Tobe honest,
Vijana wetu hawa siku hizi wanatukera na matusi yao ila aisee kuna hizi you tube reactions channels jamaa wanapendwa kuna hadi mama anamsifia diamonds kwa lips zake, moja ya...
Mziki wa Nigeria unaendelea kukua kwa Kasi Duniani Hulu wasanii wake wakiendelea kunufaika
Usiku wa Jana Drake akiwa London alimpandisha Wizkid nakumpa nafasi ya kupaform nyimbo zake kadhaa Kama...
Kumekuwa ana Mjadara Mkubwa Tanzania,Katika Maendeleo Ya kimziki Kwa Diamond Platnumz Na Wasanii wengine! Watu wanajaribu kufananisha maendeleo ya kimziki ya Diamond Platnumz na Davido,Wizkid na...
JINSI YA KUJIUNGA NA *INSTASCOOP* njia mpya ya kupata habari za uwakika moja kwa moja kwenye *WhatsApp* yako kutoka *Mwananchi communications Ltd*
1-Bonyeza hii...
Natumia nafasi hii kumpa hongera msanii Fid Q kwa kuaminika na kupewa ubalozi wa kutangaza hedhi salama kwa watoto wa kike.
Hakika unastahili sana kuwa balozi na mtoa elimu ya hedhi kwa vijana wa...
Ni wakati pia wakuu wengine wa mikoa kuiga uchapakazi wa kijana huyu wa DSM kwani akiwa kama mkuu wa kamati ya usalama wa mkoa ameingilia kati beef jipya kuhusu jina la Tanzania sweetheart kati ya...
Mwanaharakati na Mwanajamii, Rebeca Gyumi, ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative anayefanya shughuli zake kwa ushirikiano na mashirika mbalimbali ikiwemo Umoja wa Mataifa (UN)...
Brighton Moyo, raia wa zimbabwe aliekuwa akiishi Afrika Kusini alieigiza kufa na kufufuliwa na Mtumishi Alph Lukau.
Safari hii amefariki kweli na kusikwa na sio maigizo. Inasemekana alikua...
dah nilitune nikakutana na nyimbo za dansi ghafla mtangazaji anaitwa Irene kakatiza kaanza kuongea,15 minutes sasa utadhani ni mahubiri anaongelea jinsi watu wasivyoweka siri
sijui ni mambo yao ya...
Ile show ya kushindanisha vipaji duniani inayomilikiwa na Simon Cowell imezinduliwa rasmi nchini Kenya jijini Nairobi na Waziri wa Michezo wa Kenya. Got talent ipo katika nchi 58 duniani, MD wa...
Mambo vipi?
Mara ya mwisho kupata taarifa za huyu Rapper ni kuwa alikuwa mgonjwa. Sijapata taarifa tena juu ya hali yake.
Mlioko Kigambonino mtupe taarifa.
Wakuu habari ya usiku
Mimi si mpenzi sana wakuongelea hizi ishu na wala sina timu ila uvumilivu umenishinda,,hao jamaa wanajiita Wasafi nimefatilia shoo zao wanazojinadi wataimba live na...
Mjasiriamali na Mtunzi wa vitabu mashuhuri nchini Tanzania, Erick James Shigongo anatarajia kurudi shule na kusoma elimu ya shahada baada ya kuhangaika muda mrefu kutafuta nafasi hiyo, huku...
Nimesoma moja ya Column kwenye gazeti la Championi la leo yenye kichwa cha habari " Chamelleone atapeli tena Norway"
Nimejiuliza maswali mengi lakini nimekosa majibu ya uhakika, binafsi me ni...
Bwana Eric James shigongo ambaye ni mmliki wa kampuni ya Global publisher, kampuni inayojishughulisha na uchapishaji wa magazeti, amefunguka rasmi kuhusu Tetesi zilizoenea kuhusu yeye kushiriki...
Jamani kwa wale wapenzi wa pop music na Rock wa zamani kidogo mtakua mnaikumbuka ile bendi ya vijana kutoka northern Ireland. Wametoa ngoma mpya kwa kushirikiana na ed sheeran jnaitwa Better man...
Umewahi kusikia jina play boy mitaani ? Likitumika kumaanisha mwanaume muhuni ? Basi ni sahihi
Muanzilishi wa jina hili anaitwa Hugh Hefner ,huyu bwana alizaliwa april 9 1926 na kufa september 27...