzi hizo kulikuwa na bar moja iliitwa...
Tudy Thomas ni producer mzuri sana hasa upande wa vionjo vyenye ladha ya kuvuta hsia, katika nyimbo zilizompaisha Diamond kimataifa nyingi zilikuwa na mkono wa Tudy Thomas ,
Ni kweli ana Producer...
Kitendo Cha Beyonce kuzindua Album yake mpya ya Lion King Huku akiwashirikisha wasanii wakali wa Africa Huku akiwatosa wasanii wa East Africa Ni kilelezo tosha kwamba East Africa Bado hatuna...
Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Tanzania T.I.D a.k.a TOP a.k.a Warioba A.k.A BASATA a.k.a POWER BANK leo kupitia instagram yake amwaga povu kali kiwango cha grisi kutoka kwa Azam TV baada ya...
Huyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani
Nimeleta hizi...
Hizi ripoti asipuuze mshua, hali ya maisha inazidi kuwa mbaya sana. Gharama za hizo semina didimizi zingeweza kununua madawa ya kutosha zahanati zote nchini.
Yale matrekta pale Suma Jkt yatakuja...