Naona kama amedata mara anaacha kunyoa nywele za kwapa huku akizionyesha hadharani. Mara anataja wanaume waliomsokota na vimbwanga kibao..Fanyeni hima Mumnusuru ndugu yenu.
Sent using Jamii...
Sijui kwanini nahisi kama msiba wa watu Hawa wawili umefutika mapema mno mioyoni mwa wengi. Nilitaka angalau kuendelea kusikia Mambo mbalimbali ya kujifunza, kuhamasika, kujikumbusha n.k kuhusiana...
Kama sijakosea kipindi hiko kilianzishwa mwaka 2011 na kilijizolea umaarufu sana pia kikapata wadhamini wengi, Japo kwa sasa umaarufu wake sio kama awali kilipokuwa kinaanza, Na inasemekana ni...
Nyimbo ya kwanza kumtambulisha ommydimpoz kwenye bongo fleva ni
Nai nai , ommydimpoz fet alikiba
Published Jan 15,2012
Nyimbo ya pili ni
Kajiandae ommydimpoz fet alikiba
Published Nov 5,2016...
Yule msanii celebrity class A,mwanadada mwenye talent kubwa kabisa barani Afrika,role model kwa wasichana teenagers na wanafunzi wa kike ametikisa mji wa Mtwara kwa kufanya show kali iliyowaacha...
Baraza la Sanaa nchini limeufungia wimbo mpya wa mwanamuziki Rayvanny aliomshirikisha Diamond likisema unahamasisha masuala yaliyo kinyume na maadili
==================================
Baraza la...
Mzuqa!
Kila nikisikiza kibao chake if I could turn the hand of time yani I become very emotional. Tumuombeeni Robert asifungwe. Akipatwa na hatia atafungwa miaka 70.
Huu uonevu wa blacks ni too...
Mjadala huo tutasaidia kujua matumiz ya maneno haya ambayo naona hayatumik ipasavyo.
Neno *Dada* iv mtu kuitwa dada awe na umri gani mwisho ,naona eatv dadaz lkn mbona ni w goa mama wale!
Et kweli...
Msanii mbosso amesema hakuna sehemu nimesema nimenunua nyumba nilichofanya ni kuwashukuru mashabiki wangu walioniwezesha nimepata nafasi ya kujiifadhi lakini sijasema nimenunua nyumba.
Hatahivyo...
Hi.. Every one ....?
Before sija-zungumza chochote katika uzi huu please hii thread ni kwa ajili ya fans of HIP HOP MUSIC tu please over please #TeamMziwanda LOL, if you don't know any...
Ukiachana na yaliyopita kipindi cha mwanzoni wa ujana wake, DC jokate wa wilaya ya kisarawe ni mwanamke shupavu sana, anajua kujiongeza na hakika atailetea maendeleo kisarawe, ningekuwa ni raisi...
Muda huu mwili upo katika ukumbi wa staples center Los Angeles, ambapo viongozi ndugu jamaa na marafiki wanatoa speech kuhusu maisha ya nipsey kw ujumla.
hapo chini ni ramani inayoonyesha mahali...
Wanachakarika kweli kutafuta hela ya mboga...nimeipenda hii.
Ila bado kuna tatizo kubwa sana linaendelea kwenye bongo zao..hasahasa mke
Au sijui alijisahau akatinga kiwalo chake alichopenda...
Wiki iliyopita kwenye mitandao ya kijamii kulivuja video ambayo ilikuwa inamuonesha Mjasiriamali na mtu maarufu mitandaoni, Lemutuz akiwa utupu hatimaye Wakili Msomi Alberto Msando ametoa neno...
Wana if.
nimefuatilia coverage nyingi ndani na nje jinsi gani Ruge alivyokuwa anaitumikia jamii, kikubwa zaidi alitumia raslimali watu, radio na nguvu zake mwenyewe kuinua vipaji.
Duninian kila...